BRO LEE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2011
- 837
- 628
Ndo kinachoakiwa la sivyo tutakuwa na Taifa la hovyo sana hapo baadae.Basi wanyimwe chakula akili ifanye kaaz
Ndo kinachoakiwa la sivyo tutakuwa na Taifa la hovyo sana hapo baadae.Basi wanyimwe chakula akili ifanye kaaz
Kweli, kama ni ugonjwa yupo wodini tunaelekea ICU. Japo pia tuna wazee wa hovyo a.k.a chawa wazee .Kwani sasa hivi Taifa likoje?
Mbona majibu yapo hadharani?
Du ni kiumbe gani hiki?,Kumbe Mwenyezi mungu ameumba viumbe vingi,
TerminatorDu ni kiumbe gani hiki?,Kumbe Mwenyezi mungu ameumba viumbe vingi,