Matraco yako mfyuuu 😹😹Aibu mtaona nyie 😁
Nini kimetokea MkuuPicha yake naona IPO kwenye I'd ya Joannes1 sijui zote ni zake
😃😄😁😄😄😃😄😁
Cancer ilikua inakutafuna mdogomdogo, ulikua husikii maumivu?
Anko nitumie pmPlease kama unaweza ku access DM yangu nicheki NIKUPE kitabu cha Dr SEBI Bure kabisa. Ana Treatment plan ya siku 21 kuhusu cancer Kwa diet na mitishamba.
Ninashindwa kupandisha Hicho kitabu hapa Kwa faida ya wengine pia
Bado una nafasi please naomba unicheki DM pleaseFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
Cancer ilikua inakutafuna mdogomdogo, ulikua husikii maumivu?
Ndoto ya kua na mtoto ulitimiza au bado
Anko nitumie message pleaseAnko nitumie pm
Mimi navyopenda kudeka ningetangazia ukoo mzima ili waanze kunidekeza ya mwishomwishoNdoto ya kuwa na mtoto ilikuwa mwaka huu
Sijafanikiwa
Brother jana nimekulilia mno usiku dah! Pole sana ila usife jamani 😭😭😭Ndoto ya kuwa na mtoto ilikuwa mwaka huu
Sijafanikiwa
Ila wewe 🥲Mimi navyopenda kudeka ningetangazia ukoo mzima ili waanze kunidekeza ya mwishomwisho