Kwaherini JF

Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Umenifanya siku yangu iharibike....

Kama ishara ya upendo na kumbukumbu nzuri kwenye yale tumefanya na unajua maisha yangu bila wewe humu ndani kwangu ni ngumu....

Moderator ikishapita miez miwili Nitaongeza jina lako mbele ya jina langu yani MAWEED_JOANAH na nitaomba BAN la siku 90 kama ishara ya kuonyesha heshima....

Moderator Active Maxence Melo naombeni mnisimamie hili na mlifanye kwa usahihi....
NAKUPENDA SANA JO

Na kwa mipango ya mungu najua utapiliza hio miezi miwili ili ushuhudie BAN langu kwa macho yako shangazi...
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Japo wote tutaonja mauti ila hili limeumiza, maana umejua mauti yako ni lini.

Tafadhari ikiwezekana usituage leo, ila uwe hapa kutupa updates zote. Ikiwezekana weka namb ya ndugu wa karibu ambae tunaeza mtumiq rambirambi kama ikiwa kweli utatuka, pia atatupa taari ya msiba na mahala ulipo. Pole sana
Naumia lakini sina jinsi
 
Kwa hizi essay mimi marehemu nitapumzika kweli?

Utani pembeni hapa nilipo i feel lost .
Nipo katikati ya mshangao,huzuni na ajabu wakati huo huo nipo excited kufa ...sijui nipo sawa ama nimeshaanza kuchanganyikiwa

Kuhusu kuambia watu wangu hapana, mwenzangu tu hana anachojua sitaki kupanikisha watu
Daah...am getting very emotional
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo

Naumia lakini sina jinsi
Really???? Kumbuka dr sio Mungu!
Duh nimekutana na bad news asbh yote hii!? Mambo gani haya jmn!

Btw, miezi 2??how? Mmh....
Sawa mi naomba umwamini Mungu
 
Kwa hizi essay mimi marehemu nitapumzika kweli?

Utani pembeni hapa nilipo i feel lost .
Nipo katikati ya mshangao,huzuni na ajabu wakati huo huo nipo excited kufa ...sijui nipo sawa ama nimeshaanza kuchanganyikiwa

Kuhusu kuambia watu wangu hapana, mwenzangu tu hana anachojua sitaki kupanikisha watu
ukifa ghafla watasema umelogwa bora uwashilikishe wajue wanakusaidiaje
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom