Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,130
- 1,913
Sipo kivipi sasa wakati najiona, na najitambua nina akili timamu, I'm not crazy or Hallucinating here.Nimeelezea kuhusu nafsi(consciousness) kwa mfumo wa mwanga. Kuna mtu kwenye comments alisema kuhusu windows ya komputa(analogy) so hizo zoote ni namna ya kuelezea consciousness.
Wewe sio vyote hivyo, wewe haupo.
I can sit and have a meaningful discourse with a separate intelligent entity which is NOT me i.e you.
Hata nikifa leo nilikuwepo na nitaendelea kuwepo in a different layer of reality which you cannot see with your eyes, in a different dimension with my Heavenly Father the Almighty Creator.
Haya mafundisho ya mapepo mnayameza tu nyie wenyewe mnayaelewa kweli? ? ?
Binadamu tupo. We are very real aspects of reality. Na viumbe wengine tusiowaona kwa macho wapo!
And we are separate, hii biashara ya kusema we're one ninaikataa in Jesus name, you're yourself, I am myself.
Jitu linafanya uovu huko halafu linataka lijifanye halipo 🤣, eti ni consciousness tu inaota, bro! Embu tutokee hapa! !
Trying to take your free will away from you kwamba you have no choice. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to take accountability away from you kwamba sio wewe its the consciousness dreaming. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to take the power you have in you kwamba wewe haupo. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to take meaning away from you.
Kwamba it's all a dream. Eti Nothing is real. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to downplay our Creator and his Love for his creation expressed through JESUS CHRIST, kwamba hakuna Muumba aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Kwamba ni ndoto tu. UONGO. TOKA PEPO.
Haya mafundisho ya imani za huko Mashariki ni mafundisho ya mapepo.
Hata kama yana chembe za ukweli, ni kama sahani ya chakula hata uweke kinyesi kidogo tu pembeni ukachovye na mti huko upakaze kwenye sahani haifai kula tena!
Tafuteni Kweli.
Sio hadithi za uongo na kweli, mambo ya kufikirika which we can't prove coz kwanza hatupo! ! ! 🤣
YESU ndiye Kweli!
Post in thread 'Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?' Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?