Kuna lile dege kubwa kupita yote duniani lililokuwa la Ukraine, lilikuwa na uwezo mpaka wa kubeba vifaru vya jeshi. It's so sad Warusi wamelipiga Kombora na kuliharibu..Ila mzungu mzungu tu, tani 560 zinanyanyuka juu na kuelea. Zile injini kiboko aisee!
Antonov 225Kuna lile dege kubwa kupita yote duniani lililokuwa la Ukraine, lilikuwa na uwezo mpaka wa kubeba vifaru vya jeshi. It's so sad Warusi wamelipiga Kombora na kuliharibu..
Ili iweze kuruka kirahisi, kutotumia mafuta mengi.Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.
Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?
Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!
Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.
Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Mbona umetuwekea picha ya nyangumi?Ndege mara nyingi haitakiwi kuanguka na ikitokea ni Uzembe wa Binadamu kwa asilimia kubwa.
Ujenzi wake ni kama KIFUA cha Binadamu ambapo Mbavu zipo kulinda Kamoyo kasidhurike pamoja na mapafu bila kuhitaika Minyama kibao kulinda sehemu hizo. Nadhani sababu ni ileile kwamba tuwe wepesi.
Ndege hutumia MAFUTa mengi mno wakati wa kuruka na ikifika kwa mfano 8km au 10km juu, inatulia huko na kuanza kuteleza tu. Huko kuna upepo mdogo na hivyo Wind Resistance ni ndogo pia GRAVITATION inapungua. Kwa wanaotoka Ulaya kwenda USA au USA to EUROPE, wakati mwingine wanautumia upepo unaopuliza kwenye ndege kwa nyuma na na kwenda haraka zaidi pia kutumia mafuta kidogo.
Kwa saabu hiyo, siku zote wanatafuta Material Magumu na mepesi zaidi ili ile NGOZI ya ndege na MBAVU za Ndege ziwe imara na nyepesi zaidi.
View attachment 2418116
Ikiwa na material ngumu kama unayoitaka wewe haiwezi kuruka, ni vipimo tu ndivyoongoza watengenezaji.Ndiyo, mepesi nilimaanisha laini, yasiyohimili mikiki mikiki. Nadhani wangetumia material isiyoharibika kiwepesi. Nahisi hata ndege za kivita hawatengenezi kwa material mepesi!
Ni ili kupunguza uzito. Ndege body yake ni alminiumKufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.
Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?
Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!
Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.
Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.
Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?
Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!
Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.
Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Ile iyotua majini kule Hudson, Marekani, ilikaa majini sekunde 90? You have to understand things and not memorise.Kwa mtazamo wako unaona sekunde 90 zinatosha kusema au kukuaminisha kwamba ndege imekuwa designed kuelea majini? Kwa dakika moja na nusu.
AntananovKuna lile dege kubwa kupita yote duniani lililokuwa la Ukraine, lilikuwa na uwezo mpaka wa kubeba vifaru vya jeshi. It's so sad Warusi wamelipiga Kombora na kuliharibu..
Antanov 225.Kuna lile dege kubwa kupita yote duniani lililokuwa la Ukraine, lilikuwa na uwezo mpaka wa kubeba vifaru vya jeshi. It's so sad Warusi wamelipiga Kombora na kuliharibu..
Swala sio kubadili gia angani, I am responding to what comes in. Halafu, ingekuwa vizuri zaidi na wewe ukatoa mchango wako ili kusupport hicho ulichokiita nondo na kudai kuwa mimi nimekikimbia. Kwa taarifa yako there is nothing which has been spoken here kikawa juu ya uwezo wangu. Kama na wewe unahisi/unajiami, shusha hizo nondo hapa halafu tushindane mimi na wewe halafu tuone nani yuko shallow.Nimefatilia mjadala kwa makini,
Mtoa mada amepanic maana alichokitarajia sicho alichokutana nacho,
Wataalam wameshusha nondo matokeo yake amebadili gia angani ooh mbona vioo havikuvunjika, ooh kama hukutarajia kutua mbona hakutua nchi kavu, [emoji23]
Tusipende kujipa ujuaji kwa vitu tusivyo na elimu navyo, wewe twende zetu shamba tukachimbe viazi vitamu ndio msimu huu.....
Tushindane mimi na wewe [emoji1787]Swala sio kubadili gia angani, I am responding to what comes in. Halafu, ingekuwa vizuri zaidi na wewe ukatoa mchango wako ili kusupport hicho ulichokiita nondo na kudai kuwa mimi nimekikimbia. Kwa taarifa yako there is nothing which has been spoken here kikawa juu ya uwezo wangu. Kama na wewe unahisi/unajiami, shusha hizo nondo hapa halafu tushindane mimi na wewe halafu tuone nani yuko shallow.
...Unajua Impact ya Maji Wewe ?? [emoji848][emoji848]Impact gani iliyotokea pale wakati ndege ilizama tu majini na inasemekana hakukuwa na mwamba (jiwe) wowote. Ina maana impact ya maji tu ndio isababishe uharibifu ule?
Wavuvi wanasema eneo ilipoingia ndege pana mchanga mtupu, kwahiyo impact yake baada ya kukita kwenye mchanga haikuwa kubwa kihivyo.
Hakuna kitu kinachohusisha maisha ya watu mathalani abiria kitatengenezwa kwa material ngumu sababu ya usalama wa wanaokaa ndani.Kufuatia ajali iliyotokea huko Bukoba, na kuangamiza ndugu zetu wapatao 19 na kujeruhi wengine wengi, yapo maswali ya kujiuliza.
Ndege ilipoibuliwa kutoka majini tuliona uharibifu mkubwa kwa ndege yenyewe na hata kutia mashaka kiasi cha kujiuliza hivi kweli hata kama ni ajali ndio ndege iharibike kiasi hiki?
Swali la kujiuliza hapa ni kuwa, material gani zinatumika kutengeneza ndege? Au wanatumia material "fake" kama za mchina? Baada ya kutolewa majini tumeiona ndege imejikunja kama karatasi, kutoka umbile la kunyooka mpaka umbile la 'el' (L)!
Kama ingetumika material imara kutengenezea ndege hiyo, huenda kusingekuwa na uharibifu tuliouona na hivyo kupunguza maafa yaliyotokea.
Timu ya uchunguzi isiishie kuangalia tu chanzo cha ajali, bali na matengenezo ya ndege yenyewe. Ikibainika material fake ilitumika kutengeneza ndege, basi kampuni iliyotengeneza ndege nayo iwajibike.
Hiyo chuma mafuta yake full tank siyo chini ya tani 100.Pamoja na kuwa unasema ni material mepesi(nadhani ukimaanisha laini)
Nikukumbushe airbus a380 ina TANI 560.
sasa fikiria tani zote hizo zinyenyuke kutoka ardhini na bado unataka material yawe mazito zaidi.
Semi-trailer moja lina uzito kiasi gani?
View attachment 2418120
Rolls Royce Trent 900 Turbofans, Hizi engines acha kabisa.....Ila mzungu mzungu tu, tani 560 zinanyanyuka juu na kuelea. Zile injini kiboko aisee!
Umtahadharishe pia kwamba anaweza asirudi.Labda nikufafanulie kidogo tu uelewe. Ule mgongano wa ndege na maji ndio impact inayozungumziwa hapa ndugu. Sio kuzama. Kumbuka maji sio hewa mzee.
Ukitaka kuelewa maana ya mchangiaji hapo juu, nenda ziwani au baharini. Panda kwenye kingo yenye mwinuko (yaweza kuwa kwenye jiwe au ukingo lakini kuwe na mwinuko ambao unaweka kuingia majini kwa kuruka) kisha jitupe kwenda kwenye maji ukiwa umetanguliza tumbo.
Halafu rudi hapa utuambie ulijisikiaje tumbo lilipotua kwenye maji kwa kasi ya mruko wako.