The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,872
- 117,004
Huyu jamaa nae alituaga hivi hivi ila watu wakafikiri anatania,kilichofuata baada ya miezi 4 ni R.I.P
JF VAR CHECK
JF VAR CHECK
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.

- folk
- Replies: 1,538
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko