Mnaowaita Pisi Kali huko Tanzania, Asilimia 96% Hawana Akili

Mcanada

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
982
1,904
Habari wana jukwaa wa JF na heri ya sikukuu ya mapinduzi Nawasalimu nikitokea hapa Ontario Canada mtaa naoishi sitautaja kwasababu za kiusalama.. Leo kabla ya kuamka nikasema hebu nishiriki nanyi jambo moja ambalo kwa muda kidogo nimelifanyia utafiti nikabaini mambo kadhaa kwa hawa mabinti/wanawake kuwa wengi hawana uwezo wa kutumia akili zao kupambana na changamoto zaidi sana wanatumia uzuri wao kuwahadaa wanaume ili wafanikishe mipango yao na hapo ndipo wanajikuta wanaingia kwenye mashimo ya utumwa na wanatumika bila faida.. ..

Mimi nakiri kuwa ongezeko kubwa la single mothers ni wazi kuwa hawa wanawake na mabinti mnaowaita Pisi Kali hawana akili/hawajui kutumia akili zao sijui ni kwasababu ya genetics/mazingira au laana ya ujinga ndio maana ni rahisi kwao kuingia kwenye mitego ya wanaume walaghai na kujikuta wanatumika na kuachwa na majuto mengi. ..

Juzi nilifuatwa dm na X-wangu ambaye kiukweli huyu mwanamke wa kichaga nilimpenda sana mbali na uzuri alionao ila alikuja kunichana kuwa alimpata kijeba wa kuendana naye na huyo kijeba ameenda nyumbani kwao kujitambulisha so niachane naye.. hii situation iliniumiza mno kwa wakati huo maana hela nilikuwa nayo na kila mwezi nilikuwa namwekea milioni 1 ya matumizi ila tatizo langu kubwa nilikuwa busy tu na kazi nyingi kiasi ambacho mawasiliano yetu yalikuwa hafifu mno baada ya kuniambia mambo hayo alinifanya niwaone wanawake wote hamna kitu kichwani kumbe sivyo;

But to cut the story huyu single mother kwasasa anapitia hali mbaya sana kazalishwa watoto wawili na vijeba wawili tofauti na sasa ana ujauzito wa miezi mitano kutoka kwa kijeba mwingine na mbaya zadi wote hawamjali; yule kijeba wa kwanza alimuahidi kumjengea nyumba akampa mimba akapita kushoto, kijeba wa pili akamhadaa kuwa angemtafutia kazi ajikimu yeye na mtoto wake wa kwanza kijeba kala mzigo kalea mimba baada ya pisi kali kuzaa kijeba kala kona.. huyu kijeba wa tatu baada ya kusikia pisi kali imepata mimba kabadilisha mpaka line mwamba hapatikani...

Baada ya kusikiliza voice note zake huku akilia kwa uchungu na majuto mengi akikumbuka jinsi alivyoniacha kwa kejeli nikamuuliza anahitaji nimsaidie nini? akanijibu chochote nitakachoweza kumsaidia kwasasa ili aweze kusurvive maana hata ndugu zake wamemchoka hawamsaidii tena amekata tamaa anatamani kujiua ...

Kiuhalisi nilijisikia uchungu sana baada ya kunitumia picha zake na watoto wake nikatafakari maisha anayoishi na wale watoto na ujauzito alionao nikamwambia anipe namba za benki nimrushie dola $5200 atafute nyumba walau ya nyumba yenye vyumba viwili ya kupanga kwa mwaka mzima then atoe pesa ya kujikimu kwa kipindi chote kilichobakia cha ujauzito wake na pesa itakayobaki atumie akili yake vizuri ajue atakavyoitumia ili aweze kuwasaidia hao watoto wawili ambao anao mimi namsaidia kama msamaria mwema si kwasababu nataka chochote kutoka kwake coz nishaoa na ninafamilia nzuri tu sina tatizo na mtu.. sasa baaada ya kumtumia hii dola $5200 nikasema hebu kwanza nishee hii kitu maana si tukio la kwanza kwangu kwenye mahusiano na hawa mnaowaita Pisi kali mbali na vibwanga nilivyokutana navyo kwenye mahusiano hapo bongo pia nimeshuhudia kutoka kwa marafiki na washkaji zangu vituko kama hivi .. .. ..

Kiuhalisi hawa mnaowaita Pisi kali wengi hawana akili ndio maana mwisho wao huwa ni majuto tu na kuvurugwa.. nakiri kuwa Kwenye nchi ya Tanzania asilimia 96% ya wanawake wamekuwa single mothers kwasababu ya ujinga na upumbavu walio nao hizi asilimia 4% ni kwa wale wanawake tu ambao wamekuwa single mother kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wao;

Wewe mwanamke/binti unayejiona pisi kali unamvuliaje kijeba pichu na kubeba ujauzito bila kujihakikishia usalama wa future yako kwanza; ? Thats stupid insane!!

Kijana wa kiume/Mwanaume nakushauri kama unataka kuoa usioe Pisikali isiyo na akili za kutosha atakufedhehesha sana kwenye maisha kwakuwa ni warahisi mno.. zama zimebadilika kwenye mambo mengi tujifunze..

Naenda zangu kazini, Kumekucha sasa!
 
Subir wazee wa Tafuta pesa wafike

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kodi ya nyumba usd 5200.

Hapo mkuu si umempa mtaji na kodi ya nyumba nzima mitaa ya kawaida. Au hiyo kodi anaenda kupanga Uhuru Height,Fairview Apartment,Jmall apartment awe anaona bahari ya India na jiji la Mzizima
Yes nimempa yote hiyo ili ajipangilie mwenyewe cha kufanya ila ahame hapo kwenye chumba kimoja anachokaa na watoto wake ni fedheha kwakweli.. kama mwanaume nimejisikia vibaya sana sikutaka kurudisha ubaya nimemfundisha jambo kubwa maishani mwake...
 
Back
Top Bottom