- Thread starter
- #161
Actually sio mwanafunzi, ila kinachohitajika hapa ni logic. Mtu akileta majibu yasiyo ya kweli lazima aambiwe, na kamwe sio ubishi!Tusiwe wakali jaman. Pengine unaweza kuta ni mwanafunzi wa shule anahitaji explaination... [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app