Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

Kwahiyo unahisi waliotengeneza ndege hawakuconsider vigezo vya ndege kuelea?
Naona ume dwel kwa negative pekee Ila sio kosa lako. Our mind is highly biased to negative than positive. Otherwise our species or ancestors couldn't survive up to this time. We would had perished like how dinosaur or saber toothed tiger.

Ndege haija designed kuelea Kama ipi sijui Ila itakuwa Ni ndogo mno .
Let me say sincerely I don't know Mana Tena brain yetu hautaki kukiri ama kukubali kushindwa. Let me conquer myself since it's the greatest victory under the sun
 
Kwa maandishi haya sijui anayehitaji shule ni nani! Hivi air resistance itokanayo na speed ya ndege unaijua? Mshana Jr hapo juu amekuambia vyuma vilivunjika lakini vioo vya mbele (wind shield) vilibaki kama vimetoka dukani! Unafikiri kwa nini vioo viwe vizito kiasi hicho?
Air resistance inapunguzwa na umbo la ndege ndio mana hukuti ndege ina shape ya bus, ni kama samaki anavyokata maji kwa spidi shape yake ndo inamsaidia kupunguza resistance. Halafu kioo cha ndege kipo kama vest ya kuzuia risasi, ni material yaliyotumika kukitengeneza ndo yanakipa uimara sio uzito(thickness) Ballistic vest ni nyembamba lakin inazuia risasi kupenya.
Twende
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Mtu wa HKL anapomuuliza swali injinia wa kutengeneza ndege!!
 
Labda nikufafanulie kidogo tu uelewe. Ule mgongano wa ndege na maji ndio impact inayozungumziwa hapa ndugu. Sio kuzama. Kumbuka maji sio hewa mzee.

Ukitaka kuelewa maana ya mchangiaji hapo juu, nenda ziwani au baharini. Panda kwenye kingo yenye mwinuko (yaweza kuwa kwenye jiwe au ukingo lakini kuwe na mwinuko ambao unaweka kuingia majini kwa kuruka) kisha jitupe kwenda kwenye maji ukiwa umetanguliza tumbo.

Halafu rudi hapa utuambie ulijisikiaje tumbo lilipotua kwenye maji kwa kasi ya mruko wako.
Usimponze... Tumbo ataumia saana, mwambie ajitupe kimgongo mgongo, afikie mgongo aone june-july yake
 
Air resistance inapunguzwa na umbo la ndege ndio mana hukuti ndege ina shape ya bus, ni kama samaki anavyokata maji kwa spidi shape yake ndo inamsaidia kupunguza resistance. Halafu kioo cha ndege kipo kama vest ya kuzuia risasi, ni material yaliyotumika kukitengeneza ndo yanakipa uimara sio uzito(thickness) Ballistic vest ni nyembamba lakin inazuia risasi kupenya.
Twende
Unaambiwa ilikita chini kwa kutanguliza pua, lakini windshields hazikuvunjika, kama sio uzito wa kioo ni nini? Are you thinking critically?
 
Ndio, hata meli hawawezi kuconsider itembee barabaran
Nashindwa maneno ya kuandika, ila nikuambie tu kuwa vitu kama ndege wanapodesign, kulingana na nature ya activities zake, lazima waangalie mambo mengi yahusuyo usalama. Ndege sio kama gari, ambalo hupita ardhini, hivyo halina mambo mengi yahusuyo usalama. Narudia kukuambia, ndege imekuwa designed kuelea majini kama backup yake ikitokea ime-fail na wakati huo ipo karibu na water bodies. Kama una mtu yeyote unayemjua ambaye yupo karibu na mambo haya, muulize ni kwa nini marubani huwa wanapenda kupita route zenye water bodies. Usipende kubishana kama layman, watakucheka watu!
 
Twende taratibu, rubani hapangi route anapangiwa na watu wa control room, ndio wanaojua ndege ipite wapi na wapi asipite mana huko juu kila ndege ina flight path yake. Pia unatakiwa uelewe maji ndio yanachukua asilimia kubwa ya eneo lote la dunia kwa hiyo water bodies hazikwepeki. Hakuna rubani anaependa au anaewish ajali ikitokea imkute kwenye eneo lenye maji sababu chance ya kusurvive huwa finyu zaidi. Imagine ndege ipige nose diving Atlantic ocean. Kupona ni 0.01% ajali yoyote ya ndege huwa hawaulizi wamekufa wangapi wanauliza wamepona wangapi coz chance ya kusurvive crash ni ndogo.
 
Nasikia Titanic ilipiga mwamba, sasa kuna miamba migumu sana pengine kuliko chuma. Kuvunjika kwa Titanic kulitokana na speed na mwelekeo wa meli hiyo kuelekea kwenye mwamba husika. Precision haijagonga mwamba na imeingia kwenye eneo lenye mchanga! Impact ya kuharibu ndege kiasi kile imetoka wapi?
Mkuu ushawahi kukiona labda chuma cha meli kipoje
 
Ndugu yangu impact yoyote tofauti na safe landing huwa ni disaster , acha masihara na ndege
 
Twende taratibu, rubani hapangi route anapangiwa na watu wa control room, ndio wanaojua ndege ipite wapi na wapi asipite mana huko juu kila ndege ina flight path yake. Pia unatakiwa uelewe maji ndio yanachukua asilimia kubwa ya eneo lote la dunia kwa hiyo water bodies hazikwepeki. Hakuna rubani anaependa au anaewish ajali ikitokea imkute kwenye eneo lenye maji sababu chance ya kusurvive huwa finyu zaidi. Imagine ndege ipige nose diving Atlantic ocean. Kupona ni 0.01% ajali yoyote ya ndege huwa hawaulizi wamekufa wangapi wanauliza wamepona wangapi coz chance ya kusurvive crash ni ndogo.

jana nilikuwa nafatilia ndege ile ya marekani iliyotua kwa dharula NY kati kati ya mto pale manhatan,naambiwa mpaka kivuko cha kwanza kinaifikia kilitumia dkk 11 bado ukumbuke hakikutengenezwa kwa uokoaji kilienda kwa dharula,haoo ni kati kati ya jiji.

fikiria ni nungwi huko kati kati,taarifa zinafikia watu ila mpaka msaada ufike,mmeshatembelewa na wageni toka mbinguni tayari.
 
Kwahiyo precision pale ziwani ilitua au ilianguka? Na kama ilianguka, mbona haikuangukia nchi kavu? Mazingira ya ajali ile yanaonyesha rubani alipeleka ndege ziwani intentionally kwa maana ya kutaka kutua majini. Na kwa hivyo alitegemea safe landing baada ya kutouona uwanja kulikosababishwa na hali mbaya ya hewa. Sasa kama hii ilikuwa ni plan ya rubani, kwanini ndege ipate ajali kana kwamba ilianguka pasipo control ya rubani?
Hali ya hewa haikuwa rafiki kwa rubani, Uwanja wa Ndege Bukoba hauna taa kwenye runway..
Ndege imeanguka mita 100 kabla ya kufika runway ..
Uwanja wa Bukoba runway inapakana kabisa na Ziwa..
Kama Rubani alikuwa na mpango wa kuipeleka kwenye Ziwa lazima angewatangazia abiria.. (wajiandae kwa emergency landing)

Inavyoonekana Rubani wengi hutua Bukoba kwa mazoea.. Kwamba uwanja upo usawa huu.. Basi.. Hata control tower hakuna...
Rubani akiwa anaenda Bukoba hutegemea Airport ya Mwanza kwa taarifa muhimu.. Mwanza kuna control tower, Radar ...

Hao Wafaransa tusubiri taarifa zao.. Najua itakuwa sio njema sana kwa viwanja vya mikoani hasa vidogo..
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Weee ulitaka itengenezwe na material mazito au .?
 
Labda nikufafanulie kidogo tu uelewe. Ule mgongano wa ndege na maji ndio impact inayozungumziwa hapa ndugu. Sio kuzama. Kumbuka maji sio hewa mzee.

Ukitaka kuelewa maana ya mchangiaji hapo juu, nenda ziwani au baharini. Panda kwenye kingo yenye mwinuko (yaweza kuwa kwenye jiwe au ukingo lakini kuwe na mwinuko ambao unaweka kuingia majini kwa kuruka) kisha jitupe kwenda kwenye maji ukiwa umetanguliza tumbo.

Halafu rudi hapa utuambie ulijisikiaje tumbo lilipotua kwenye maji kwa kasi ya mruko wako.
Mkuu inafaa sana kuelekeza watu yaani nimependa the way unaelekeza simple and clear
 
Uki deploy landing gear automatically huwa kuna amount ya speed ya ndege inapungua, huu ni mfumo uliowekwa kwenye software za ndege.

Rubani wa precision ali-deploy landing gear ku-dis-engage thrust ili ndege izame kwa speed ndogo lkn ubaya wa hii mechanisim ni kuwa huwa ndege inazama -"Nose dive"

Option 2
ambayo rubani angeifanya ni kuto-dis-engage thrust na kuto-deploy landing gear na kutua kwa speed kubwa huku akibalance tail na whole structure ya ndege itue juu ya maji kwa namna ya kuelea, jambo ambalo lingewezekana kama ameona ndege ingesimama katikati ya maji bila kwenda kugonga mwamba wowote.

Ila yote haya yanategemea na mambo kama.
Emergency response training,Dangerous landing tactics, Threat engagement response,
ambayo first officer na captain walikuwa na ujuzi nao , na mara nyingi hizi kozi zinatakikana kuzi soma kila baada ya muda kadhaa na kuzirudia tena kama kuna update ya software za ndege(mara nyingi kama rubani ana muda mwingi haja-fly).

Rejea NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL
kipindi kinaitwa AIRCRASH INVESTIGATION.

mbali na tatizo la kiufundi kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha ajali ya ndege.

Kama nimekosea . niko tyr kurekebishwa.
Yaah umenena hapo kwenye thrust engine restat upthrust an rusting landing🙌🙌🙌😁😁😁
 
Twende taratibu, rubani hapangi route anapangiwa na watu wa control room, ndio wanaojua ndege ipite wapi na wapi asipite mana huko juu kila ndege ina flight path yake. Pia unatakiwa uelewe maji ndio yanachukua asilimia kubwa ya eneo lote la dunia kwa hiyo water bodies hazikwepeki. Hakuna rubani anaependa au anaewish ajali ikitokea imkute kwenye eneo lenye maji sababu chance ya kusurvive huwa finyu zaidi. Imagine ndege ipige nose diving Atlantic ocean. Kupona ni 0.01% ajali yoyote ya ndege huwa hawaulizi wamekufa wangapi wanauliza wamepona wangapi coz chance ya kusurvive crash ni ndogo.
Nakuuliza kitu kimoja tu ujibu, maana unataka ligi, lakini kwa mambo hayo hutaniweza; je ndege haijakuwa designed kuelea majini? Toa jibu watu wakushuhudie! Na kuhusu content ya maji kuwa kubwa kuliko nchi kavu, hiyo unaongelea dunia kwa ujumla, lakini mimi naongelea Tanzania, water bidies sio nyingi, lakini marubani hupenda kupita huko ili kuwa mahali salama. Unaongelea nose dive, that is very rare to happen, in most cases ndege huanguka kiubapa kama inavyopaa. Are you there?
 
Kun
Kwahiyo precision pale ziwani ilitua au ilianguka? Na kama ilianguka, mbona haikuangukia nchi kavu? Mazingira ya ajali ile yanaonyesha rubani alipeleka ndege ziwani intentionally kwa maana ya kutaka kutua majini. Na kwa hivyo alitegemea safe landing baada ya kutouona uwanja kulikosababishwa na hali mbaya ya hewa. Sasa kama hii ilikuwa ni plan ya rubani, kwanini ndege ipate ajali kana kwamba ilianguka pasipo control ya rubani?
Kuna hatua/steps na utaalamu., since dry land na maji ni tofaut. So kuna utaratibu ama utaalamu na procedures za kufata, ukikosea tu step unaweza vuruga kila kitu. Kuna mmoja humu kaeleza vizuri sana kitaalamu na response ya kila kila kitu ktokana na hizo steps maana baadh ya hatua zina trigger baadh ya vitu from the aircraft's systems amabvyo vingine haviwezi kuwa suitable ktokana na mazingira. And yes ndege haikuanguka alipeleka kwa lake kama emergency landing.
 
Back
Top Bottom