SNARE - JINSI INAVYOKUWA

SNARE - JINSI INAVYOKUWA

Joined
Nov 8, 2018
Posts
22
Reaction score
25
SNARE - JINSI INAVYOKUWA

[Vperse 1]

Toka zamani ndoto yako kuwa mwanamuziki /
Ukaandika mistari, ukapiga tizi, ukawa fiti /
Singo ya kwanza hewani, juu kwa juu ikatiki /
Watu bila Ubishi kazi wakaikubali /
Interviews kila kona, wabaya wakata hayari /
Washikaji 'fangio', madem wakazimia kibao /
Makini toka zama, hukulewa na sifa zao /
Malengo yafike juu, hatima unafanikisha /
Unafanya makubwa kwenye 'game' na unatisha /
Shows kibao kila sehemu, narekebisha /
Mikwanja inakaa sawa, na maisha nayo yanabadilika /
Unatazama nyuma, unakumbuka ulipotoka /
Wengi hawajui kwenye 'game' Kwani ulishasota /
Mawazo yao nadhani ghafla tu, umeibuka! /
Sanaa ni wito, yataka Moyo/
Muulize Dad, Snare hewani /
Natoka East Coast Team..

[Bridge]

Snare, the real Hip-hop!
What do you say about him?
Is he real?
Taking Hip-hop to another level!

[Chorus ]

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Kuwa makini mambo mengi yanatokea /
Yanatokea..!!

Niite Snare ..!!
Ma shit Yanaendelea
Yanaendelea
Sina mashaka ndani ya Game mi nasogea/
Mi nasogea/
Kwenye Game jinsi inavyokuwa
Jinsi inavyokuwa..!!!
Sina mashaka Ndani ya Game mi nasogea
Mi nasogea

Verse. 2

Umaarufu unakua mkubwa zaidi ya Maisha unayoishi /
Mambo Kibao yana Change Mazee hilo halina ubishi /
Muda Mwingi uliumaliza Ukiwa umeshinda Masikani /
Sasa inabidi uende resi sio Tena kama zamani /
Wiki, Miezi inapita Masikani Uonekani /
Kumbe Bize na Fani Uendelee kubaki Hewani /
Wanaokupenda For Real, Wanasupport kwa kila Hali /
Play haters wanachoga Siku hizi Unajidai /
Kama Binadamu Moyo Unauma Niaje..! Unachukiwa /
Fahamu wapo watu wasiopenda kuona unafanikiwa /
Wamejaa kila Kona, Wengine unacheka nao /
Mi naitwa Chui ndani Ya ngozi ya kondoo /
Usipokuwa Makini mambo Mengi yataharibika /
Beef za Ajabu from no where zitaibuka /
Leo unacheka Nao, Bongo usiombe chart ikija shuka itakuwa Soo!!..
Yeah!!

Chorus ]

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Kuwa makini mambo mengi yanatokea /
Yanatokea..!!

Niite Snare ..!!
Ma shit Yanaendelea
Yanaendelea
Sina mashaka ndani ya Game mi nasogea/
Mi nasogea/
Kwenye Game jinsi inavyokuwa
Jinsi inavyokuwa..!!!
Sina mashaka Ndani ya Game mi nasogea
Mi nasogea..

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Kuwa makini mambo mengi yanatokea /
Yanatokea..!!

Niite Snare ..!!
Ma shit Yanaendelea
Yanaendelea
Sina mashaka ndani ya Game mi nasogea/
Mi nasogea..

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Sina mashaka Ndani ya Game mi nasogea
Mi nasogea...

Verse...3

Hapa inakuwa Revolution kama ujui Tambua/
Usiumize Kichwa popote utaniona niite Snare/
Nadhani tunaelewana Yes.!! Nishafungua mabano/
Mitengo naitengua naonyesha Ujunzi kushinda mfano/
Ni kufa au kupona Hakuna kinachotisha/
Kanuni ya kwanza ndo hii snare naiwakilisha/
Bado nipo lakini siku moja sitakuwepo/
Na itakuwa faraja nitapouona mlango wa pepo/
Nafurahi kusikia mimi ndo your fleva right Raper
Najua mnanizimia na mimi nawaaminia
R . K kwenye Beat , Snare kwenye mashairi
When we Come Around You can't stop the heat
The heat..

Chorus ]

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Kuwa makini mambo mengi yanatokea /
Yanatokea..!!

Niite Snare ..!!
Ma shit Yanaendelea
Yanaendelea
Sina mashaka ndani ya Game mi nasogea/
Mi nasogea/
Kwenye Game jinsi inavyokuwa
Jinsi inavyokuwa..!!!
Sina mashaka Ndani ya Game mi nasogea
Mi nasogea..

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Kuwa makini mambo mengi yanatokea /
Yanatokea..!!

Niite Snare ..!!
Ma shit Yanaendelea
Yanaendelea
Sina mashaka ndani ya Game mi nasogea/
Mi nasogea..

Kwenye game jinsi inavyokuwa /
Jinsi inavyokuwa ..!!
Sina mashaka Ndani ya Game mi nasogea
Mi nasogea...

Outro:

"Ndivyo inavyokuwa Kwenye Hip Hop game
Ni Snare , East Coast For life
Wazee wa idea, O ten, Buff G, Gk, Ay, Imam, Mwana Fa , Pauline
😆 😂 R.k.

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
1786856631705.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom