Kwahiyo mwanga upo irrespective unauona huuoni, unau feel huu feel, uko hai umekufa mwanga upo.Nop broo hata yeye atajua mwanga upo ila sensation ndo itapotea. Narudia sensation(kuuona) mwanga ndo kutatoweka. So simple mkuu
Yes. Mwanga ni matter. Ni particle au wave form. Mwanga ni kama dunia, ipo na itaendelea kuwepo. Ila kama ujuavyo ni energy ina change form ukiwasha moto unaona mwanga moto ukiungua na mwanga unapoteaKwahiyo mwanga upo irrespective unauona huuoni, unau feel huu feel, uko hai umekufa mwanga upo.
Si ndio!
Sio memory, sio ndoto, sio Hallucination.
It's a real separate entity that exists.
Si ndio?
Kwahiyo kama mwanga upo, ni real aspect of reality, sio ndoto, sio memory sio Hallucination,Yes. Mwanga ni matter. Ni particle au wave form. Mwanga ni kama dunia, ipo na itaendelea kuwepo. Ila kama ujuavyo ni energy ina change form ukiwasha moto unaona mwanga moto ukiungua na mwanga unapotea
It's like consciousness, ya kwamba unajua unajua, sijui umenipata. Ni kama entity inayo observe bila attachments. Ninetumia mwanga kwa sababu ya kuexplain. Na hiyo entity sio wewe,Kwahiyo kama mwanga upo, ni real aspect of reality, sio ndoto, sio memory sio Hallucination,
upo whether unauona huuoni, unau perceive hauu perceive,
Na wewe umesema Nafsi ni kama mwanga,
what does this say about the nature of Nafsi?
Sikupati mimi hili somo lako la mapepo.It's like consciousness, ya kwamba unajua unajua, sijui umenipata. Ni kama entity inayo observe bila attachments. Ninetumia mwanga kwa sababu ya kuexplain. Na hiyo entity sio wewe,
Katika kitu ya kulinda ni fikra zakoAkili inauwezo mkubwa sana
Kwanzia imagination, planning, practice nk
Unatapoteza mda wako kwa kiaziYes. Mwanga ni matter. Ni particle au wave form. Mwanga ni kama dunia, ipo na itaendelea kuwepo. Ila kama ujuavyo ni energy ina change form ukiwasha moto unaona mwanga moto ukiungua na mwanga unapotea
KwendaaaUnatapoteza mda wako kwa kiazi
Hapa kwenye Lugha ndo wengi tunapokosa elimu kubwakubwa za ulimwengu huu maana maarifa mengi yameandikwa kwa lugha za kigeni. Kwa sisi waBongo ni wavivu wakusoma vitabu na ni ngumu kusoma kitabu chenye pages zaidi ya 200 cha Kingereza achilia mbali hata movies ambazo hazina subtitles zinatupa uvivu kuangalia. Wengine tukakimbilia kwenye move za kutafsiriwa angalau tunaambuliaga. Hiyo Movie Kama imetafsiriwa Kiswahili share hapa mkuu nipate maarifa😁😁Kuna movie iko YouTube inaitwa samadhi, maya: the illusion of self. Ni nzuri kuanzia haina mkoni wala nini. Ni wanatoa kama maelezo picha tu, mchawi kingereza
Sasa ubongo na memory na tako na mkono na mwili na roho na mawazo si ndio inakukamilisha wewe? Memory ndio ufahamu binadamu bila ufahamu ni mnyama tu.Ok,
Imagine hilo tako ni kiungo?
Ubongo umetumia (UFAHAMU) kitu ambacho ni decision, decision ni wewe? Au ni wazo? Je wazo ni wewe? Maana hapo Kuna causation kwamba umesikia mtu kasema ulishikie so ume respond.
Je kilicho respond hapo ni wewe? Au ubongo? Reaction to memory? Ukisema wewe ndo umejishika tako, Hapana maana kilicho sababjsha ulishikie sio wewe ni ubongo ulio kuwa triggered because of memory.
Nimeelezea kuhusu nafsi(consciousness) kwa mfumo wa mwanga. Kuna mtu kwenye comments alisema kuhusu windows ya komputa(analogy) so hizo zoote ni namna ya kuelezea consciousness.Sikupati mimi hili somo lako la mapepo.
Consciousness ni nini?
Kama sio mimi ni nani?
Mara mungu hayupo leo hadi sisi hatupo sasa yupo naniKwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo?
Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk
Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai uhai ukitoka it perishes.
Mind,(akili) ni kama time mashine, inafanya kazi kwa kumbukumbu na matukio. So kama time ikistop na wewe haupo, so he wewe ni muda? (mind)? Lahaula
Nafsi, hii nayo ni illusion, inakuwepo in relevance to mind and body. Ni kama mwanga, unahitaji medium ili uonekane, hiyo medium ikipotea, existence yake nayo haipo. So nafsi japo wengi husema ndo wewe nayo ni batili, lasivyo basi wewe haupo wewe, wewe ni kila kitu na kama wewe ni kila kitu basi haupo.
Kwa maelezo hayo, basi ni dhahiri mimi na wewe hatupo. Yaani sisi ni kama AI tumejitengeneza kwa kutumia akili ambayo basically ni kiuongo kama mguu, na kiuongo hicho sio sisi.
Nawatakia utazamaji mzuri wa world cup Leo.
"Prove all things; hold fast that which is good."
1Thessalonians.5.21.KJV
"Pimeni kila kitu: Zingatieni kilicho chema"
1Wathesalonike.5.21.BHN
Msifurahie tu mafundisho mapya, mawazo mapya you've never heard before, very interesting, ya kutekenya masikio. Je hayo unayosikia ni ya kweli? ? ?
Au ni mafundisho ya mapepo kwa ajili ya kukupumbaza, kukuchanganya, kukuchelewesha usiitambue kweli? ?
Post in thread 'Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?' Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?