Kumbe mimi na wewe hatupo?

Kumbe mimi na wewe hatupo?

Soma hii mada ya huyu mwamba
Kama shule haipandi, utatoka kapa

Kuna KautFiti kanasema kila walipo watu 10, watatu kati yao wana shida ya afya ya akili.....

Hako kaufiti kako sahihi kupitia hili andiko
 
Kuna KautFiti kanasema kila walipo watu 10, watatu kati yao wana shida ya afya ya akili.....

Hako kaufiti kako sahihi kupitia hili andiko
Angalia movie ya the matrix, ndo essence ya bandiko hili. Lakini pia unahitaji kusoma sana, ujue chimbuko lako, ujue kwa nini una exist.
 
Soma hii mada ya huyu mwamba
Kama shule haipandi, utatoka kapa

Added to bookmarks mkuu 🙏
 
"Illusion of the self" (au kwa Kiswahili: Hadaa/Dhana ya Kudanganya ya "Mimi") ni dhana ya kifalsafa, kisaikolojia, na ya kineurosayansi inayosema kwamba: Huyo "mimi" unayemjua—ule utambulisho wako thabiti, wa kudumu, na unaojitegemea ndani ya kichwa chako—hayupo halisi jinsi unavyofikiria.

Natamani kujua zaidi kuhusu hii falsafa
 
Naunga mkono hoja, hatupo kabisa vyote ni picha la kutunga tu
hii huwa inanitafakarisha sana, mtu kafa unaambiwa "mwili wa marehem utasafirishwa" imagine neno mwili wa marehem, sasa inamaana mwenye mwili kaenda wap kama umebaki mwili ndio unasafirishwa!? Haya movie inaanza unapoanza kutaja viungo katika mwili, mfano: kidole changu, tumbo langu, kichwa changu, miguu yangu, ........, taja vyote mwili mzima hadi mwisho kila kitu sasa huyo anaevimilik ni nan!?
 
Utasikia roho au nafsi ipumzike mahala pema peponi. Haya roho, mahala pema, peponi. Hapo ndo unabaki kushangaa haya maneno yalitoka wapi?
 
Back
Top Bottom