Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,007
- 123,041
Mm namjua Joanah ambaye I'd yake n mdada mwenye rasta hv, sasa cjui ndo huyu huyu ama 😔Naamini majina yenye n moja ni ni mtu mmoja tu!
Mm namjua Joanah ambaye I'd yake n mdada mwenye rasta hv, sasa cjui ndo huyu huyu ama 😔Naamini majina yenye n moja ni ni mtu mmoja tu!
Sawa, bc nenda msikitini ukaendelee na swala za kumswalia mtume, au unasemaje mkuu?Nilijua tu huwezi kua na akili ya kujibu nilichokuuliza zaidi ya kujiuma uma vidole tu kwa aibu.
😹😹😹Rambirambi zote napokea mimi.
Nakumbuka kuna kipindi uliandika uzi wa kutaka kuombewa kutokana na ulitarajia kufanyiwa operesheni, n ww kweli?
YAH, hy picha ya Joannes1 ndo naijua mm.
God is good ,. Niko salama usaliminiNakumbuka kuna kipindi uliandika uzi wa kutaka kuombewa kutokana na ulitarajia kufanyiwa operesheni, n ww kweli?
Ngoja Kwanza tuoneWanatuchanganya sana mafala hawa
Ah unyama sana mdada, nakumbuka ulinitumia hadi vocha pm kipindi kile.God is good ,. Niko salama usalimini
Ni mimi
Sema ukweli mm siwez kumuombea mana ameamua na amepanga kutuchanganyaNgoja Kwanza tuone
Na tumwombee pia, huenda Mungu akambadilishia Historia.. He's bigger than Cancer
Ooh thank you..Ah unyama sana mdada, nakumbuka ulinitumia hadi vocha pm kipindi kile.
I love you L
🤔🤔🤔Sema ukweli mm siwez kumuombea mana ameamua na amepanga kutuchanganya
Upumbavu ni kipaji...Pita kwa Mwamposa.
Hizo sio ID's zake,Picha yake naona IPO kwenye I'd ya Joannes1 sijui zote ni zake
Wewe nenda Kanisani ukapigwe paipu kama kawaida yako,Papai wewe.Sawa, bc nenda msikitini ukaendelee na swala za kumswalia mtume, au unasemaje mkuu?
Sawa shekheWewe nenda Kanisani ukapigwe paipu kama kawaida yako,Papai wewe.
Naona kinyesi kimekupanda mpaka kwenye ubongo baada ya kupelekewa moto.Sawa shekhe
Naona majini yamekufikia kichwani, hasira tele 😂
dahHuyu jamaa nae alituaga hivi hivi ila watu wakafikiri anatania,kilichofuata baada ya miezi 4 ni R.I.P
JF VAR CHECK
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
- folk
- Replies: 1,538
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko