Uchaguzi 2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

Tatzo lao walikuwa na fikra kwamba Watanzania bado wajinga vilevile Kila kitu kupinga kisa wao wapinzani, washaonyeshwa makali sasa & hope 2025 watajipanga kwa sera nzuri.
Kufumbia macho dhuluma iliyofanywa kwa vyama vya upinzani haitowasaidia chochote, pia mkumbuke kwamba kutowachagua hao wabunge wa upinzani hamtaweza kamwe kuufuta upinzani nchini, kama ambavyo mmejionea baada ya miaka 5 ya kupiga marufuku mikutano haikuweza kuuwa upinzani.
 
Alafu wanatulingishia Armstadam mkoloni.

Jambo dogo eti"armstadam atainyoosha Tanzania itawekewa vikwazo.

Nyambaf zao, Watanzania wamewatia adabu wao na vibarakawao.
Wewe unawashangilia wenzako wanaenda kugawana vyeo huku wewe ukiendelea kusugua makalio huko madongo kuinama.
 
Ila Tanzania watu wengi hawajitambui mpaka wanaboa sijui tatizo njaa au nini mpaka kuzaa huu unafiki dah
 
Ulivyoandika inakusaidia sana kupunguza machungu. Endelea kuandika hivi hivi utapata ahueni.
 
Kaondoe chuki kwa ex wako, mambo ya kutupangia ya kufanya watanzania tulioibiwa yatakufikisha ahera kabla ya muda wako kufika
Chadema iliuwawa na Mbowe na Tundu 2015

Chadema ilizikwaga na Lowasa

Haya yaliyofanywa na Tundu juzi ndio matanga yake.

Pole kwa wafuasi wa chadema, sasa tuondoe chuki, tuweke maslahi ya taifa mbele na kuungana kujenga nchi yetu
 
Mengine siwezi kusema hapa, ila nimeshuhudia mengi uchaguzi huu na roho inaniuma sana kwa yote yanayotendeka na chama changu pendwa cha CCM.
Chukua aspirin unywele mkuu na flajili ili upate usingizi.
 
Kaondoe chuki kwa ex wako, mambo ya kutupangia ya kufanya watanzania tulioibiwa yatakufikisha ahera kabla ya muda wako kufika
Sinaga chuki mimi mwenzio na hiyo unayoiita ex ikishakua ex hainaga nafasi tena popote, nakushauri na wewe usiwe na chuki na mimi sababu kwa jazba ulilo nalo unaweza kutangulia huko ahera kabla ya muda wako kufika. Pole weee
 
Sasa kama huna mpango wa kurudi kwa ex wako unawashwa nn hadi utoe wazo kwa watanzania waache kukosoa uongozi mbovu kisa waneshinda uchaguzi ilhali hata shetani mwenyewe anajua hawajashinda huo uchaguzi?
Sina chuki na wewe ila ukijifanya kuwa msemaji wa watanzania ambao hawakubaliani na dhurma hatuwezi kamwe kukubali ujinga, mm sikuungi mkono na wazo lako la kipepo
Sinaga chuki mimi mwenzio na hiyo unayoiita ex ikishakua ex hainaga nafasi tena popote, nakushauri na wewe usiwe na chuki na mimi sababu kwa jazba ulilo nalo unaweza kutangulia huko ahera kabla ya muda wako kufika. Pole weee
 

Acha jazba basi

Sio amri wewe kuamini ninachokiamini mimi, wala sio amri Mimi kuamini unachokiamini wewe

Ukisoma kisipokupendeza pita kimyakimya.... btw sikua nimekuquote wewe na sijui kwanini uliniquote
 

Ukiacha wabunge lowasa aliowaletea, link upinzani tena ulikua na nguvu? Nyie mnahesabu kura za ukawa kama ndo za chadema, kura za lowasa ndo unahesabia chadema? Upinzani ni always below 20% ya watanzania wote
 
Mkuu,kuna kitu kimoja ambacho misukule mingi haiwezi kukupa jibu.
Kwa nini CCM ( hapa namaanisha wale top ambao wananufaika na huu mfumo wa CCM ya Magufuli,tukiachana na hawa misukule walioajiriwa kwa ujira wa buku 7) walijinasibu hapo awali kabisa kuwa CCM na JPM watapata ushindi wa kishindo!?
Kiashiria gani kiliwapa matumaini hayo!?
Ukiwa na akili timamu na kuongozwa na hofu ya Mungu,katu huwezi kusema kuwa wananchi hawana imani na upinzani.
CCM wenye utimamu wa akili,mwili na roho wanakiri ushindi huu wa CCM Zanzibar na Tanzania,hauakisi ukweli wa mapenzi ya Watanzania kwa CCM na wagombea wao kwa ngazi zote,bara na visiwani.
 
Si
Sio sababu hizo rudi ukafanye utafiti usikurupuke na mipasho
 
Poleni sana Chadema jipangeni kwa 2025...ila njaa haina baunsa msishangae kuona kundi kubwa likitimkia CCM najua mtabiasha ila it's matter of time.

Hongera CCM.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…