- Thread starter
- #61
Duh, hope it won't be a painful death.....
We have heard people fighting Cancer for years, hii yako inashangaza kidogo.
I liked your Energy humu jukwaani, Mdada mwenye attitude yenye element za kiume.
Daah kwa hiyo mi mdada?
Duh, hope it won't be a painful death.....
We have heard people fighting Cancer for years, hii yako inashangaza kidogo.
I liked your Energy humu jukwaani, Mdada mwenye attitude yenye element za kiume.
Huendi popote Joanna futa huu Uzi.Nawish iwe utani
Lakini ni hivyo naondoka kama utani
ni kweli enyew nimepata huzuni ila ndo hivyo, sijui familia yake watakua kwenye hali gani,, Yote kwa yote Mungu anaweza kumsaidia tujipe imani ila ikishindikana basi hakuna namna😔
Huendi popote Joanna futa huu Uzi.
Hakuna unakoenda😭🙏
Napaswa kukujibu nini?Daah kwa hiyo mi mdada?
Kifo ni ibada usiogope.
Kuwa jasiri.
Kikubwa mrudie Muumba na uachane na yote yasiyompendeza Mungu.
Kama ulichukua cha mtu rudisha, kama ulimkosea mtu fanya haraka sana uombe msamaha.
Napaswa kukujibu nini?
Ya hapa hiviNi kansa ya sehemu gani
bro mbona umeamua kuficha siri nzito namna hiyo?,, yamkini wangeweza kufanya jambo asee au ulipanga kufa? umefurahi sio?,, basi Mungu alivyo wa ajabu hauwezi kufa aibu utaona wewFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Oyaa nimechukua vya watu na sirudishi na hakuna kitu mtanifanya
🙏🙏Kama hii ni kweli, basi mimi namsihi asisite kuja humu kuomba msaada wowote ule atakaohitaji kwenye hili jambo lake. Kwa pamoja tutaweza kunyoosha mkono.
Binafsi nimeguswa. Nilikuwa siamini kama kwenye hizi ID za vificho unaweza ukahisi kumfahamu mtu ila sasa ninaelewa.
Can i buy you a last drink before you go?Nakutania mkuu
Thanks for everything 🙏
bro mbona umeamua kuficha siri nzito namna hiyo?,, yamkini wangeweza kufanya jambo asee au ulipanga kufa? umefurahi sio?,, basi Mungu alivyo wa ajabu hauwezi kufa aibu utaona wew
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Marehemu alikuwa na kiburi sana , haambiriki , hashauriki wala hashikiki , analoliamua yeye ndilo hilo hilo.
Atutajie location kabisa tusipate shida.No way mkuu soon ID itakua RIP