Kumbe mimi na wewe hatupo?

Kumbe mimi na wewe hatupo?

Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo?

Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk

Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai uhai ukitoka it perishes.

Mind,(akili) ni kama time mashine, inafanya kazi kwa kumbukumbu na matukio. So kama time ikistop na wewe haupo, so he wewe ni muda? (mind)? Lahaula

Nafsi, hii nayo ni illusion, inakuwepo in relevance to mind and body. Ni kama mwanga, unahitaji medium ili uonekane, hiyo medium ikipotea, existence yake nayo haipo. So nafsi japo wengi husema ndo wewe nayo ni batili, lasivyo basi wewe haupo wewe, wewe ni kila kitu na kama wewe ni kila kitu basi haupo.

Kwa maelezo hayo, basi ni dhahiri mimi na wewe hatupo. Yaani sisi ni kama AI tumejitengeneza kwa kutumia akili ambayo basically ni kiuongo kama mguu, na kiuongo hicho sio sisi.

Nawatakia utazamaji mzuri wa world cup Leo.
Sasa hivi nina-sex na mke wangu, inamaana si kweli hatufanyi kitu kwamba hiki tunachokifanya ni AI?
 
Hii sayari ya dunia huenda ilikuwa kiumbe hai ( mnyama) halafu akafa kisha akaoza, alipo oza akaanza kutoa funza, happy funza ndio viumbe wote wakiwemo binadamu.. Analogy yake ni mwili ulio zikwa kaburini kisha ukatoa funza na wadudu ambao wanaishi katika dunia Yao ndani ya huo mwili ulio oza ndani ya kaburi
Daah😂 nimeipenda hii analogy, because maybe kama unavyo Sema kusudi la sisi kuwepo ni dunia tu, ila again ukiangalia na dunia yenyewe ipo within solar system(milky-way galaxy) so ni endless chain.
 
Sasa hivi nina-sex na mke wangu, inamaana si kweli hatufanyi kitu kwamba hiki tunachokifanya ni AI?
Hapana mkuu, hii ni nadharia tuu ambayo inatufanya tufikiri. Unacho kifanya hapo ni tendo ambao Lina engage viungo na hisia simultaneously lakini ile dhana ya uwepo wa self inayofanya hicho kitu haipo
 
Ancient people hawakuweza vitu vingi ambavyo kwa sasa viko common na vinafanyika kirahisi mno.
I'd like to argue! Hao ndo walikua more in tune hata kuliko sisi. Hivi unajua sisi tumekuwa more genetically tinkered na mauchafu yeetu wenyewe
 
Nadharia Yako sio ngeni duniani .Wanasayansi na wannafalsafa wengi wameshindwa kuelewa asili na mechanism ya UFAHAMU
 
Where do you get you knowledge from? ?

Umeshaanza na uongo so everything else itakuwa uongo:

Umesema mwanga unahitaji medium ili uonekane! Where did you learn this?

Light can travel in a vacuum. It does not need matter to travel. You not seeing light in a vacuum doesn't mean it's not there! It means your eyes are limited.

.Ndomana na Biblia imemuita anayesema Mungu hayupo kuwa Mpumbavu.

How much else do you think you have got wrong?

There are levels to reality.

You can search about other dimensions and see where that gets you.

View: https://youtube.com/shorts/VwofJ3wkzn8?si=dVm7Ax7a2ev5cFhi

JESUS IS THE TRUTH.

(not debating)
 
Back
Top Bottom