Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.

Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
Mkuu,Kwa hiyo na wewe una taarifa Kama za Lissu? Hebu tufafanulie inakuaje wanachadema mnapata taarifa mapema?
 
Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.
 
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.

Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.

Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari amekuwa akipotosha taarifa.

Na hii si mara ya kwanza kutoa taarifa hizi. Hata wakati alipohojiwa na BBC alisema hili.

Huyu mtu wa Mungu waliompiga risasi hawapo leo wewe unaongelea kesi😂😂 inabidi uamke yaani yeye ni mtu wa kutafutwa na Raisi tu tena kwa simu. Ameshindikana muda mrefu sana
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom