Kwaherini JF

Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Joanah usiseme hivyo please.
Omba watu wakuombee ila usijikatie tamaa naamini jiwazie mema mamaa usijipe stress, wagonjwa wengi wa cancer wanashindwa kupambania maisha kwa sababu ya kujikatia tamaa.

Pendeza
Kula vizuri
Lala vizuri
Zungukwa na watu unaowapenda
#UsijipeStress

Mimi sijakata tamaa lakini kuna nafsi inaniambia sifiki mbali
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo

Naumia lakini sina jinsi
Pole sana Joanah 😔. Kuna watu wanapita kwenye maisha yetu na kuacha alama ambayo haiwezi kufutika. Wewe ni mmoja wao. Sitaki kusema mengi, ila kuna wema wako ambao nitauweka moyoni daima. Mungu akupe nguvu, faraja na amani katika kipindi hiki kigumu. 🙏🏽❤️
 
Nitafute attention humu mimi ni mfanya biashara kwamba natafuta views?

Acha uphaller kijana

Hamia kwenye uislamu kabla mauti hayajakukumba.

Miezi uliyobakisha mrudie muumba wako na umkiri Mtume Muhammad S.A.W kuwa ndiye mtume pekee wa mwenyezi Mungu na hakuna apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah S.W.T
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom