- Thread starter
- #181
Nakupa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya kibinue
Nakupa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unataka kukifanyaje tena kinyeo changu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya kibinue
Natumaini umenielewa vyema kabisa. Aga wote ila mtufudenge mimi no. Najua upo imara sana come on ishi mkuu najua utaishi hata kama ni siku chache kama sisi ishi Joanah 🫶
Mimi pia nalitaka, that's makes the two of us kwa hiyo ana haki ya kusema tusijueKwanini unatumia neno "Tusijue?" Umeamua kutuwakilisha sisi wote kwenye jambo ambalo unalolitaka wewe tu?
Utafungwa tuuNa mi waniue mara ya pili wakiweza wanifunge
Changamsha genge huyouna mheshimu mtu vizuri tu ila yeye anaamua kufa kifo cha makusudi ambacho kitaicha familia yake na majonzi wakati anaweza kujitibia, yan mpka Mungu kaamua kukuonesha unaumwa ni kwamba hajataka ufe na kama angetaka ni angekuacha uteseke kimya kimya mpka siku ya mwisho ndo madaktari wanagundua kilicho kuwahisha ni cancer,, ila kiukweli hapa umezingua mwanetu Joanah jifikilie tena na tena then ishirikishe familia yako uone ni namna gani unaweza kulishinda hili
alaf kwanini nakuandikia ese namna hii? unaboa msichana mdogo
Wakati anasema yeye, wewe ulikua hujasema,Mimi pia nalitaka, that's makes the two of us kwa hiyo ana haki ya kusema tusijue
una mheshimu mtu vizuri tu ila yeye anaamua kufa kifo cha makusudi ambacho kitaicha familia yake na majonzi wakati anaweza kujitibia, yan mpka Mungu kaamua kukuonesha unaumwa ni kwamba hajataka ufe na kama angetaka ni angekuacha uteseke kimya kimya mpka siku ya mwisho ndo madaktari wanagundua kilicho kuwahisha ni cancer,, ila kiukweli hapa umezingua mwanetu Joanah jifikilie tena na tena then ishirikishe familia yako uone ni namna gani unaweza kulishinda hili
alaf kwanini nakuandikia ese namna hii? unaboa msichana mdogo
na akikaza je?Changamsha genge huyo
Pombe zimemzidi hapo alipo , ngoja kesho pombe zikimuisha aje aone upupu wake alioandika.
Natamani nikiamka kesho asubuhi nikitane na uzi wa kutengua kauliChangamsha genge huyo
Pombe zimemzidi hapo alipo , ngoja kesho pombe zikimuisha aje aone upupu wake alioandika.
Hatujamuwakilisha yeyote tunajisemea sisiWakati anasema yeye, wewe ulikua hujasema,
So,nyie ni kina nani hasa mpaka muwawakilishe wana jf wote bila ridhaa zao?
Pole sana ndugu.Daah kwa hiyo mi mdada?
Natamani nikiamka kesho asubuhi nikitane na uzi wa kutengua kauli
Kua muelewa,wapi nimekwambia unaniwakilisha mimi? Nimesema unatuwakilisha wana JFMimi na familia yangu tusijue, hao ndio nawawakilisha ( Wanatumia JF pia).
Tangu lini mimi nikakuwakilisha wewe?
Wewe na familia yako nani amewapa mamlaka ya kutuwakilisha wana jf wote? Kwahiyo familia yako ndio mna maamuzi kuliko JF wenyewe ambao huweka ID's za waliokufa RIP?Do i know you Sir?
OkKua muelewa,wapi nimekwambia unaniwakilisha mimi? Nimesema unatuwakilisha wana JF
Wewe na familia yako nani amewapa mamlaka ya kutuwakilisha wana jf wote? Kwahiyo familia yako ndio mna maamuzi kuliko JF wenyewe ambao huweka ID's za waliokufa RIP?
Pole sana ndugu.
Kumbe wewe ni mwanaume?ujue hata mimi nilikuwa nafikiri wewe ni wa kike tangu enzi hizo nikiwa mgeni JF jina lako lilikuwa limenikaa sana kichwani kutokana na uchangiaji wako mahiri wa nyuzi mbalimbali sema tu mwaka huu nikaona kimya sikuoni kuchangia mada yoyote sasa sijajua labda ndio ulikuwa kwenye process za kujiuguza.