Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

Pamoja na kuwa unasema ni material mepesi(nadhani ukimaanisha laini)

Nikukumbushe airbus a380 ina TANI 560.
sasa fikiria tani zote hizo zinyenyuke kutoka ardhini na bado unataka material yawe mazito zaidi.

Semi-trailer moja lina uzito kiasi gani?

View attachment 2418120

ukilinganisha na umbo lake lilivyo kubwa bado ni nyepesi sana.

ndio maana usipoifunga kwenye vizuizi vyema inapopaki utakuta imesogezwa na upepo metre kadhaa.
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.

wakiweka vyuma vya pua kila sehemu ktk ndege hairuki.

kama unakumbuka kuna wahuni walitengeneza ndege ya vyuma mbeya kule wakafunga engene ya pikipiki,hata haikusogea.

ndege imeundwa vile ili iwe rahisi kupaa,laa sivyo itahitajika nguvu kubwa sana kuipeka juu.
 
ukilinganisha na umbo lake lilivyo kubwa bado ni nyepesi sana.

ndio maana usipoifunga kwenye vizuizi vyema inapopaki utakuta imesogezwa na upepo metre kadhaa.
Inasogezwa kwa sababu ya muundo wake ila tani 500 sio nyepesi. Ka toyota wish ukikapaki bila kukawekea break sehemu flat ni ngumu kukuta kamesombwa na upepo
 
Jamani mbona hii Ni application ya density ama ujazonene topic ya fomu wani.

Lazima materials ziwe nyepesi kuliko hewa ndugu. Yaani kweli elimu elimu inatakiwa kwa kiasi kikubwa baadaye tunaona Kama Ni uchawi.
Inachekesha mtu anadai eti ndege ya Vita itakuwa na vyuma vigumu.

Everything in this universe is operating by a specific and clear rules or principles nothing ever exited in this world without numbers calculations. Everything is calculated in terms of numbers. Life is numbers game even both natural and artificial exit because of rules of a certain numbers principles. Nothing ever exit by with chance or lucky.
Yaani nashangaa kila mtu anavyotoa beliefs zake ama mawazo yake yanavyomtuma. Na wanatumia materials ambazo Ni like aluminium ambazo Ni less dense compared to air density.
Naomba niishie hapa ,
 
Kama ndege hiyo ingetua kwa namna (uelekeo) hiyo, madhara tunayoongelea hapa yaaingetokea, kwani ndege imekuwa designed kuelea majini. Na kama ilitanguliza pua, hiyo nayo isingeleta impact katika uso wa maji (water surface), kwani ndege imetengenezwa kwa streamlined body. Hebu sema tukuelewe hiyo impact ilitokana na nini?
Unajua unachoongea lakini. Iyo body Ni kwa ajili ku survive angani. Ishu Ni density rejea nyambizi or submarine zinavyofanya Kazi majini
 
Ukitaka kujua kuwa maji yana impact panda sehem ya juu sana then dive hovyo kwenye maji uone yanavyo kuchapa kutokana na uzito wako na gravity. Uki-dive vizuri hutoweza ona impact yake kubwa. Na ile ndege it is said kuwa ali land vibaya if not nose dive. Ndomana damage ilkuwa kubwa na maji kuingia ndan ya ndege haraka na wengi kupoteza maisha.

Muwe mmafanya na research na pia kufikili tu kwa akili ya haraka hata kama hutokuwa right lakini utasogea kidogo kwa ukweli. Size ya ndege pia inaweza changia. Ile pale ndege i think kama angetuisha kwenye maji kama unavyo tuisha kwenye runway damage isingekuwa vile.

Mfano ile ndege iliyotua Hudson River ili tua kama anatua runway, so ili elea kwa muda kidogo before sinking, na pia na hisi ukubwa wa ndege naamanisha surface ya ndege ilkuwa kubwa so ili sababisha ku elea na pia waka deploy ile milango ya exit kwa kutumia slides za boya. So mambo ni mengi ya ku consider.
Correct me if I’m wrong!!
Kwahiyo precision pale ziwani ilitua au ilianguka? Na kama ilianguka, mbona haikuangukia nchi kavu? Mazingira ya ajali ile yanaonyesha rubani alipeleka ndege ziwani intentionally kwa maana ya kutaka kutua majini. Na kwa hivyo alitegemea safe landing baada ya kutouona uwanja kulikosababishwa na hali mbaya ya hewa. Sasa kama hii ilikuwa ni plan ya rubani, kwanini ndege ipate ajali kana kwamba ilianguka pasipo control ya rubani?
 
Jamani mbona hii Ni application ya density ama ujazonene topic ya fomu wani.

Lazima materials ziwe nyepesi kuliko hewa ndugu. Yaani kweli elimu elimu inatakiwa kwa kiasi kikubwa baadaye tunaona Kama Ni uchawi.
Inachekesha mtu anadai eti ndege ya Vita itakuwa na vyuma vigumu.

Everything in this universe is operating by a specific and clear rules or principles nothing ever exited in this world without numbers calculations. Everything is calculated in terms of numbers. Life is numbers game even both natural and artificial exit because of rules of a certain numbers principles. Nothing ever exit by with chance or lucky.
Yaani nashangaa kila mtu anavyotoa beliefs zake ama mawazo yake yanavyomtuma. Na wanatumia materials ambazo Ni like aluminium ambazo Ni less dense compared to air density.
Naomba niishie hapa ,
Lazima kutakuwa na modification kwenye ndege za kivita; hii inatokana na special purpose for which the aircraft was made for. Unafikiri ndege kama itatakiwa ku-shoot missile (bomb), itakuwa na matengenezo sawa na hizi commercial aircraft?
 
Unajua unachoongea lakini. Iyo body Ni kwa ajili ku survive angani. Ishu Ni density rejea nyambizi or submarine zinavyofanya Kazi majini
Kwahiyo unahisi waliotengeneza ndege hawakuconsider vigezo vya ndege kuelea?
 
Kwahiyo precision pale ziwani ilitua au ilianguka? Na kama ilianguka, mbona haikuangukia nchi kavu? Mazingira ya ajali ile yanaonyesha rubani alipeleka ndege ziwani intentionally kwa maana ya kutaka kutua majini. Na kwa hivyo alitegemea safe landing baada ya kutouona uwanja kulikosababishwa na hali mbaya ya hewa. Sasa kama hii ilikuwa ni plan ya rubani, kwanini ndege ipate ajali kana kwamba ilianguka pasipo control ya rubani?
Mi nikajua labda viwanja vyote vina kitu Kama coordinates kiasi kwamba hata Kama rubani kafumba macho ndege itatua pale pale maana anakuwa ameishaielekeza pa kutua! Aaaaaaa, kweli mi mjinga kwenye aya mambo ya anga.
 
Mkuu wazungu sio wajinga, pale inatumika physics, density =mass/ volume, density ya air inajulikana, 1.2kg/m3, kumbuka ndege ili iweze kuhimili angani lazima density yake iwe chini ya desinty ya hewa, vinginevyo itaanguka, Sasa basi, ikiwa density ya air ni constant, maanke ili uweze kudesign inabidi aidha upunguze volume au mass! Swala la mass au uzito inategemea idadi ya watu, mizigo, na material, hivyi vyitu ndivyo vinavyodepend ukubwa wa ndege au volume yake, ndo maana ndege au meli majini ni kubwa Sana, kwa hiyo basi wanategenezea material mepesi ili kupunguza uzito wa ndege , na kwa kufanya hivyo density yake itakuwa ndogo, kuliko ile ya hewa! Hatimae itapaa!!! Vinginevyo ukitumia material mazito mfano mild steel, au high carbon, stainlstell nk! Maanke idadi inabidi utengeneze volume kubwa, ya kuweza kushusha density yake, na ndege za namna hii hapa Tanzania hazipo, zipo huko ulaya, ni kubwa Sana, na mara nyingi zinabeba mizigo mizito, au vifaa vya kivita!!!

Bila Shaka umepata mwanga!!!

Knowledge of physics,(mechanical Engineering)
 
Kwa tekinolojia ya sasa hivi, operation ya ndege ina mifumo miwili; auto and manual operation. Ikiwa na mfumo wa auto, hata rubani asipoona run-way, ndege inatua yenyewe bila kuingiliwa na utendaji wa mtu.
 
Mkuu wazungu sio wajinga, pale inatumika physics, density =mass/ volume, density ya air inajulikana, 1.2kg/m3, kumbuka ndege ili iweze kuhimili angani lazima density yake iwe chini ya desinty ya hewa, vinginevyo itaanguka, Sasa basi, ikiwa density ya air ni constant, maanke ili uweze kudesign inabidi aidha upunguze volume au mass! Swala la mass au uzito inategemea idadi ya watu, mizigo, na material, hivyi vyitu ndivyo vinavyodepend ukubwa wa ndege au volume yake, ndo maana ndege au meli majini ni kubwa Sana, kwa hiyo basi wanategenezea material mepesi ili kupunguza uzito wa ndege , na kwa kufanya hivyo density yake itakuwa ndogo, kuliko ile ya hewa! Hatimae itapaa!!! Vinginevyo ukitumia material mazito mfano mild steel, au high carbon, stainlstell nk! Maanke idadi inabidi utengeneze volume kubwa, ya kuweza kushusha density yake, na ndege za namna hii hapa Tanzania hazipo, zipo huko ulaya, ni kubwa Sana, na mara nyingi zinabeba mizigo mizito, au vifaa vya kivita!!!

Bila Shaka umepata mwanga!!!

Knowledge of physics,(mechanical Engineering)
Density ya hewa haiwezi kuwa constant kila mahala; inabadilika kutokana na nature ya mahali husika; kuna maeneo fulani ni kama ya yana vacuum, na maeneo hayo ni hatari sana kwa ndege.
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Ndugu mtoa mada sio kila kitu ni ujuaji tu kwa sababu bando lipo....inaonesha wabongo tuko wajuaji sana kwa kila jambo hata yale ya kitaalamu...Ndege sio mtumbwi ambao mtu anachonga tu gogo analiingiza ziwani...Ndege hadi kuruhusiwa kuruka tena kubeba abiria ni kuwa imeidhinishwa ubora wake hapo kuanzia matilio na kila kitu...kama wataalamu wamepitisha aina hiyo ya matilio unahoji nini?Kingine kuna impact ya kuanguka ziwani na vinaendana na spidi aliyoshuka nay. kama ni kubwa uharibifu unakuwa mkubwa
 
Impact gani iliyotokea pale wakati ndege ilizama tu majini na inasemekana hakukuwa na mwamba (jiwe) wowote. Ina maana impact ya maji tu ndio isababishe uharibifu ule?

Wavuvi wanasema eneo ilipoingia ndege pana mchanga mtupu, kwahiyo impact yake baada ya kukita kwenye mchanga haikuwa kubwa kihivyo.
Viscosity force on surface of water,
 
Kwahiyo precision pale ziwani ilitua au ilianguka? Na kama ilianguka, mbona haikuangukia nchi kavu? Mazingira ya ajali ile yanaonyesha rubani alipeleka ndege ziwani intentionally kwa maana ya kutaka kutua majini. Na kwa hivyo alitegemea safe landing baada ya kutouona uwanja kulikosababishwa na hali mbaya ya hewa. Sasa kama hii ilikuwa ni plan ya rubani, kwanini ndege ipate ajali kana kwamba ilianguka pasipo control ya rubani?
Kama unaujua uwanja wa ndege wa kagera njia ya kutua, ndege inatokea ziwani kuja nchi kavu. Na ndege inaporuka inatoka nchi kavu na kuruka uelekeo wa ziwani. Kwa hiyo kama alikuwa anatua kuanguaka ziwani ni kuwa alianguka nyuma ya runway.
 
Uki deploy landing gear automatically huwa kuna amount ya speed ya ndege inapungua, huu ni mfumo uliowekwa kwenye software za ndege.

Rubani wa precision ali-deploy landing gear ku-dis-engage thrust ili ndege izame kwa speed ndogo lkn ubaya wa hii mechanisim ni kuwa huwa ndege inazama -"Nose dive"

Option 2
ambayo rubani angeifanya ni kuto-dis-engage thrust na kuto-deploy landing gear na kutua kwa speed kubwa huku akibalance tail na whole structure ya ndege itue juu ya maji kwa namna ya kuelea, jambo ambalo lingewezekana kama ameona ndege ingesimama katikati ya maji bila kwenda kugonga mwamba wowote.

Ila yote haya yanategemea na mambo kama.
Emergency response training,Dangerous landing tactics, Threat engagement response,
ambayo first officer na captain walikuwa na ujuzi nao , na mara nyingi hizi kozi zinatakikana kuzi soma kila baada ya muda kadhaa na kuzirudia tena kama kuna update ya software za ndege(mara nyingi kama rubani ana muda mwingi haja-fly).

Rejea NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL
kipindi kinaitwa AIRCRASH INVESTIGATION.

mbali na tatizo la kiufundi kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha ajali ya ndege.

Kama nimekosea . niko tyr kurekebishwa.
Mkuu japokuwa sijakuelewa maeneo mengine, lakini nakubaliana nawe ulichokisema.
 
Back
Top Bottom