Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,700
Ni watu 2 tofautiKwahiyo huyu mwenye cancer ni tofauti na Joanah chakaramu tuliyemzoea hapa JF?
Uzuri na mwingine ka comment hapa
Ni watu 2 tofautiKwahiyo huyu mwenye cancer ni tofauti na Joanah chakaramu tuliyemzoea hapa JF?
Amini nakwambia hautakufa bali utaishi na utaendesha kituo chako cha afya.Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Acha urofa kwenye vitu vya msingiHamia kwenye uislamu kabla mauti hayajakukumba.
Miezi uliyobakisha mrudie muumba wako na umkiri Mtume Muhammad S.A.W kuwa ndiye mtume pekee wa mwenyezi Mungu na hakuna apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah S.W.T
Hamia kwenye uislamu kabla mauti hayajakukumba.
Miezi uliyobakisha mrudie muumba wako na umkiri Mtume Muhammad S.A.W kuwa ndiye mtume pekee wa mwenyezi Mungu na hakuna apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah S.W.T