Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

Tutalifanyia kazi
Nilikuita rubani baada ya kuona uandishi wako hapo juu uliolenga mambo ya kuendesha ndege. Lakini jibu ulilompa jamaa hivi punde, linaashiria jambo tofauti! Unaposema "tutalifanyia kazi", unasema hivyo kama nani?
 
Usimponze... Tumbo ataumia saana, mwambie ajitupe kimgongo mgongo, afikie mgongo aone june-july yake
Na hapo ataumia sana pia..muambie asimame kwenye maji ya swimming pool halafu achape maji kwa nguvu kwa kutumia kiganja chake cha mkono alete majibu.
 
Nilikuita rubani baada ya kuona uandishi wako hapo juu uliolenga mambo ya kuendesha ndege. Lakini jibu ulilompa jamaa hivi punde, linaashiria jambo tofauti! Unaposema "tutalifanyia kazi", unasema hivyo kama nani?
Unataka kujua Mimi Ni Nani
Kama huwa unaenda Dubai Mara kwa Mara Basi sura yangu si ngeni kwako
 
Tuweke wazi tu, siendi huko (Dubai), lakini hata kama ningekuwa naenda mara kwa mara huenda nisingeijua sura yako, kwani watu ni wengi nitakaokutana nao. Hata hivyo, kuna ubaya gani kuweka wazi 'title yako'?
 
Kwa hiyo unataka kusema effect ya turbulence itakayopata ndege ndogo na kubwa zilizotengenezwa kwa material sawa haitakuwa tofauti (namaanisha myumbisho)? Kwa ndege tunaongelea air turbulence, na kwa meli tunasema water turbulence, sasa mbona meli kubwa inavumilia turbulence kuliko meli ndogo? Does it not apply to planes as well?
Ndege kubwa au ndogo zote znatengenezwa mostly kwa material yaleyale... ndege kubwa zinahimiri turbulence vzr zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya Aluminium na Chuma, kipi imara zaidi?
Kutegemeana na manufacturing tech iliyotumka alluminium inaweza kulingana uimara na chuma na yet ikawa na faida ya wepesi
 
Namaanisha uimara wa kuhimili impacts za crashing. Lakini kama tunaongelea ductility, nadhani carbon iron is the most ductile material
Sio carbon composite?
 
Namaanisha uimara wa kuhimili impacts za crashing. Lakini kama tunaongelea ductility, nadhani carbon iron is the most ductile material
Katika crushing tunataka kitu ambacho kiko crunchy, yani kinajikunja. Ukiweka vyuma vigumu alafu ukapata ajali, chombo kitasurvive ila abiria watakufa.
Mfano magari sikuiz yanatengenezwa kwa material zinazokunjika ndiomaana sio ajabu kuona mtu anapona ktk ajali akiwa 100km/h.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ndege kubwa zinahimili air turbulence kutokana na uzito wake na sio air wings kama baadhi watu wamesema hapa.
Nope nope.
Turbulence ni kama mabonde. Ulishawah kupanda ndege kukiwa na Turbulence ukaangalia mabawa? Utaona ni kama yananesa hivi, kama yanakunjika... sasa hio ni kusudi i-absorb impact. Ukiweka kitu solid kwanza ndege itakua ngumu kucontrol na hivo kua rahisi kupoteza control...
Na hii ndio sababu ndege (wanyama) hawadhuriki sana na Turbulence; MABAWA YAO NI FLEXIBLE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua kuwa maji yana impact panda sehem ya juu sana then dive hovyo kwenye maji uone yanavyo kuchapa kutokana na uzito wako na gravity. Uki-dive vizuri hutoweza ona impact yake kubwa. Na ile ndege it is said kuwa ali land vibaya if not nose dive. Ndomana damage ilkuwa kubwa na maji kuingia ndan ya ndege haraka na wengi kupoteza maisha.

Muwe mmafanya na research na pia kufikili tu kwa akili ya haraka hata kama hutokuwa right lakini utasogea kidogo kwa ukweli. Size ya ndege pia inaweza changia. Ile pale ndege i think kama angetuisha kwenye maji kama unavyo tuisha kwenye runway damage isingekuwa vile.

Mfano ile ndege iliyotua Hudson River ili tua kama anatua runway, so ili elea kwa muda kidogo before sinking, na pia na hisi ukubwa wa ndege naamanisha surface ya ndege ilkuwa kubwa so ili sababisha ku elea na pia waka deploy ile milango ya exit kwa kutumia slides za boya. So mambo ni mengi ya ku consider.
Correct me if I’m wrong!!

Pia kuna uwezekano kama angefanya Basic landing kungekuwa na impact kubwa zaid ya pale, landing za design hiyo ni salama zaidi baharini au hata sehemu yenye surface kubwa kuwezesha ndege ku sink bila ku collide mahali, alichofanya rubani wa precision kilikuwa ni salama kwa 90% kama abiria wote wangeandaliwa au kuwa na elimu ya majanga. Ukisikiliza vizur mashuhuda na manusura wanasema bawa moja LILIKATIKA hii pekee inaonyesha ukomavu na uzoefu wa rubani ikimaanisha alifanya kwa makusudi kulaza ndege upande ili kuizuia kuelea kuelekea mbali ambako kulikua na mwisho wa ziwa hivyo kama ndege inge-slide kuelekea mwisho wa ziwa manake kulikuwa na uwezekano wa ndege kwenda kugonga na kulipuka na watu wote kupoteza maisha on the spot.
 
Katika crushing tunataka kitu ambacho kiko crunchy, yani kinajikunja. Ukiweka vyuma vigumu alafu ukapata ajali, chombo kitasurvive ila abiria watakufa.
Mfano magari sikuiz yanatengenezwa kwa material zinazokunjika ndiomaana sio ajabu kuona mtu anapona ktk ajali akiwa 100km/h.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukirudi ajali ya precision, ndege isingejikunja vile nadhani watu wengi wangepona. Kule kujikunja ndio kulikomaliza ndugu zetu!
 
Nope nope.
Turbulence ni kama mabonde. Ulishawah kupanda ndege kukiwa na Turbulence ukaangalia mabawa? Utaona ni kama yananesa hivi, kama yanakunjika... sasa hio ni kusudi i-absorb impact. Ukiweka kitu solid kwanza ndege itakua ngumu kucontrol na hivo kua rahisi kupoteza control...
Na hii ndio sababu ndege (wanyama) hawadhuriki sana na Turbulence; MABAWA YAO NI FLEXIBLE

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah hapa pagumu kueleweka! Kuna mdau humu alisema ndege ndogo zinaathirika zaidi kwenye turbulence kuliko ndege kubwa, kwani turbulence ni nini?
 
Pia kuna uwezekano kama angefanya Basic landing kungekuwa na impact kubwa zaid ya pale, landing za design hiyo ni salama zaidi baharini au hata sehemu yenye surface kubwa kuwezesha ndege ku sink bila ku collide mahali, alichofanya rubani wa precision kilikuwa ni salama kwa 90% kama abiria wote wangeandaliwa au kuwa na elimu ya majanga. Ukisikiliza vizur mashuhuda na manusura wanasema bawa moja LILIKATIKA hii pekee inaonyesha ukomavu na uzoefu wa rubani ikimaanisha alifanya kwa makusudi kulaza ndege upande ili kuizuia kuelea kuelekea mbali ambako kulikua na mwisho wa ziwa hivyo kama ndege inge-slide kuelekea mwisho wa ziwa manake kulikuwa na uwezekano wa ndege kwenda kugonga na kulipuka na watu wote kupoteza maisha on the spot.
Bawa lilikatika baada ya kuhit maji au kabla? Kama lilikatika ikiwa majini rubani alipata muda wa kuicontrol na kuilaza upande mmoja kabla ya kuvunjika na kuwa L?
 
Nope nope. Up
Turbulence ni kama mabonde. Ulishawah kupanda ndege kukiwa na Turbulence ukaangalia mabawa? Utaona ni kama yananesa hivi, kama yanakunjika... sasa hio ni kusudi i-absorb impact. Ukiweka kitu solid kwanza ndege itakua ngumu kucontrol na hivo kua rahisi kupoteza control...
Na hii ndio sababu ndege (wanyama) hawadhuriki sana na Turbulence; MABAWA YAO NI FLEXIBLE

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilitaka Kuandika same thing about material used and can survive bending and turbulences. Ila kuona hili aangalia pindi ndege ikitua jinsi wings huwa zinanesa kupunguza kutokea mvunjiko wowote.
 
Back
Top Bottom