Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,497
Reaction score
20,292
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!

Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa

Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani

Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
 
K

Katika nchi zinazotambua hili, single amothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani

Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
Kama wazee TU wakulima na walikuwa wafanyakazi hawalipwi,waliolitumikia Taifa ndo waje single mother wenye Faida ya watoto?
 
Hiii taarifa haujaitolea ufafanuzi mzuri, ninachofahamu mimi Marekani hakuna malipo ya moja kwa moja ya hicho kiasi ulicho kitaja, isipokuwa kuna programu kama TANF, SNAP, Child Tax Credit ambazo ni za masharti na hutofautiana kwa jimbo, lakini hazitolewi moja kwa moja.
 
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!

Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa

Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani

Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
Mtu alie-yatanua mapaja yake kwa hiyari yake mwenyewe! Unamwitaje mhanga?!
 
Back
Top Bottom