Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

Mbona space station hailipuki wakati inatembea km 120000/h laki na 20 kwà saa?
Kwa sababu kwenye space hakuna hewa. Kwa mujibu wao, kule unaweza kuta pande la jiwe tu linatembea kilomita zaidi ya hizo ulizoandika. Kwenye space hakuna kushoto wala kulia ni mbele tu, kwa maana ukirusha jiwe lile jiwe litaenda milele bila kusimama wala kupunguza mwendo. Na kama lipo kwenye orbit ina maana kuna siku hata kama itachukua miaka mingapi litapita tena pale pale lilipoanzia safari ya kurushwa.
 
Unasema space hakuna hewa, nadhani unamaanisha hakuna gravitational force (g = o), sasa hilo jiwe (unaloongelea) litakaaje kwenye orbit?
 
Gravitational force ipo everywhere kwenye space. Pitia tena vitabu vyako. Litakaa kwenye orbit mpaka litakapokutana/litakapovutwa na gravitation ya kitu kingine chochote kitakachopita karibu yake iwe asteroid nk ama ligongane na object yoyote huko juu au lipunguze speed kutokaa na sabab mbalimbali ikiwemo kupita jiran na kimondo. Nisahihishe
 
Orbit unayoongelea hapa ni mhimili kuzunguka dunia, na gravitational force yake ni ya mvutano na dunia. Au hukumaanisha mhimili kuzunguka dunia?
 
Kila kitu kwenye solar system kina orbit kuzunguka jua ama kuzunguka kitu chchote kinacho- orbit jua. Jua ndo object yenye gravitational force kubwa kuliko vyote. Kwa sio lazima iwe orbit ya dunia tu inaweza kuwa ya gimba lolote kubwa. Napenda kutolea mfano kimondo
 
Huko space, kuna mahala ambako hakuna gravitational influence with any other objects. Object yoyote ikifika kwenye zone hii haivutwi na kitu chochote; huwa tunasema it is weightlessness. Nadhani hapa ndipo uliposema hakuna hewa; sasa hapa object itakaaje kwenye orbit?
 
Ukitoka tu kwenye atmosphere hakuna hewa. Hewa unafkir inaishia mbali sana basi... kwenye kilele cha mlima kilimanjaro tu kuna hewa kidogo kias kwamba unaweza kuzimia kwa kukosa hewa... sio kila sehem yenye gravity ina hewa. Be informed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hewa sio issue, issue ni gravitational force itakayoifanya object ikae kwenye orbit kwenye zone ambayo hiyo object ni weightless. Habari ya hewa iliingia tu ili kuelezea sifa za eneo hilo, lakini issue kubwa ni gravitation. Tunataka kuijua force itakayoikeep object katika orbit mahali ambapo hakuna mvutano baina ya vitu viwili.
 
Kama hakuna gravity basi inamaana kitu hakitakaa in orbit... kama uko space na hauko karibu na dunia wala sayari na ukawa haumove (v=0) inamaana kwamba utakua unadondokea kwenda juani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hakuna gravity basi inamaana kitu hakitakaa in orbit... kama uko space na hauko karibu na dunia wala sayari na ukawa haumove (v=0) inamaana kwamba utakua unadondokea kwenda juani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wa elimu ya anga, njooni tuthibitishieni hilo hapo[emoji115]mbona vile vyombo vinavyokwenda space havivutwi kwenda juani?!
 
Vile vinakua, relative to the sun, in MOTION.
Hata dunia ikisimama tu ikaacha kuzunguka.. itavutwa kwenda juani... mfano angalia risasi ikifyatuliwa. Unajua kwann haidondiki immediately? Kwasababu inakua IN MOTION. Ikisimama tu inadondoka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile vinakua, relative to the sun, in MOTION.
Hata dunia ikisimama tu ikaacha kuzunguka.. itavutwa kwenda juani... mfano angalia risasi ikifyatuliwa. Unajua kwann haidondiki immediately? Kwasababu inakua IN MOTION. Ikisimama tu inadondoka...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kutuambia hakuna zone yoyote huko kwenye space ambapo object itakuwa weightless?
 
Mkuu,
Gravity ipo sehemu zote huko space. Hakuna sehemu inayokuwa "blank", bila gravity.

Kisayansi zaidi, "weightlessness" inaitwa "microgravity".
 
Hali ya hewa haikuwa rafiki kwa rubani, Uwanja wa Ndege Bukoba hauna taa kwenye runway..
Ndege imeanguka mita 100 kabla ya kufika runway ..
Uwanja wa Bukoba runway inapakana kabisa na Ziwa..
Kama Rubani alikuwa na mpango wa kuipeleka kwenye Ziwa lazima angewatangazia abiria.. (wajiandae kwa emergency landing)

Inavyoonekana Rubani wengi hutua Bukoba kwa mazoea.. Kwamba uwanja upo usawa huu.. Basi.. Hata control tower hakuna...
Rubani akiwa anaenda Bukoba hutegemea Airport ya Mwanza kwa taarifa muhimu.. Mwanza kuna control tower, Radar ...

Hao Wafaransa tusubiri taarifa zao.. Najua itakuwa sio njema sana kwa viwanja vya mikoani hasa vidogo..
Alikuwa direct to eun way upepo ulimvuta kumpeleka ziwani, ikumbukwe ndege inapokuwa angani inakuwa imepoteza uzito wake wote hivo mabadiliko kidogo tu inavutwa
 
Back
Top Bottom