Barakha John
Member
- Sep 24, 2024
- 49
- 162
Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina .
Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi kujiuliza ni simu gani haswa zinaongoza kuuzwa katika soko hili maaraufu afrika mashariki ?
Kama bado hujajua leo nimekuletea listi ya simu aina 15 zinazo uzwa / zinazo ongoza kwa kuuzwa katika soko la kariakoo.
Soma hii …..
…….kabla hujaendelea , unaweza jiuliza
Huyu ni nani ? naitwa Baraka wengi wamezoea kuniita Mr. Kidigitali hasa katika mitaa ya kariakoo.
Nimekuwa katika soko la kariakoo kwa muda wa miaka 6 mbaka sasa , nimekuwa nijihusisha na uuzaji wa Simu na Laptop original tena kwa bei nafuu used kutoka Dubai , korea , japan NK. vile vile mpya kabisa .
Unaweza kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii Instagram & Tiktok kama Simu Kidigitali
Pia unaweza kujiunga na group letu la whatsapp au kama unataka kuweka oda au kuuliza zaidi kuhusu simu na laptop tupigie +255 757468193
…..turudi kwenye mada ya muhimu
Hizi ndio listi kamili ……
Hizi ndio simu za iphone zinazo ongoza kwa mauzo kwa aina zote mpya na used , hii ni kutokana na ubora wa simu zenyewe na bei kuwa rafiki na uchumu wa watu wengi.
Angalizo , simu hizi zina grades 1 na 2 kuwa makini kabla ya kununua.epuka kununua iphone hizi kwa bei rahisi kupita kiasi jitahidiau kuwa na mataalam kabla ya kununua.
Kwa ubora wa kioo na battery nitaipa 8/10 lakini muonekano na mvuto ni asilimia 100% , hii ndio simu inayo ongozwa kununuliwa na vijana wengi hasa wanachuo kutokana na ubora wake na muonekano wa kisasa.
Tip. usihadaike na muonekano wake wa nje tu hakikisha unanunua simu hii sehemu salama na ukishindwa kabisa kupata tupigie simu +255 757468193 tutakupa yenye ubora wa hali ya juu , zipo zote used na mpya za box .
Iphone 11 inapendwa zaidi na vijana ambao wanachipukia wenye uchu na hamu kubwa ya kumiliki iphone. Kwa levo ya kwanza na kumiliki iphopne ya uhakika , nakushauri zaidi ukipata iphone 11 plain.
Asilimia 60-70 wanao kuja dukani kununua hununua iphone hii kutokana na bei kuwa nafuu.
Ni simu zinazo sifika kuwa na camera nzuri muonekano wa kisasa na uwezo wake wa kioo ni wa hali ya juu zaidi .
Inakuwa na bei nafuu na inadumu kwa muda mrefu , asilimia kubwa ya wanao nunua simu hizi ni vijana hasa wanachuo.
Tip. kuwa makini usije ukauziwa simu grade namba 2 hakikisha unanunua simui sehemu salama.
Ni mwaka na nusu sasa tangui simu hii itoke lakini ni simu ambayo inawatumiaji wengi na wengin wakivutiwa na teknolopjia ya kipekee hasa Ai na mifumo yake ya kisasa ya kiuendeshaji
Watumiaji wengi wamekuwa wanaisifia simun hii kwenye battery na uwezo wake wa camera wa kuzoom Mbali.
Wanunuaji wengi ni wenye uchumi mzuri na wakati.
Tip. ukiona simu hii unauziwa kwa bei rahisi kupita maelezo kimbia utauziwa simu coppy maana ni simu inayo ongoza kuwa na coppy nyingi sokonio kuwa makini.
Kwa upande wa samsung hii ndio funga kazi , simu hii inapendwa na watumiaji kwa sababu ya umbo lake kuwa dogo flani simple na muonekano wa kisasa , camera nzuri lakini ni simu inayo sifika kukaa na chaji muda mrefu.
Kizuri zaidi bei yake ni nafuu sana , unahitaji umakini sana kabla ya kununua simu hii kwa babu grade namba 2 zipo nyingi sokoni usije ukapoteza pesa zako bure.
Kwa samsung za A series za bei nafuu hii nitaiita King kwa sababu gani ?
Inamuonekano wa kisasa ikiwa na glass upande wa nyuma sio plastic kama model zilizopita .
Camera safi pia uwezo wa kutunza chaji .
Utaenjoy zaidi iwapo ukinunua simu hii official au original yenyewe , ukiuziwa grade namba 2 hautaona ubora wa simu hii na utajilaumu kupoteza pesa zako buree hivyo umakini unahitajika .
Kama bajeti yako haifiki laki 3 basi nakushauri upate simu hii, inakuja ikiwa na storage ya 64 gb pia ni waterproof na ubora wake wa kioo sio wa kusimuliwa.\
Sense series ni simu kutoka japan hawana jambo dogo , watumiajoinwengi hupenda kuulizia simu hizi na kutoa pesa kununua kwa sababu ya ubora zilizo nazo .
Kuna baadhi ya model unapata mpya kabisa za box lakini nyingi huwa ni Used Kutoka Japan.
Sony experia zenye series ya 5 zinapendwa zaidi na watumiaji wengi wa sony kuliko zile zenye series ya 10 .
Hii ni kutokana na muundo wake wa kisasa zikiwa na material ya Titanium na glass , ubora mkubwa wa camera na uwezo wa kutosha kutunza chaji .
Kama bajeti yako sio kubwa sana lakini unahitaji simu yenye uwezo mkubwa wa battery , camera na muonekano wa kijanja basi nitakushauri ununue hii simu .
Hii inakupa balance ya kila kitu , kwa wale content creator wanao hitaji simu inayopiga picha na camera nzuribbasi nakushauri hii , kama utashindwa ku afford pixel 8 pro chukua hata pixel 7 pro .
Simu hii inapendwa sana na vijana na inauzika sana katika soko la kariakoo ktangu itoke simu hii.
Kumbuka kwa upande wa Note series samsung hii ndio simu kubwa iliyo tolewa ,ni simu inayopendwa na watu webgi sana kutokana na ubora wa kioo chake , camera pia .
Ni simu ambayo bei yake inabalance nsio kubwa wala sio ndogo kama unafikiria kupata simu nzuri ya samsung unaweza kuchukua hii .
Kwa uzoefu wangu wa kuuza simu kariakoo, mteja yeyote akipiga simu simu ya kwanza anayo iulizia ni S22 na S22 ultra.
Hii mbaka inanipa maswali kwa wengi hupenda simu hii ? pengine kama samsung wanajivunia kutengeneza simu bhasi model hii ndio kiboko zaidi.
Tip , usifuate sana bei za mtandaoni zinaweza kuwa sio bei halisi au simu original , ukitaka kununua simu hii original hasa s22 ultra hakikisha umejipanga na kuanzia angalau Million 1 na kwenda mbele , chini ya hapo unahitaji uangalifu mkubwa mno ,sitaandika kila kitu hapa ila umakini unahitajika sana.
Yes Pixel 11 imetoka lakini haina upepo kuzidi Pixel 10 , simu hii imefanya vizuri sana katika mauzo kwenye masoko mbali mbali duniani sio hapa kariakoo tu.
Simu hii inapendwa zaidi kutokana na ubora wake na muonekanon wake wa kisasan kuhusu camera sina hata haja ya kuingelea kwa sababu ni moto . kama unajiweza na unahitaji kununua google pixel hii itakuwa chaguo lako la kipekee na nikuhakikishie hautajita kumiliki simu hii.
Kwa iphone series hii walifanya inovation kubwa sana , wadada wengio hupenda iphone 16 series kutokana na kuwa na muundo wa kipekee na muonekano wa kitofauti kabisa.
Katika iphone kubwa 16 ndio simu ambayo imenunuliwa kwa wingi zaidi .
Free tip. Hakikisha umenunua origional ikiwezekana pata hata non active maana ukienda kichwa kichwa utauziwa simu sio .ukishindwa kupata sehemu ya uhakika tupigiw 0757468193 hata mkoani unatumiwa.
Moja kati ya simu inayo pendwa na watu wengi zaidi hasa wenye uchumiu mkubwa na wa kati basi ni hii iphone hii.
Wengi wananunua simu hii kwa sababu ni rahisi kuwa notified na kuonekana kuwaongezea status kwa watu wanao ishi nao na rangi zinazo ongoza kwa mauzo ni COSMIC ORANGE na SILVER.
Kwetu non active na active zote zipo , ukihitaji napo hakikisha unachagua mahali sahihi pa kupata.
Mbaka kufikia hapo nafikiri umepata picha kamili na wewe iwapo unahitaji simu na hujui nin simu gani nzuri itakayo kufaa nafikiri utakuwa na majibu sahihi na machaguo sahihi kutokana na trend ya simu sokoni .
Nimetumia uzoefu wangu sokoni na kutokana na trend ya mauzo ya kila siku kwa watu kadhaa ambao ni maguli kariakoo ….
Cha muhimu zaidi usipende kununua simu kiholela kila sehemu , hakikisha unachagua sehemu salama ili usiuziwe simu na watu ambao sio waaminifu wanao uza simu mbovu , grade namba 2 au fake.
Ukija kwetu kwa sabbu tunathamini pesa yako tutakikisha
Tunakupa simu original na sio hivyo tu tutakuandikia na risiti ya malipo unayo toa na pia tutakupa na warranty card ili kulinda pesa yako iwapo simu/ laptop utakayo nunua kwetu itakusumbua .
Tupo kariakoo , aggrey na msimbazi …. Unaweza kutupigia +255 757468193 kama upo dar tunaweza kukuletea pia mkoani tunakutumia .
Tupigie simu pia jiunge na community whatsapp yetu sasa aun kwa ushauri juu ya simu na laptop tupigie kwa hiyo namba .

- Iphone 13 plain & Pro Max

- Google Pixel 7 na 7a
Kwa ubora wa kioo na battery nitaipa 8/10 lakini muonekano na mvuto ni asilimia 100% , hii ndio simu inayo ongozwa kununuliwa na vijana wengi hasa wanachuo kutokana na ubora wake na muonekano wa kisasa.
Tip. usihadaike na muonekano wake wa nje tu hakikisha unanunua simu hii sehemu salama na ukishindwa kabisa kupata tupigie simu +255 757468193 tutakupa yenye ubora wa hali ya juu , zipo zote used na mpya za box .
- Iphone 11
Iphone 11 inapendwa zaidi na vijana ambao wanachipukia wenye uchu na hamu kubwa ya kumiliki iphone. Kwa levo ya kwanza na kumiliki iphopne ya uhakika , nakushauri zaidi ukipata iphone 11 plain.
Asilimia 60-70 wanao kuja dukani kununua hununua iphone hii kutokana na bei kuwa nafuu.
- Google Pixel 6 na 6a
Ni simu zinazo sifika kuwa na camera nzuri muonekano wa kisasa na uwezo wake wa kioo ni wa hali ya juu zaidi .
Inakuwa na bei nafuu na inadumu kwa muda mrefu , asilimia kubwa ya wanao nunua simu hizi ni vijana hasa wanachuo.
Tip. kuwa makini usije ukauziwa simu grade namba 2 hakikisha unanunua simui sehemu salama.
- Samsung s25 & s25 ultra
Ni mwaka na nusu sasa tangui simu hii itoke lakini ni simu ambayo inawatumiaji wengi na wengin wakivutiwa na teknolopjia ya kipekee hasa Ai na mifumo yake ya kisasa ya kiuendeshaji
Watumiaji wengi wamekuwa wanaisifia simun hii kwenye battery na uwezo wake wa camera wa kuzoom Mbali.
Wanunuaji wengi ni wenye uchumi mzuri na wakati.
Tip. ukiona simu hii unauziwa kwa bei rahisi kupita maelezo kimbia utauziwa simu coppy maana ni simu inayo ongoza kuwa na coppy nyingi sokonio kuwa makini.
- Samsung S21 plain
Kwa upande wa samsung hii ndio funga kazi , simu hii inapendwa na watumiaji kwa sababu ya umbo lake kuwa dogo flani simple na muonekano wa kisasa , camera nzuri lakini ni simu inayo sifika kukaa na chaji muda mrefu.
Kizuri zaidi bei yake ni nafuu sana , unahitaji umakini sana kabla ya kununua simu hii kwa babu grade namba 2 zipo nyingi sokoni usije ukapoteza pesa zako bure.
- Samsung A16
Kwa samsung za A series za bei nafuu hii nitaiita King kwa sababu gani ?
Inamuonekano wa kisasa ikiwa na glass upande wa nyuma sio plastic kama model zilizopita .
Camera safi pia uwezo wa kutunza chaji .
Utaenjoy zaidi iwapo ukinunua simu hii official au original yenyewe , ukiuziwa grade namba 2 hautaona ubora wa simu hii na utajilaumu kupoteza pesa zako buree hivyo umakini unahitajika .
- Aqous sense 6
Kama bajeti yako haifiki laki 3 basi nakushauri upate simu hii, inakuja ikiwa na storage ya 64 gb pia ni waterproof na ubora wake wa kioo sio wa kusimuliwa.\
Sense series ni simu kutoka japan hawana jambo dogo , watumiajoinwengi hupenda kuulizia simu hizi na kutoa pesa kununua kwa sababu ya ubora zilizo nazo .
Kuna baadhi ya model unapata mpya kabisa za box lakini nyingi huwa ni Used Kutoka Japan.
- Sony mark 5ii na 5iii
Sony experia zenye series ya 5 zinapendwa zaidi na watumiaji wengi wa sony kuliko zile zenye series ya 10 .
Hii ni kutokana na muundo wake wa kisasa zikiwa na material ya Titanium na glass , ubora mkubwa wa camera na uwezo wa kutosha kutunza chaji .
- Google pixel 8 na 8 pro
Kama bajeti yako sio kubwa sana lakini unahitaji simu yenye uwezo mkubwa wa battery , camera na muonekano wa kijanja basi nitakushauri ununue hii simu .
Hii inakupa balance ya kila kitu , kwa wale content creator wanao hitaji simu inayopiga picha na camera nzuribbasi nakushauri hii , kama utashindwa ku afford pixel 8 pro chukua hata pixel 7 pro .
Simu hii inapendwa sana na vijana na inauzika sana katika soko la kariakoo ktangu itoke simu hii.
- Samsung Note 20 ultra
Kumbuka kwa upande wa Note series samsung hii ndio simu kubwa iliyo tolewa ,ni simu inayopendwa na watu webgi sana kutokana na ubora wa kioo chake , camera pia .
Ni simu ambayo bei yake inabalance nsio kubwa wala sio ndogo kama unafikiria kupata simu nzuri ya samsung unaweza kuchukua hii .
- Samsung S22 na S22 ultra.
Kwa uzoefu wangu wa kuuza simu kariakoo, mteja yeyote akipiga simu simu ya kwanza anayo iulizia ni S22 na S22 ultra.
Hii mbaka inanipa maswali kwa wengi hupenda simu hii ? pengine kama samsung wanajivunia kutengeneza simu bhasi model hii ndio kiboko zaidi.
Tip , usifuate sana bei za mtandaoni zinaweza kuwa sio bei halisi au simu original , ukitaka kununua simu hii original hasa s22 ultra hakikisha umejipanga na kuanzia angalau Million 1 na kwenda mbele , chini ya hapo unahitaji uangalifu mkubwa mno ,sitaandika kila kitu hapa ila umakini unahitajika sana.
- Google Pixel 10 series
Yes Pixel 11 imetoka lakini haina upepo kuzidi Pixel 10 , simu hii imefanya vizuri sana katika mauzo kwenye masoko mbali mbali duniani sio hapa kariakoo tu.
Simu hii inapendwa zaidi kutokana na ubora wake na muonekanon wake wa kisasan kuhusu camera sina hata haja ya kuingelea kwa sababu ni moto . kama unajiweza na unahitaji kununua google pixel hii itakuwa chaguo lako la kipekee na nikuhakikishie hautajita kumiliki simu hii.
- Iphone 16 , na 16 Pro Max
Kwa iphone series hii walifanya inovation kubwa sana , wadada wengio hupenda iphone 16 series kutokana na kuwa na muundo wa kipekee na muonekano wa kitofauti kabisa.
Katika iphone kubwa 16 ndio simu ambayo imenunuliwa kwa wingi zaidi .
Free tip. Hakikisha umenunua origional ikiwezekana pata hata non active maana ukienda kichwa kichwa utauziwa simu sio .ukishindwa kupata sehemu ya uhakika tupigiw 0757468193 hata mkoani unatumiwa.
- Iphone 17 pro max