Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

mkuu haya mambo sio rahisi hivyo kama unavyoyaona!!hapo kinachoangaliwa ni spidi iliyokuwa nayo,hapo ndege yenyewe ilikuwa na uzito wa tani 18, hapo kwa wana mahesabu wanajua kwa uzito huo,ikifika chini uzito huo unakuwa karibia mala 10 yake!!Mtu anadondoka kwenye lundo la sufi na anapasuka kichwa.
Duuh, mkuu umeifanyia utafiti hiyo? Rundo la sufi lenye unene kiasi gani?
 
Duuh, mkuu umeifanyia utafiti hiyo? Rundo la sufi lenye unene kiasi gani?
Ndio maana ,nilisema kuwa hayo mambo(ya vitu kudondoka)kutoka juu yana elimu yake,tena ngumu sana,bila kuielewa utaona watu waongo!!!inshu sio unene wa hicho unachokidondokea bali ni umbali wa hicho kitu kinachodondoka kinatoka umbali gani,na kina uzito gani.
 
Nakuuliza kitu kimoja tu ujibu, maana unataka ligi, lakini kwa mambo hayo hutaniweza; je ndege haijakuwa designed kuelea majini? Toa jibu watu wakushuhudie! Na kuhusu content ya maji kuwa kubwa kuliko nchi kavu, hiyo unaongelea dunia kwa ujumla, lakini mimi naongelea Tanzania, water bidies sio nyingi, lakini marubani hupenda kupita huko ili kuwa mahali salama. Unaongelea nose dive, that is very rare to happen, in most cases ndege huanguka kiubapa kama inavyopaa. Are you there?
Kwa nyongeza ni kuwa mleta mada haukuleta swali lako ili kujifunza kutoka na majibu yawachangiaji, ulijiandaa kubishana jambo ambalo naona watu wanapoteza muda wao hapa kukurlewesha
 
Napoteza muda kijibu comments zako, usiangalie nani kasema nini, sema la kwako tuone uwezo wa ubongo wako. This will be the last answer to you. You contribute nothing!
1. Ulitaka kujua kwanini Ndege inatengenezwa kwa Material mepesi umejibiwa ingetengenezwa kwa material ngumu isingeweza kupaa material mepesi halafu imara yanawezesha kuruka

2 a. Ulitaka kujua kwanini Ndege ilipoibuliwa iliharibika vibaya ukajibiwa ni kutokana na msukumo wa jinsi ilivyotua ukatolewa mfano na wewe upande kwenye muinuko halafu ujirushe kwenye maji kwa tumbo ama mgongo ndio utapata jibu halisi la kwanini Ndege iliharibika vile

2b. Ukataka kuleta hoja ya Rubani hakudondoka bali alitua kwa kukusudia ukaulizwa mbona hakuwatangazia abiria wake kua anatua kwa dharura kwenye maji ili wajiandae kwa kuvaa life jackets?

3. Ukataka kujua material iliyotengeneza Ndege hiyo ni aina gani ukajibiwa ni Aluminium na sifa ya Aluminium ni nyepesi lakini ngumu,

4. Ukawataka wataalam waichunguze ndege hiyo kama ilikua ina kiwango cha kuruka au ilitumika material feki ukajibiwa Ndege zote haziwezi kuruhusiwa kuruka bila wataalam wa Dunia kuithibitisha ubora wake baada ya kutengenezwa kwa maana hiyo Ndege ya Precision haikua na tatizo la material

Na mimi nakuongezea hili,
SUBIRI WATAALAM WAJE NA MAJIBU YA CHANZO CHA AJALI YA NDEGE ACHA KIHEREHERE CHA KUJIFANYA MTAFITI WAKATI YA NYUMBANI KWAKO YANAKUSHINDA.
 
Si unaona sasa maswali yako yalivyo ya kizushi, ulitakiwa uulize huyo mtu anaanguka kutoka umbali gani sio uulize thickness ya sufi.
Hapa tunaongelea ndege, kwa hiyo chochote kitakachoongelewa, reference inakuwa kwenye ndege! Hivi unanirate vipi? Unaniona wa leo sio? Mimj sio wa leo!
 
Ndiyo, mepesi nilimaanisha laini, yasiyohimili mikiki mikiki. Nadhani wangetumia material isiyoharibika kiwepesi. Nahisi hata ndege za kivita hawatengenezi kwa material mepesi!
Naona unataka kuwafundisha wanaotengeneza ndege watumie chuma cha pua wewe. Ule utaalam uko juu ya upeo wa akili yako.
 
1. Ulitaka kujua kwanini Ndege inatengenezwa kwa Material mepesi umejibiwa ingetengenezwa kwa material ngumu isingeweza kupaa material mepesi halafu imara yanawezesha kuruka

2 a. Ulitaka kujua kwanini Ndege ilipoibuliwa iliharibika vibaya ukajibiwa ni kutokana na msukumo wa jinsi ilivyotua ukatolewa mfano na wewe upande kwenye muinuko halafu ujirushe kwenye maji kwa tumbo ama mgongo ndio utapata jibu halisi la kwanini Ndege iliharibika vile

2b. Ukataka kuleta hoja ya Rubani hakudondoka bali alitua kwa kukusudia ukaulizwa mbona hakuwatangazia abiria wake kua anatua kwa dharura kwenye maji ili wajiandae kwa kuvaa life jackets?

3. Ukataka kujua material iliyotengeneza Ndege hiyo ni aina gani ukajibiwa ni Aluminium na sifa ya Aluminium ni nyepesi lakini ngumu,

4. Ukawataka wataalam waichunguze ndege hiyo kama ilikua ina kiwango cha kuruka au ilitumika material feki ukajibiwa Ndege zote haziwezi kuruhusiwa kuruka bila wataalam wa Dunia kuithibitisha ubora wake baada ya kutengenezwa kwa maana hiyo Ndege ya Precision haikua na tatizo la material

Na mimi nakuongezea hili,
SUBIRI WATAALAM WAJE NA MAJIBU YA CHANZO CHA AJALI YA NDEGE ACHA KIHEREHERE CHA KUJIFANYA MTAFITI WAKATI YA NYUMBANI KWAKO YANAKUSHINDA.
Nilisema sitakujibu chochote, lakini kwakuwa umeleta vijipoints, japo umecopy kutoka kwa wenzako, kidogo unaonekana kuchangia. Nitakujibu hicho ambacho unasema unakisubiri. Nakuuliza kitu kimoja, nyumba yako ikiungua moto, hata kama huna utaalamu wa mambo ya moto, hutataka kufanya uchunguzi wako, na hao wataalamu watakaokuja wafanye justification ya kitu ambacho tayari ulikuwa na majibu yake? Anyway, tunatofautiana uelewa, huenda naongea na watu wenye uelewa mdogo. I'm very sorry to mention this!
 
Hapa ndipo mtu unapoona mapungufu ya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia (medium of instruction),

Katika materials mbalimbali za ujenzi na uundaji wa vitu kuna sifa (properties) zinazozingatiwa ili kitu au chombo husika kiweze kutengenezwa na kikidhi mahitaji yanayotakiwa.

Kuhusu ndege, sehemu kubwa ya body ya ndege za abiria imetengenezwa kutokana "Aluminium alloy", Sifa ya Pure Aluminium ni "malleable" yaani ni rahisi kuiponda na kutengeneza maumbo meingine kirahisi mfano sufuria, bakuli nk, pili Tensility (kuvutika kama mpira) sio rahisi na ndio maana Aluminium huyeyeshwa na kuchanganywa na kiasi kidogo cha metals zingine na hivyo kuwa "Aluminium alloy", sifa nyingine ya Aluminium kulinganisha na metals zingine ni kuwa na uzito mdogo na inapatikana kirahisi ni sababu hizo kuu ndizo zimepelekea Aviation engineers kupendelea Aluminum katika kuundia body za ndege na ili kuifanya imara (Tougher/stronger) ndio maana wana-i-alloy huku waki maintain lightness yake, Alloyed aluminium ni tougher kuliko pure aluminium japokuwa ni hard kuliko pure alumium lakini toughness ndio kitu chenye manufaa katika bodies za ndege kuliko hardness.
 
Umeeleweka sana ndugu, sio wengine wanakuja tu hapa na kuongea utumbo wao, halafu wanajifanya wanajua kumbe wanaungua jua. Watu wasikurupuke kuongea, unatakiwa utulie na ufanye upembuzi yakinifu, mnapoteza utu wenu kwa kuvamia mambo msiyoyajua. Halafu sio kila mtu anayeuliza jambo humu mkafikiri ndio hajui kabisa, wengine wanataka kuthibitisha wanachokijua! Try to ingage yourself in natural psychology.
 
Ile iyotua majini kule Hudson, Marekani, ilikaa majini sekunde 90? You have to understand things and not memorise.
Ile ilitayarishiwa maboya ndio maana ilielea.
 
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.

Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?

Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!

Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.

Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Kwa nini umekuwa conclusive kabla ya kujifunza kwanza?
 
Mkuu wazungu sio wajinga, pale inatumika physics, density =mass/ volume, density ya air inajulikana, 1.2kg/m3, kumbuka ndege ili iweze kuhimili angani lazima density yake iwe chini ya desinty ya hewa, vinginevyo itaanguka, Sasa basi, ikiwa density ya air ni constant, maanke ili uweze kudesign inabidi aidha upunguze volume au mass! Swala la mass au uzito inategemea idadi ya watu, mizigo, na material, hivyi vyitu ndivyo vinavyodepend ukubwa wa ndege au volume yake, ndo maana ndege au meli majini ni kubwa Sana, kwa hiyo basi wanategenezea material mepesi ili kupunguza uzito wa ndege , na kwa kufanya hivyo density yake itakuwa ndogo, kuliko ile ya hewa! Hatimae itapaa!!! Vinginevyo ukitumia material mazito mfano mild steel, au high carbon, stainlstell nk! Maanke idadi inabidi utengeneze volume kubwa, ya kuweza kushusha density yake, na ndege za namna hii hapa Tanzania hazipo, zipo huko ulaya, ni kubwa Sana, na mara nyingi zinabeba mizigo mizito, au vifaa vya kivita!!!

Bila Shaka umepata mwanga!!!

Knowledge of physics,(mechanical Engineering)
Siyo kweli
 
Back
Top Bottom