Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

Swensa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,837
Reaction score
4,155
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa JF, mhali Gani,
‎
‎Ndugu zangu wanaJF nimekuja kwenu Mimi kijana wenu na member mwenzenu nipo Kanda ya ziwa ninaomba niwe mnanituma niwe nawatafutia Huku Kuna samaki aina ya sato, sangara, pia kuna dagaa wabichi, wakavu wasio na mchanga.
‎
‎Pia ukaniambia nikutengenezee kwa kuwaosha na kuwakaanga jinsi unavyotaka wewe Kisha nikutumie huko ulipo

Naomba mnipe kazi hiyo ndugu zangu mtaani kugumu.
‎
‎Mtaji Sina ila Nina uaminifu, mkweli, na pamoja na viambativo kama kadi ya NIDA, kadi ya kura, cheti cha kuzaliwa, cheti cha kuhitimu elimu, vyote nitakutumia na picha yangu ili ujiridhishe mnipe kazi hiyo, nawaombeni sana member wenzangu wakubwa kwa wadogo.
‎
‎Nitumie nikufatie mboga yoyote unayotaka hata ukitaka nikuprintie vikaratasi uwe unauza kama biashara kwenye vimfuko vya mia tano au elfu moja nitafanya hivyo.

Nipeni kazi ndugu zangu 🙏Asanteni

Nataka uwe unaniletea mapanki.Kilo moja shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom