Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

Ukitaka kujua kuwa maji yana impact panda sehem ya juu sana then dive hovyo kwenye maji uone yanavyo kuchapa kutokana na uzito wako na gravity. Uki dive vizuri hutoweza ona impact yake kubwa. Na ile ndege it is said kuwa ali land vibaya if not nose dive. Ndomana damage ilkuwa kubwa na maji kuingia ndan ya ndege haraka na wengi kupoteza maisha. Muwe mmafanya na research na pia kufikili tu kwa akili ya haraka hata kama hutokuwa right lakini utasogea kidogo kwa ukweli. Size ya ndege pia inaweza changia. Ile pale ndege i think kama angetuisha kwenye maji kama unavyo tuisha kwenye runway damage isingekuwa vile. Mfano ile ndege iliyotua Hudson River ili tua kama anatua runway, so ili elea kwa muda kidogo before sinking, na pia na hisi ukubwa wa ndege naamanisha surface ya ndege ilkuwa kubwa so ili sababisha ku elea na pia waka deploy ile milango ya exit kwa kutumia slides za boya. So mambo ni mengi ya ku consider...
Correct me if I’m wrong!!
Uki deploy landing gear automatically huwa kuna amount ya speed ya ndege inapungua, huu ni mfumo uliowekwa kwenye software za ndege.

Rubani wa precision ali-deploy landing gear ku-dis-engage thrust ili ndege izame kwa speed ndogo lkn ubaya wa hii mechanisim ni kuwa huwa ndege inazama -"Nose dive"

Option 2
ambayo rubani angeifanya ni kuto-dis-engage thrust na kuto-deploy landing gear na kutua kwa speed kubwa huku akibalance tail na whole structure ya ndege itue juu ya maji kwa namna ya kuelea, jambo ambalo lingewezekana kama ameona ndege ingesimama katikati ya maji bila kwenda kugonga mwamba wowote.

Ila yote haya yanategemea na mambo kama.
Emergency response training,Dangerous landing tactics, Threat engagement response,
ambayo first officer na captain walikuwa na ujuzi nao , na mara nyingi hizi kozi zinatakikana kuzi soma kila baada ya muda kadhaa na kuzirudia tena kama kuna update ya software za ndege(mara nyingi kama rubani ana muda mwingi haja-fly).

Rejea NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL
kipindi kinaitwa AIRCRASH INVESTIGATION.

mbali na tatizo la kiufundi kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha ajali ya ndege.

Kama nimekosea . niko tyr kurekebishwa.
 
Labda nikufafanulie kidogo tu uelewe. Ule mgongano wa ndege na maji ndio impact inayozungumziwa hapa ndugu. Sio kuzama. Kumbuka maji sio hewa mzee. Ukitaka kuelewa maana ya mchangiaji hapo juu, nenda ziwani au baharini. Panda kwenye kingo yenye mwinuko (yaweza kuwa kwenye jiwe au ukingo lakini kuwe na mwinuko ambao unaweka kuingia majini kwa kuruka) kisha jitupe kwenda kwenye maji ukiwa umetanguliza tumbo. Halafu rudi hapa utuambie ulijisikiaje tumbo lilipotua kwenye maji kwa kasi ya mruko wako.
Kama ndege hiyo ingetua kwa namna (uelekeo) hiyo, madhara tunayoongelea hapa yaaingetokea, kwani ndege imekuwa designed kuelea majini. Na kama ilitanguliza pua, hiyo nayo isingeleta impact katika uso wa maji (water surface), kwani ndege imetengenezwa kwa streamlined body. Hebu sema tukuelewe hiyo impact ilitokana na nini?
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
ndege utengenezwa kwa material ya aluminium kwa sababu ni magumu lakini pia ni mepesi hayan uzito mkubwa.

swala la ajali ni ajali tu haijalish material ni magumu ama vipi for example Meli ya titanic ilitengenezwa kwa material ya chuma lakini ilikatika
 
Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea. [emoji23]

stars Hakuna kitu kinazingatiwa na uimara na usalama kwenye ndege.. Pamoja na mzinga wote ule umeona kuna kioo kimepasuka?

Hapo ndio pa kushangaa.....machuma yanavunjika kama mabua lakini kioo kipo ngangali.
 
ndege utengenezwa kwa material ya aluminium kwa sababu ni magumu lakini pia ni mepesi hayan uzito mkubwa.

swala la ajali ni ajali tu haijalish material ni magumu ama vipi for example Meli ya titanic ilitengenezwa kwa material ya chuma lakini ilikatika
Nasikia Titanic ilipiga mwamba, sasa kuna miamba migumu sana pengine kuliko chuma. Kuvunjika kwa Titanic kulitokana na speed na mwelekeo wa meli hiyo kuelekea kwenye mwamba husika. Precision haijagonga mwamba na imeingia kwenye eneo lenye mchanga! Impact ya kuharibu ndege kiasi kile imetoka wapi?
 
Mkuu hili jina lako.... Dah... Hebu mwambie Mhe. Jaji pale Rau madukani Walikunywa k vant kubwa ngapi na walikua wanazimua na Mo energy au Azam energy?
Mheshimiwa jaji, kwa sababu magaidi walikuwa wamechoka tuliwanunulia mo energy na mishikaki kwa hela tuliyowachomolea mifukoni mwao. Tuliwanunulia chakula ili wapate nguvu ya kulijenga taifa.
 
Ha ha ha ha haaaaa.... Sina swali lingine Kwa Shahidi Mkuu, naomba nikae.
 
Uki deploy landing gear automatically huwa kuna amount ya speed ya ndege inapungua, huu ni mfumo uliowekwa kwenye software za ndege.

Rubani wa precision ali-deploy landing gear ku-dis-engage thrust ili ndege izame kwa speed ndogo lkn ubaya wa hii mechanisim ni kuwa huwa ndege inazama -"Nose dive"

Option 2
ambayo rubani angeifanya ni kuto-dis-engage thrust na kuto-deploy landing gear na kutua kwa speed kubwa huku akibalance tail na whole structure ya ndege itue juu ya maji kwa namna ya kuelea, jambo ambalo lingewezekana kama ameona ndege ingesimama katikati ya maji bila kwenda kugonga mwamba wowote.

Ila yote haya yanategemea na mambo kama.
Emergency response training,Dangerous landing tactics, Threat engagement response,
ambayo first officer na captain walikuwa na ujuzi nao , na mara nyingi hizi kozi zinatakikana kuzi soma kila baada ya muda kadhaa na kuzirudia tena kama kuna update ya software za ndege(mara nyingi kama rubani ana muda mwingi haja-fly).

Rejea NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL
kipindi kinaitwa AIRCRASH INVESTIGATION.

mbali na tatizo la kiufundi kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha ajali ya ndege.

Kama nimekosea . niko tyr kurekebishwa.
Ndege haiwezi elew juu ya maji. Angefanya hivyo ndo wasingeokolewa kabisa
 
Mkuu kwa wastani ndege hugusa chini ikitua salama salimini ikiwa katika speed kati ya 210km/h - 260km/h. Fikiria gari katika mwendo huo. Fikiria mazingira ya uwanja inapotua.

Sasa kumbuka ndege hii haikutua uwanjani bali Ili crash land ziwani ambako terrain ni aijuaye mola.

Kwa hakika hata ingekuwa imetengenezwa kwa chuma cha pua ingepasuka tu wala kusingekuwa na ujanja.
Yawezekana wavuvi hawakuona vizuri chini ya maji, huenda labda kulikuwa na mwamba.
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Tena hiyo ni ngumu, hizo dreamliner ndio nyepesi zaidi
 
Labda nikufafanulie kidogo tu uelewe. Ule mgongano wa ndege na maji ndio impact inayozungumziwa hapa ndugu. Sio kuzama. Kumbuka maji sio hewa mzee. Ukitaka kuelewa maana ya mchangiaji hapo juu, nenda ziwani au baharini. Panda kwenye kingo yenye mwinuko (yaweza kuwa kwenye jiwe au ukingo lakini kuwe na mwinuko ambao unaweka kuingia majini kwa kuruka) kisha jitupe kwenda kwenye maji ukiwa umetanguliza tumbo. Halafu rudi hapa utuambie ulijisikiaje tumbo lilipotua kwenye maji kwa kasi ya mruko wako.
Hata hewa kama ukiweza kuitembeza hiyo ndege kwa km 10,000 kwa saa itaungua kwa moto utaotokana na msuguano kati ya ndege na hewa. Space shuttle Columbia iliteketea kwa staili hiyo ikiingia anga la dunia tokea space station
 
Hapa tatizo ni shule, ndege itengenezwe kwa materials ngumu ili iwe nini wakatj design yake ni kuelea angani tu. Kuanguka kwa ndege ni jambo adimu sana kutokea
Kwa maandishi haya sijui anayehitaji shule ni nani! Hivi air resistance itokanayo na speed ya ndege unaijua? Mshana Jr hapo juu amekuambia vyuma vilivunjika lakini vioo vya mbele (wind shield) vilibaki kama vimetoka dukani! Unafikiri kwa nini vioo viwe vizito kiasi hicho?
 
stars Hakuna kitu kinazingatiwa na uimara na usalama kwenye ndege.. Pamoja na mzinga wote ule umeona kuna kioo kimepasuka?

Hapo ndio pa kushangaa.....machuma yanavunjika kama mabua lakini kioo kipo ngangali.
Gravitational force.. NGUVU kani uvutano
 
Back
Top Bottom