Kwaherini JF

Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Sifa zake Joanah
1.ni damu grup o
2.mkimya sana
3.hapendi kujichanganya sana
4.hapendi marafiki
 
Tafuta usichoke mpaka siku Mungu kaandika,hakikisha unakaa na watu kuna wazee wanajua tiba asili wanaweza kukusaidia, but real sorry
 
Kwa hayo aliyotuambia hawezi funguka zaidi

mkuu huu ugonjwa nauchukia sana
Mtu anaweza jiona yupo salama kumbe tatizo lilianza miaka ya nyuma now ndio matokeo yanajidhihirisha.
Ni vizuri kufunguka anaweza kupata abc na akasalimika. Ulimwengu wa sasa hutakiwi kuficha maradhi ili kuweza kupata suluhisho, vinginevyo labda unataka ufe tu.​
 
Kama ni kweli utakuwa ulikuwa nayo muda mrefu!
Miezi miwili ni mapema mno kuambiwa kuwa baada ya hapo haupo!
Iwavyo vyote,Mkono wa BWANA Yesu uwe juu yako kukurudishia afya yako! Katika jina lake.Amen.
 
Habari na pole kwa yote ila mtumaini Mungu kila jaribu lina upande wa kutokea,

Lakini miaka ya nyuma kuna mwana JF aliambiwa ana shida fulani na hataishi Muda mrefu lakini ajabu alikuwepo humu muda sana,ni Mungu anaeamua sio ugonjwa wala mwanadamu,kuumwa sio ugonjwa
 
Nina imani stori yangu itaishia huku kwenye vipimo vilivyokosewa ili niendelee kuwepo

How comes nina cancer na sijisikii kuumwa chochote hapa
Ndio sema sasa una kansa ya aina gani Kuna wengine ni wataalamu wa afya wakushauri, naumia na ninasikitika una jeuri sana, tangu uimbiwe hiyo kansa ni aina gani hutoi ushirikiano kabisa, maisha hayaendi hivo dada angu mgonjwa haupo pekee Yako unapo sema unawasaidia na wengine humu kuwahudumia ndugu zao kama wewe
 
Nimejikuta natoa machozi kwa huyu mtu japo ameandka simple tu. Ckujui hunijui ila kama ni ukwel pole sana nakuomba umuombe mungu wako hiyo miezi miwili itageuk kuwa miaka 20naa na atakutendea kwel.
Joanah acha kujikatia tamaa kwa maneno ya doctor, jifanye ni kama hujayasikia maneno yake tafadhali na uamin kuwa hutapatwa na lolote baya ndugu yangu tafadhali, ni weng kwa sasa wanapumulia machne lakin hawajakata tamaa. My nakuomba kuanzia leo weka alarm kila ikifika saa tisa usiku jikaze ufanye maombi ya hata dk moja huo mda una siri nying sana my. fanya hivyo na uamini..
LAKIN KAMA NI VIROBA UMEPGA VIKAKUAMBIA UANDIKE HAYO ULIYOYAANDKA HAPO HAKI RADI ITAKAYOKUPIGA IPO KULE ZANZIBAR INAPGA PUSH UPS IKIJA HADI KWAKO.

Mim sio pastor ila nakuombea hiyo miez uliyoisema iwe ya wewe kuamka na kupona tuendelee kuwa wote hapa mdogo cjui mkubwa wangu. Jan itukute hapa tukifungua mwaka mpya wote.
For sure nimelia hadi wife ananiuliza kuna nini na hiyo paragraph ya mim sio pastor kaiandika yeye 4 u Joanah
 
Kila nikiandika nafuta.
Sijui cha kuandika ingawa natamani kuandika.
 
Kusema ukweli bora hata nisingesoma huu uzi. psalm 103 ulipotelea wapi ndugu yangu. Mleta uzi nakuomba uzime simu ulale na usiwe na mawazo yoyote kuhusiana na ulichoambiwa na doctor ndugu yangu. Jf napenda utani lako kwa hili lako nimejikuta naguswa hadi rohoni mtoto jikaze na uwe na imani MUNGU atakusimamia hayo ni majaribu na yanapita tu. Nakumbea uje uwe shahidi kwa walikata tamaa kwa kusema ulichotendewa na MOLA ndugu yangu. Hiyo roho iliyokuongoza ukaandka huu uzi kisimple hivyo nakuomba yote unayoyapitia uyachukue simple vile vile.
 
Nina imani stori yangu itaishia huku kwenye vipimo vilivyokosewa ili niendelee kuwepo

How comes nina cancer na sijisikii kuumwa chochote hapa
Cancer sio lazima uumwe ila ikianza kuuma ndo kimbembe

Nenda hospital nyingine upime angalau tatu

Kama una cancer ni kujikita kwenye maombi ya kujikana huku ukiendelea na dawa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom