Bila waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
1,826
4,074
Niaje waungwana

Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye uchumi mkubwa wa mafuta kama vile Saudi Arabia, Iraq, Iran nk.

Baada ya kufanikiwa kuzifikia nchi hizo, hatua ambayo ingefuata ni kutumia ukubwa wa empire yao kuvamia nchi moja moja. Na ingekuwa rahisi kwa sababu empire yao ingekuwa kubwa, plus misaada ya kijeshi kama vile silaha kubwakubwa kutoka Marekani na Ulaya, fedha za kuwasaidia kununua material mbali mbali ya kutengeneza silaha nk. Hivyo wangepiga nchi moja moja na kuchukua eneo lote la Mashariki ya kati lenye utajiri mkubwa wa mafuta, na kuhakikisha kuwa eneo lote linakuwa chini ya nchi hizo za magharibi kupitia mgongo wa Israel.

Waarabu haswa zile nchi zilizokuwa kwenye target kama vile Saudi Arabia, Oman nk wao hawakuwa na habari ya kile kinachoendelea au kinachopangwa kufanywa dhidi yao. Wao kikubwa washibe wali, watafune tende na kulaghaiwa kwa maneno matamu na serikali za Marekani, UK na nchi nyingine za magharibi.

Shida kubwa kwa viongozi wa nchi za magharibi ilikuwa ni namna gani wataweza kuidhibiti Iran ambayo haionekani kudhibitika. Wakitega mtego wa wali na tende kama walivyowategea waarab muajemi hakamatiki, wakitengeneza propaganda za kumdhoofisha muajemi hadhoofiki, wakimuwekea vikwazo ili kuuwa uchumi wake moja kwa moja, jamaa wanatumia njia nyingine kukwepa vikwazo na kuiingizia nchi yao hela za kufanya mambo yao kama kawaida. Kifupi jamaa waliwatia jasho viongozi wa magharibi awamu kwa awamu.

Kila raisi wa Marekani alipoingia alikuja na mbinu zake, mwisho wa siku muda wake unaisha bila mbinu zake kufanikiwa, anakuja raisi mungine, hivyo mpaka anatoka bila mabadiliko yoyote ya mafanikio. Hii ni toka miaka ya 70 mpaka leo waajemi wameshindikana, na kuwa tishio kubwa kwa mpango wao walioupanga miaka mingi.

Waajemi ambao wao kiasili sio waarab, waliliona hilo mapema kabla hata halijapangwa vizuri mezani. Wakajitaarisha mapema na chochote kitachotokea wadili nacho muda huo huo kabla ya kujitanua na kusabanisha madhara makubwa kwa nchi yao na majirani zao.

Na hapo ulitumika uzoefu walio nao miaka na miaka. Historia tena ya wazungu wenyewe inakubali kwamba Uajemi kabla ya kuzaliwa Yesu (BC), na kabla ya utawala wa waroma, waliwahi kuwa na empire (himaya) ambayo ilitawala sehemu kubwa huko Asia ikiwemo Israel ya leo. Hivyo hawa ni watu wenye nguvu, akili na uwezo mkubwa wa kujilinda toka maelfu ya miaka iliyopita. Leo hii ukitaja nchi ambazo ziliwahi kuwa na empire kubwa na zenye nguvu duniani basi yao pia himo.

Sasa basi, baada ya waajemi kugundua mipango hiyo, wakaanza kutafuta mbinu za kumdhibiti adui na wasaidizi wake.

Before Israel na Marekani hawajajiandaa kufanya mpango wa kuzivamia kwanza Lebanon, Syria nk, yeye muajemi akawawahi kwa kuwaweka vijana wenye silaha, mbinu za kijehi na misimamo ya kupigania ardhi zao pale pale karibu na mipaka ya Israel. Hivyo kuhakikisha kwamba kabla maadui hawajasogea huku kukamata nchi hizo za Syria, Lebanon na nchi yote ya Palestina, wadhibitiwe kwanza na vijana hao ambao wengi wao wameshatoboka roho, kufa kwao ni sehemu ya maisha tu (kama vile kula, kuoga, kuvaa au kwenda chooni) tofauti na askari wa Israel ambao wao wanaenda vitani, huku wakiwafikiria wake zao na watoto wao.

Na kweli mpango huo wa waajemi umesaidia kwa kiasi kikubwa kuzima ndoto za mataifa ya magharibi kuziteka na kuzikalia nchi hizo kama walivyopanga. Leo hii waarab wa Saudi Arabia ndo kama vile akili kwa mbaali zinaaza kuwaingia na kuanza kushirikiana na muajemi kidgo kidogo baada ya kupewa mchoro mzima wa kile kilichokuwa kinapangwa na wakorofi hao wa dunia.

Lakini pia pamoja na kuandaa vijana wa kuidhibiti Israel isijitanue kama ilivyopangwa, vilevile hawakutaka kuipa nafasi nchi yoyote adui asogelee anga lao, ndomaana kila Mmarekani alipojaribu kusogeza ndege zake na meli zake za kijeshi karibu na anga la waajemi zilishambuliwa zote na kuachwa majivu matupu.

Kwa namna hiyo ikabidi mmarekani na yeye aje na mbinu kama ya waajemi kwa kuweka watu wake mashariki ya kati ambao na wao watapambana kwa lengo la kulinda masilahi yao, na pengine kuangalia njia za kuwadhibiti vijana waliowekwa na waajemi.

Kundi hilo la kulinda masilahi ya Marekani likapewa jina la Alkaida, wakakusanywa kina Osama, wafuga ndevu mbali mbali na wale wafia dini ambao hawakuwa wanajua kinachoendelea katika mpango ule. Yani unakuta mfia dini na yeye anajiunga na alkaida kumuunga mkono Osama bila kujua kwamba Osama mwemyewe yupo kwenye mission zake.

Baada ya miongo kadhaa ya Osama na genge lake kuleta sintofahamu mashariki ya kati, na Osama kuonekana kuwa ameshachoka kuendelea na mission ile kutokana na umri, pia kupoteza mvuto kwa alkaida mashariki ya kati, ikabidi waamue kumrudisha Osama Marekani akaendelee na maisha yake ya kula bata na wajukuu zake kutokana na kazi kubwa aliyoifanya. Ila ili arudishwe Marekani na kuacha kuzungumziwa alipoendea ikabidi ipangwe ambush ya kutengeneza kifo chake ili asije akafuatiliwa tena waandishi habari ambao wengi wangetaka kujua alipo na operation ya mchongo ya Marekani kumtafuta imeshia wapi.

Osama akapangiwa kifo cha kutengenezwa waandishi wa habari walipotaka kuoneshwa maiti walizungushwa zungushwa na kukwepwa, walipotaka pia kuonesha angalau kaburi wakaambia amezikiwa baharini na picha likaishia hapo. Mpaka leo hakuna aliona maiti ya Osama wala kaburi lake. Lakini wale waliouwawa ki ukweli kama kina Ghadafi, Sadam Hussein na wengine wengi wa aina hiyo maiti zao zilionekana na makaburi yao yanajulikana yalipo.

Baadae likatengenezwa kundi lingine na kupewa jina la Islamic state ila makundi yote yanapoanzishwa yanapewa onyo kwamba yafanye uharibifu kote mashariki ya kati ili kutimiza lengo la kusogelea mipaka ya adui (Uajemi), ila wasijisahau wakaingia mpaka Israel kutengeneza maafa kwa ndugu wa wale waliowatuma. Hivyo hauwezi kukuta makundi hayo yana mpango wala wazo la kuvamia Israel kama wafanyavyo Hizbulla, Hamas na wengine ambao hawana deal na magharibi.

Muajemi sio sawa na Iraq au Libya kwamba utaenda kuivamia muda wowote. Ile haivamiliki kishamba, ndomaana Marekani na washirika wake waliweza kuzivamia Iraq, Libya, Vietnam, Syria, Cuba nk ambazo kimsingi hazijawahi kufanya uharibifu wowote kwa Marekani, lakini Muajemi ambae hufanya uharibifu mkubwa na sometimes mauaji kwa askari wa Marekani hawajawahi kuthubutu kuigusa, cause wanajua wakithubutu kuigusa nchi hizo zitakumbana na vita ambayo itasababisha hasara kubwa kwao, lakini muda huo wanajua Israel haitokuwepo tena katika ramani ya mashariki ya kati anymore, hivyo CIA na Mosad wanawaambia kabisa viongozi wao kuwa jamaa hawaingiliki hovyo hovyo, maana ni hatari na nusu. Ndomaana miaka yote wamekuwa wakifanya ambush tu za hapa na pale, lakini muajemi na yeye anajibu kwa kishindo na kwa madhara makubwa mno kwao.

Hilo ndio swala linalomfanya sasa hivi raisi wa Marekani akubali yaishe kwa kutaka kuundwa taifa lingine la Palestina, waisrael wabaki na sehemu yao waliobahatika kuiteka miaka hiyo. Maana amegundua kwamba ile mbinu waliokuwa wamepanga kamwe haitowezekana as long as Iran still Super Power katika eneo lao la Mashariki ya kati. Bila yenyewe sasa hivi nchi zote zingekuwa mikoa ya Israel na Marekani angetengeneza bomba la mafuta kutoka katika Saudia Arabia, Iran, Iraq, Syria liende hadi kwake. Halafu UK na wamagharibi wengine nao wajipendelee nchi zingine zilizobaki.

But ndo hivyo mission is impossible. Waarab wawashukuru sana waajemi kwa kuwalinda.
 
Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
 
Niaje waungwana

Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye uchumi mkubwa wa mafuta kama vile Saudi Arabia, Iraq, Iran nk.

Baada ya kufanikiwa kuzifikia nchi hizo, hatua ambayo ingefuata ni kutumia ukubwa wa empire yao kuvamia nchi moja moja. Na ingekuwa rahisi kwa sababu empire yao ingekuwa kubwa, plus misaada ya kijeshi kama vile silaha kubwakubwa kutoka Marekani na Ulaya, fedha za kuwasaidia kununua material mbali mbali ya kutengeneza silaha nk. Hivyo wangepiga nchi moja moja na kuchukua eneo lote la Mashariki ya kati lenye utajiri mkubwa wa mafuta, na kuhakikisha kuwa eneo lote linakuwa chini ya nchi hizo za magharibi kupitia mgongo wa Israel.

Waarabu haswa zile nchi zilizokuwa kwenye target kama vile Saudi Arabia, Oman nk wao hawakuwa na habari ya kile kinachoendelea au kinachopangwa kufanywa dhidi yao. Wao kikubwao washibe wali, watafune tende na kulaghaiwa kwa maneno matamu na serikali za Marekani, UK na nchi nyingine za magharibi.

Shida kubwa kwa viongozi wa nchi za magharibi ilikuwa ni namna gani wataweza kuidhibiti Iran ambayo haionekani kudhibitika. Wakitega mtego wa wali na tende kama walivyowategea waarab muajemi hakamatiki, wakitengeneza propaganda za kumdhoofisha muajemi hadhoofiki, wakimuwekea vikwazo ili kuuwa uchumi wake moja kwa moja, jamaa wanatumia njia nyingine kukwepa vikwazo na kuiingizia nchi yao hela za kufanya mambo yao kama kawaida. Kifupi jamaa waliwatia jasho viongozi wa magharibi awamu kwa awamu.

Kila raisi wa Marekani alipoingia alikuja na mbinu zake, mwisho wa siku muda wake unaisha bila mbinu zake kufanikiwa, anakuja raisi mungine, hivyo mpaka anatoka bila mabadiliko yoyote ya mafanikio. Hii ni toka miaka ya 70 mpaka leo waajemi wameshindikana, na kuwa tishio kubwa kwa mpango wao walioupanga miaka mingi.

Waajemi ambao wao kiasili sio waarab, waliliona hilo mapema kabla hata halijapangwa vizuri mezani. Wakajitaarisha mapema na chochote kitachotokea wadili nacho muda huo huo kabla ya kujitanua na kusabanisha madhara makubwa kwa nchi yao na majirani zao.

Na hapo ulitumika uzoefu walio nao miaka na miaka. Historia tena ya wazungu wenyewe inakubali kwamba Uajemi kabla ya kuzaliwa Yesu (BC), na kabla ya utawala wa waroma, waliwahi kuwa na empire (himaya) ambayo ilitawala sehemu kubwa huko Asia ikiwemo Israel ya leo. Hivyo hawa ni watu wenye nguvu, akili na uwezo mkubwa wa kujilinda toka maelfu ya miaka iliyopita. Leo hii ukitaja nchi ambazo ziliwahi kuwa na empire kubwa na zenye nguvu duniani basi yao pia himo.

Sasa basi, baada ya waajemi kugundua mipango hiyo, wakaanza kutafuta mbinu za kumdhibiti adui na wasaidizi wake.

Before Israel na Marekani hawajajiandaa kufanya mpango wa kuzivamia kwanza Lebanon, Syria nk, yeye muajemi akawawahi kwa kuwaweka vijana wenye silaha, mbinu za kijehi na misimamo ya kupigania ardhi zao pale pale karibu na mipaka ya Israel. Hivyo kuhakikisha kwamba kabla maadui hawajasogea huku kukamata nchi hizo za Syria, Lebanon na nchi yote ya Palestina, wadhibitiwe kwanza na vijana hao ambao wengi wao wameshatoboka roho, kufa kwao ni sehemu ya maisha tu (kama vile kula, kuoga, kivaa au kwenda chooni) tofauti askari wa Israel ambao wanaenda vitani huku wakiwafikiria wake zao na watoto wao.

Na kweli mpango huo wa waajemi umesaidia kwa kiasi kikubwa kuzima ndoto za mataifa ya magharibi kuziteka na kuzikalia nchi hizo kama walivyopanga. Leo hii waarab wa Saudi Arabia ndo kama vile akili kwa mbaali zinaaza kuwaingia baada ya kupewa mchoro mzima wa kile kilichokuwa kinapangwa na wakorofi hao wa dunia.

Lakini pia pamoja na kuandaa vijana wa kuidhibiti Israel isijitanue kama ilivyopangwa, vilevile hawakutaka kuipa nafasi nchi yoyote adui asogelee anga lao, ndomaana kila Mmarekani alipojaribu kusogeza ndege zake na meli zake za kijeshi karibu na anga la waajemi zilishambuliwa zote na kuachwa majivu matupu.

Mmarekani ikabidi na yeye aje na mbinu kama ya Uajemi kwa kuweka watu ambao na wao watapambana kwa lengo la kulinda masilahi yao, na pengine kuangalia njia za kuwadhibiti vijana waliowekwa na waajemi.

Kundi hilo la kulinda masilahi ya Marekani likapewa jina la Alkaida, wakakusanywa kina Osama, wafuga ndevu mbali mbali na wale wafia dini ambao hawakuwa wanajua kinachoendelea katika mpango ule. Yani unakuta mfia dini na yeye anajiunga na alkaida kumuunga mkono Osama bila kujua kwamba Osama mwemyewe yupo kwenye mission.

Baada ya muongo kadhaa ya Osama na genge lake kuleta sintofahamu mashariki ya kati na Osama kuonekana kuwa ameshachoka kuendelea na mission ile kutokana na umri, pia kupoteza mvuto kwa alkaida mashariki ya kati, ikabidi waamue kumrudisha Osama Marekani akaendelee na maisha yake ya kula bata kutokana na kazi kubwa aliyoifanya. Ila ili arudishwe Marekani na kuacha kuzungumziwa alipoendea ikabidi ipangwe ambush ya kutengeneza kifo chake ili asije akafuatiliwa tena waandishi habari ambao wengi wangetaka kujua alipo na operation ya mchongo ya Marekani kumtafuta imeshia wapi.

Osama akapangiwa kifo cha kutengenezwa waandishi wa habari walipotaka kuoneshwa maiti walizungushwa zungushwa na kukwepwa, walipotaka pia kuonesha angalau kaburi wakaambia amezikiwa baharini na picha likaishia hapo. Mpaka leo hakuna aliona maiti ya Osama wala kaburi lake. Lakini wale waliouwawa ki ukweli kama kina Ghadafi, Osama na wengine wengi wa aina hiyo maiti zao zilionekana na makaburi yao yanajulikana yalipo. Baadae likatengenezwa kundi lingine na kupewa jina la Islamic state ila makundi yote yanapewa onyo kwamba yafanye uharibifu kote mashariki ili kutimiza lengo la kusogelea mipaka ya adui (Uajemi), ila wasijisahau wakaingia mpaka na Israel kutengeneza maafa kwa ndugu wa waliowatuma. Hivyo hauwezi kukuta makundi hayo yana mpango wala wazo la kuvamia Israel kama wafanyavyo Hizbulla, Hamas na wengine ambao hawana deal na magharibi.

Muajemi sio sawa na Iraq au Libya kwamba utaenda kuivamia muda wowote. Ile haivamiliki kishamba, ndomaana Marekani na washirika wake waliweza kuzivamia Iraq, Libya, Vietnam, Syria, Cuba nk ambazo kimsingi hazijawahi kufanya uharibifu wowote kwa Marekani, lakini Muajemi ambae hufanya uharibifu mkubwa na sometimes mauaji kwa askari wa Marekani hawajawahi kuthubutu kuigusa, cause wanajua wakithubutu kuigusa nchi hizo zitakumbana na vita ambayo itasababisha hasara kubwa kwao, lakini muda huo wanajua Israel haitokuwepo tena katika ramani ya mashariki ya kati anymore, hivyo CIA na Mosad wanawaambia kabisa viongozi wao kuwa jamaa hawaingiliki hovyo hovyo, maana ni hatari na nusu. Ndomaana miaka yote wamekuwa wakifanya ambush tu za hapa na pale, lakini muajemi na yeye anajibu kwa kishindo na kwa madhara makubwa mno kwao.

Hilo ndio swala linalomfanya sasa hivi raisi wa Marekani akubali yaishe kwa kutaka kuundwa taifa lingine la Palestina, waisrael wabaki na sehemu yao waliobahatika kuiteka miaka hiyo. Maana amegundua kwamba ile mbinu waliokuwa wamepanga kamwe haitowezekana as long as Iran still Super Power katika eneo lao la Mashariki ya kati. Bila yenyewe sasa hivi nchi zote zingekuwa mikoa ya Israel na Marekani angetengeneza bomba la mafuta kutoka katika Saudia Arabia, Iran, Iraq, Syria liende hadi kwake. Halafu UK na wamagharibi wengine nao wajipendelee nchi zingine zilizobaki.

But ndo hivyo mission is impossible. Waarab wawashukuru sana waajemi kwa kuwalinda.
Hizi stori zenu mnazodanganyana redio imani ni shida sana Israel inachopigania ni mipaka yake ilichorwa kwenye torati yao mahali walipoishi mababu zao kama Jerusalem, Judea and Samaria hana mpango na ardhi za waarabu ukimuona anashika ardhi za waarabu ni kuajili ya kujilinda TU kama Golan height na Gaza nafikiri ili Hamas wazimrushie rushie maroketi
 
Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Kama Marekani na Uingereza ambao ndo walio ianzisha hiyo Israel wanatambua kuwa west bank ni eneo la wapalestina ww mlala njaa kutoka simanjiro ni nani mpaka ukatae hilo?

Huo usalama hawezi kuulindia kwenye ardhi yake mpaka aende kwenye ardhi ya nchi nyingine, kila nchi ikifanya hivyo hii dunia itakalika?
 
Hapo sasa wenyewe hilo hawalion usalama wake ajilinde akiwa kwenye ardhi yake
 
Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Miaka elfu iliyopita wewe umejuaje kama West bank ni eneo la Israel????
 
Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Naona myahudi wa Iringa umekuja wengu wengu na vizaka vyako utafikiri unakuja kupewa mkopo wa bank, kumbe umekuja kutetea nchi iliyoanzishwa kupitia vitabu ambavyo vimeandikwa Ulaya na hao hao wazungu 😂😂😂

Kwamba kesho aje mtu nyumbani kwako akwambie utoke kisa marehemu babu yake alimuhadithia kuwa hilo eneo unaloishi wewe lilikuwa ni eneo lake na wewe bila kutumia akili utatoka tu kwa sababu za story za mjuu 😂😂😂
 
Attachments

  • download (2).jpeg
    download (2).jpeg
    7.5 KB · Views: 12
Hizi stori zenu mnazodanganyana redio imani ni shida sana Israel inachopigania ni mipaka yake ilichorwa kwenye torati yao mahali walipoishi mababu zao kama Jerusalem, Judea and Samaria hana mpango na ardhi za waarabu ukimuona anashika ardhi za waarabu ni kuajili ya kujilinda TU kama Golan height na Gaza nafikiri ili Hamas wazimrushie rushie maroketi
Mipaka ya nchi haipatikani kwenye torati na hadisi zingine zisizokuwa na kichwa wala miguu. Mipaka ya nchi inapatikana kwa njia ya raia halali waliopo katika nchi husika.

Kuchukua kundi la wazungu Ulaya na kwenda kuwapachika katika nchi ya watu kwa kisingizio cha kuandikwa katika kitabu fulan ni ujinga mtupu ambao watu wenye uelewa wana upinga.
 
Kama Marekani na Uingereza ambao ndo walio ianzisha hiyo Israel wanatambua kuwa west bank ni eneo la wapalestina ww mlala njaa kutoka simanjiro ni nani mpaka ukatae hilo?

Huo usalama hawezi kuulindia kwenye ardhi yake mpaka aende kwenye ardhi ya nchi nyingine, kila nchi ikifanya hivyo hii dunia itakalika?
Bora ulivyomjibu vizuri.
 
Niaje waungwana

Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye uchumi mkubwa wa mafuta kama vile Saudi Arabia, Iraq, Iran nk.

Baada ya kufanikiwa kuzifikia nchi hizo, hatua ambayo ingefuata ni kutumia ukubwa wa empire yao kuvamia nchi moja moja. Na ingekuwa rahisi kwa sababu empire yao ingekuwa kubwa, plus misaada ya kijeshi kama vile silaha kubwakubwa kutoka Marekani na Ulaya, fedha za kuwasaidia kununua material mbali mbali ya kutengeneza silaha nk. Hivyo wangepiga nchi moja moja na kuchukua eneo lote la Mashariki ya kati lenye utajiri mkubwa wa mafuta, na kuhakikisha kuwa eneo lote linakuwa chini ya nchi hizo za magharibi kupitia mgongo wa Israel.

Waarabu haswa zile nchi zilizokuwa kwenye target kama vile Saudi Arabia, Oman nk wao hawakuwa na habari ya kile kinachoendelea au kinachopangwa kufanywa dhidi yao. Wao kikubwao washibe wali, watafune tende na kulaghaiwa kwa maneno matamu na serikali za Marekani, UK na nchi nyingine za magharibi.

Shida kubwa kwa viongozi wa nchi za magharibi ilikuwa ni namna gani wataweza kuidhibiti Iran ambayo haionekani kudhibitika. Wakitega mtego wa wali na tende kama walivyowategea waarab muajemi hakamatiki, wakitengeneza propaganda za kumdhoofisha muajemi hadhoofiki, wakimuwekea vikwazo ili kuuwa uchumi wake moja kwa moja, jamaa wanatumia njia nyingine kukwepa vikwazo na kuiingizia nchi yao hela za kufanya mambo yao kama kawaida. Kifupi jamaa waliwatia jasho viongozi wa magharibi awamu kwa awamu.

Kila raisi wa Marekani alipoingia alikuja na mbinu zake, mwisho wa siku muda wake unaisha bila mbinu zake kufanikiwa, anakuja raisi mungine, hivyo mpaka anatoka bila mabadiliko yoyote ya mafanikio. Hii ni toka miaka ya 70 mpaka leo waajemi wameshindikana, na kuwa tishio kubwa kwa mpango wao walioupanga miaka mingi.

Waajemi ambao wao kiasili sio waarab, waliliona hilo mapema kabla hata halijapangwa vizuri mezani. Wakajitaarisha mapema na chochote kitachotokea wadili nacho muda huo huo kabla ya kujitanua na kusabanisha madhara makubwa kwa nchi yao na majirani zao.

Na hapo ulitumika uzoefu walio nao miaka na miaka. Historia tena ya wazungu wenyewe inakubali kwamba Uajemi kabla ya kuzaliwa Yesu (BC), na kabla ya utawala wa waroma, waliwahi kuwa na empire (himaya) ambayo ilitawala sehemu kubwa huko Asia ikiwemo Israel ya leo. Hivyo hawa ni watu wenye nguvu, akili na uwezo mkubwa wa kujilinda toka maelfu ya miaka iliyopita. Leo hii ukitaja nchi ambazo ziliwahi kuwa na empire kubwa na zenye nguvu duniani basi yao pia himo.

Sasa basi, baada ya waajemi kugundua mipango hiyo, wakaanza kutafuta mbinu za kumdhibiti adui na wasaidizi wake.

Before Israel na Marekani hawajajiandaa kufanya mpango wa kuzivamia kwanza Lebanon, Syria nk, yeye muajemi akawawahi kwa kuwaweka vijana wenye silaha, mbinu za kijehi na misimamo ya kupigania ardhi zao pale pale karibu na mipaka ya Israel. Hivyo kuhakikisha kwamba kabla maadui hawajasogea huku kukamata nchi hizo za Syria, Lebanon na nchi yote ya Palestina, wadhibitiwe kwanza na vijana hao ambao wengi wao wameshatoboka roho, kufa kwao ni sehemu ya maisha tu (kama vile kula, kuoga, kuvaa au kwenda chooni) tofauti na askari wa Israel ambao wao wanaenda vitani, huku wakiwafikiria wake zao na watoto wao.

Na kweli mpango huo wa waajemi umesaidia kwa kiasi kikubwa kuzima ndoto za mataifa ya magharibi kuziteka na kuzikalia nchi hizo kama walivyopanga. Leo hii waarab wa Saudi Arabia ndo kama vile akili kwa mbaali zinaaza kuwaingia na kuanza kushirikiana na muajemi kidgo kidogo baada ya kupewa mchoro mzima wa kile kilichokuwa kinapangwa na wakorofi hao wa dunia.

Lakini pia pamoja na kuandaa vijana wa kuidhibiti Israel isijitanue kama ilivyopangwa, vilevile hawakutaka kuipa nafasi nchi yoyote adui asogelee anga lao, ndomaana kila Mmarekani alipojaribu kusogeza ndege zake na meli zake za kijeshi karibu na anga la waajemi zilishambuliwa zote na kuachwa majivu matupu.

Kwa namna hiyo ikabidi mmarekani na yeye aje na mbinu kama ya waajemi kwa kuweka watu wake mashariki ya kati ambao na wao watapambana kwa lengo la kulinda masilahi yao, na pengine kuangalia njia za kuwadhibiti vijana waliowekwa na waajemi.

Kundi hilo la kulinda masilahi ya Marekani likapewa jina la Alkaida, wakakusanywa kina Osama, wafuga ndevu mbali mbali na wale wafia dini ambao hawakuwa wanajua kinachoendelea katika mpango ule. Yani unakuta mfia dini na yeye anajiunga na alkaida kumuunga mkono Osama bila kujua kwamba Osama mwemyewe yupo kwenye mission.

Baada ya miongo kadhaa ya Osama na genge lake kuleta sintofahamu mashariki ya kati na Osama kuonekana kuwa ameshachoka kuendelea na mission ile kutokana na umri, pia kupoteza mvuto kwa alkaida mashariki ya kati, ikabidi waamue kumrudisha Osama Marekani akaendelee na maisha yake ya kula bata na wajukuu kutokana na kazi kubwa aliyoifanya. Ila ili arudishwe Marekani na kuacha kuzungumziwa alipoendea ikabidi ipangwe ambush ya kutengeneza kifo chake ili asije akafuatiliwa tena waandishi habari ambao wengi wangetaka kujua alipo na operation ya mchongo ya Marekani kumtafuta imeshia wapi.

Osama akapangiwa kifo cha kutengenezwa waandishi wa habari walipotaka kuoneshwa maiti walizungushwa zungushwa na kukwepwa, walipotaka pia kuonesha angalau kaburi wakaambia amezikiwa baharini na picha likaishia hapo. Mpaka leo hakuna aliona maiti ya Osama wala kaburi lake. Lakini wale waliouwawa ki ukweli kama kina Ghadafi, Sadam Hussein na wengine wengi wa aina hiyo maiti zao zilionekana na makaburi yao yanajulikana yalipo.

Baadae likatengenezwa kundi lingine na kupewa jina la Islamic state ila makundi yote yanapewa onyo kwamba yafanye uharibifu kote mashariki ili kutimiza lengo la kusogelea mipaka ya adui (Uajemi), ila wasijisahau wakaingia mpaka na Israel kutengeneza maafa kwa ndugu wa waliowatuma. Hivyo hauwezi kukuta makundi hayo yana mpango wala wazo la kuvamia Israel kama wafanyavyo Hizbulla, Hamas na wengine ambao hawana deal na magharibi.

Muajemi sio sawa na Iraq au Libya kwamba utaenda kuivamia muda wowote. Ile haivamiliki kishamba, ndomaana Marekani na washirika wake waliweza kuzivamia Iraq, Libya, Vietnam, Syria, Cuba nk ambazo kimsingi hazijawahi kufanya uharibifu wowote kwa Marekani, lakini Muajemi ambae hufanya uharibifu mkubwa na sometimes mauaji kwa askari wa Marekani hawajawahi kuthubutu kuigusa, cause wanajua wakithubutu kuigusa nchi hizo zitakumbana na vita ambayo itasababisha hasara kubwa kwao, lakini muda huo wanajua Israel haitokuwepo tena katika ramani ya mashariki ya kati anymore, hivyo CIA na Mosad wanawaambia kabisa viongozi wao kuwa jamaa hawaingiliki hovyo hovyo, maana ni hatari na nusu. Ndomaana miaka yote wamekuwa wakifanya ambush tu za hapa na pale, lakini muajemi na yeye anajibu kwa kishindo na kwa madhara makubwa mno kwao.

Hilo ndio swala linalomfanya sasa hivi raisi wa Marekani akubali yaishe kwa kutaka kuundwa taifa lingine la Palestina, waisrael wabaki na sehemu yao waliobahatika kuiteka miaka hiyo. Maana amegundua kwamba ile mbinu waliokuwa wamepanga kamwe haitowezekana as long as Iran still Super Power katika eneo lao la Mashariki ya kati. Bila yenyewe sasa hivi nchi zote zingekuwa mikoa ya Israel na Marekani angetengeneza bomba la mafuta kutoka katika Saudia Arabia, Iran, Iraq, Syria liende hadi kwake. Halafu UK na wamagharibi wengine nao wajipendelee nchi zingine zilizobaki.

But ndo hivyo mission is impossible. Waarab wawashukuru sana waajemi kwa kuwalinda.
Kwa kukusaidia tu. Israel imetanuka mpaka karibu nchi zote unazosema. Hawako fiscally Lakin mentally. Wanaojua wamenielewa. Popote alipo mmarekan au muingereza yupo myahud. So kila sehem wamepachika system zao na ndio kinachowasaidia usalama. We huon Houth wanapiga meli za Israel mmarekan na muingereza wanaingilia. Hii dunia inaendeshwa na Babylonian system ambazo nyingi zimewekwa na Hao Jews mkuu. Usiumize sana kichwa we tafuta future ya watoto wako Mzee.
 
Umelishwa matango pori na makande ya kunde miaka mingi, hivyo ni ngumu sana shibe ya makande ya kunde na matango pori kukutoka sasa hivi. Hao Jews uliokuwa una hadithiwa ni uongo mtupu wa propaganda uliopangwa na wazungu kwa lengo la kuwatia hofu watu, haswa wa mashariki ya kati wawaone kuwa hao jews ni watu hatari, wenye akili na uwezo wa kupindukia, kumbe kiuhalisia ni wachumba tu na akili kisoda, ndio maana miaka yote toka enzi za kina Musa hadi leo wamekuwa watu wa kutawaliwa tu na nchi zingine.

Walitawaliwa na kuburuzwa mpaka na wamisri enzi za firauni, wameburuzwa na kutawaliwa enzi za uajemi, wametawaliwa na kuburuzwa enzi za utawala wa Roma, wametawaliwa na kuburuzwa enzi za utawala wa Ottoman.

Kifupi waisrael original ni wanyonge, akili kisoda toka miaka zaidi ya 3000 iliyopita. Hawa wazungu unawaona sasa pale Israel kama ukienda kuwapima DNA zao unaweza ukashangaa 90% zinasoma ni waingereza, ujerumani, ufaransa nk. Wamepandikizwa pale kwa mpango maalumu ambao wengi hawaujui. Ila wenye akili wenzao (waajemi) mpango huo waliujua na kutengeneza mazingira ya kuudhibiti mapema kabla haujafanikiwa kuchukua hata nchi moja.

Tena walivyokuwa washenzi walivyogundua kwamba kuna wayahudi wa Ethiopia ambao walitaka kuleta ushahidi wa kuonesha kwamba wao ndio waisrael wenyewe jamaa wakaanza kuwafanyia vigisu, kuwauwa, kuwafunga na wengine kuwafukuza hadi Kagame akawapa hifadhi. Lengo ni kutaka kuwalazimisha watu waamini kwamba wayahudi ni watu weupe ili hata wazungu kama CIA wakijichanganya nao wasijulikane, ionekane kuwa ni wale wale wayahudi kumbe nyuma ya pazia ni wazungu walioko katika mission zao maalum ya kuwinda namna ya kupata chaka la kulimiliki miaka yote ili wasiwe wananunua tena mafuta.

Mbona kabla ya waingereza kuwaleta hao jamaa hapo mashariki ya kati mwaka 1948, kulikuwa na wayahudi wengine waliokuwa hapo mashariki ya kati toka kipindi cha utawala wa Ottoman, mbona hawakuwa na akili au uwezo wowote wa kijeshi kama ilivyo sasa. Unajua ni kwanini?

Jibu ni kwamba hawa wa sasa ni tofauti na wale wa enzi zile za Roma, Ottoman nk. Hawa wa sasa ni wazungu na wanadhaminiwa na wazungu wenzao kwa ajili ya kupigania na kulinda masilahi yao hapo mashariki ya kati. Hayo mengine unayoongea ni story tu ambayo haina kichwa wala miguu. Nchi iwe na vichwa vya namna hiyo katika kila taifa alafu kwao bado wategee msaada hata wa fedha na kijeshi kutoka katika nchi zingine, ushaona wapi jambo hilo!!
 
Ukila ukashiba ukaingia ndani kwako ukafunga mlamgo ukalala kukakucha ukaamka ukabeba jembe kuelekea shambani, hujui wala huelewi zaidi ya hapo. Kumbe kuna vitu vingi vinaendelea Duniani.

Haya makundi yalituchanganya sana tukijua ni waasi, magaidi n.k
Ila jwa muda sasa watu wameanza kuamuka na kupata majibu kidogo kidogo.

Niwasifu Iran, Urusi, may be na korea kaskani na China kussuport makundi pinzani... Sasa tunaelewana
 
Kama Marekani na Uingereza ambao ndo walio ianzisha hiyo Israel wanatambua kuwa west bank ni eneo la wapalestina ww mlala njaa kutoka simanjiro ni nani mpaka ukatae hilo?

Huo usalama hawezi kuulindia kwenye ardhi yake mpaka aende kwenye ardhi ya nchi nyingine, kila nchi ikifanya hivyo hii dunia itakalika?
Kuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia 🤔
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel. 🇮🇱
 
Kuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel.
Ww nchi yako unayo ishi sasa hivi mipaka yake iliwekwa na biblia?
Watu wanaongea mambo ya maana ww unatuletea hadithi za biblia hapa kwani kila mtu ana amini hiyo biblia?
Wayahudi wenyewe hawaiamini.

Dunia inaongozwa kwa sheria za kimataifa na sio haiongozwi na hadithi zenu za biblia.
 
Kuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel.
Hivi nyinyi waafrica mbona mnakuwa wapumbavu na watumwa kifikra kiasi hiki!!

Hiyo biblia una ushahidi gani kama yaliyoandikwa humo ni ya kweli ? Yaan Leo mtu aje Tanzania aseme ni ardhi yao kutokana na kitabu cha kutunga alichokibuni na sisi tunaamini kweli?

Hiyo biblia ni kitabu kama kitabu cha kina abunuwasi na vingenevyo vya aina hiyo
 
Back
Top Bottom