andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,176
- 121,034
Pole sana mamaangu.Sasa mbona mie nina mpango wa kupotea kama nilivyokuja humu 🥺
Hii taarifa siipendi,nahofu kuagwa kama ulivyo fanya, inaweza ikawa ni dalili tu kwake lakini akili yangu imehama. Sitamani itokee lakini ndio hivyo,sijui Mungu maamuzi yake,sina ujasiri.
Mungu akutie nguvu hadi dakika ya mwisho.