kwaherini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwaherini JF

    Hey people, Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo Naumia lakini sina jinsi
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa JF, nawaaga tena, kwaherini!

    Usiku na mchana, nimefanya bidii kuwagawia chakula cha uzima. Muda umefika sasa wa mimi kuondoka na kwenda Yerusalemu, Yudea, Samaria, na hata miisho ya dunia ili niwe shahidi wa Yesu Kristo katika maeneo hayo pia (Matendo 1:8). Tuzidi kuombeana ili Yesu akija atunyakue sote, asiwepo hata mmoja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

    Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa. GOAT ni mmoja tu! Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli. Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwaherini ndugu zangu wa JF

    Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu; lakini kwa wengine, zimeonekana ni kero. Kwa wale mliosononeka au kukasirishwa na nyuzi zangu...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hata nikiwa na stress nikija humu JF zote zinayeyuka, anyway, kwaherini ya kuonana!

    Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu mara kwa mara. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi. Nini umekiona kwenye jukwaa wiki hii kikakufurahisha?
Back
Top Bottom