Kumbe mimi na wewe hatupo?

Kumbe mimi na wewe hatupo?

hii huwa inanitafakarisha sana, mtu kafa unaambiwa "mwili wa marehem utasafirishwa" imagine neno mwili wa marehem, sasa inamaana mwenye mwili kaenda wap kama umebaki mwili ndio unasafirishwa!? Haya movie inaanza unapoanza kutaja viungo katika mwili, mfano: kidole changu, tumbo langu, kichwa changu, miguu yangu, ........, taja vyote mwili mzima hadi mwisho kila kitu sasa huyo anaevimilik ni nan!?
Huw natulia masaa mengi kwenye meditation, nayatazama mawazo yangu , nayaona kabisa jinsi yanavyo jiamulia mambo , ila sijaona mimi ninaye yatazama nilipo
 
Kabla ya simu kuwepo au ndege zilikuwepo wapi? Kuna namna tukitulia vizuri akili zetu zinaweza vumbua mambo mazito na hata kufikia hatua y kudhibiti kifo ambacho kwa mujibu wa mada hakipo ni illusion tu
of course tukirud kwenye sense ya kawaida unaona kabisa maisha si chochote manake hayapo
 
Kabla ya simu kuwepo au ndege zilikuwepo wapi? Kuna namna tukitulia vizuri akili zetu zinaweza vumbua mambo mazito na hata kufikia hatua y kudhibiti kifo ambacho kwa mujibu wa mada hakipo ni illusion tu
Kuna watu wana knowledge mzee, ukianza kufuatilia Kuna hizo royal families, Vatican,.. Ni kama wanajua mda wa kuachilia kitu fulani au invention flani. Hizo ancient tech zilizo jenga pyramid zipo Sema zimefichwa
 
Kama dhana ya kutafuta maisha unaona kabisa ni ya kipumbavu, tunatafuta maisha ambayo ni akili zetu wenyewe zimeamua kuyaficha
Umeona bhana inabidi tufanye research kuhusu kifo an how we can control it tuishi miaka 3000 au 1k ...nk
 
Kuna watu wana knowledge mzee, ukianza kufuatilia Kuna hizo royal families, Vatican,.. Ni kama wanajua mda wa kuachilia kitu fulani au invention flani. Hizo ancient tech zilizo jenga pyramid zipo Sema zimefichwa
Zimefichwa kwa dhumuni gani?
Na nani ana access ya hio skills?
 
Kwanini dunia ya kale waliibua wagunduzi wakubwa kuliko dunia hii ya sasa? Yawezekana hata hii elimu tunamezeshwa ni upumbavu tu unaolimit uwezo wa akili zetu🤔
 
Zimefichwa kwa dhumuni gani?
Na nani ana access ya hio skills?
The powers that be! Ni kitu sisi ambao hatujui tunaishia kujiuliza tu.. Angalia watu MA genius huwa wanishia kuwa assassinated tu because waki Crack code tu human akawa free hakuta kuwa na control tena.
 
Kwanini dunia ya kale waliibua wagunduzi wakubwa kuliko dunia hii ya sasa? Yawezekana hata hii elimu tunamezeshwa ni upumbavu tu unaolimit uwezo wa akili zetu🤔
Facts kabisa imekuja kimkakati wa ku control na kumfanya binadamu awe mtumwa wa system flani. Ni vile tu tunaishi kwa survival ndo maana tunakuwa distracted.
 
Kwanini dunia ya kale waliibua wagunduzi wakubwa kuliko dunia hii ya sasa? Yawezekana hata hii elimu tunamezeshwa ni upumbavu tu unaolimit uwezo wa akili zetu🤔
Akili inauwezo mkubwa sana
Kwanzia imagination, planning, practice nk
 
Hii sayari ya dunia huenda ilikuwa kiumbe hai ( mnyama) halafu akafa kisha akaoza, alipo oza akaanza kutoa funza, happy funza ndio viumbe wote wakiwemo binadamu.. Analogy yake ni mwili ulio zikwa kaburini kisha ukatoa funza na wadudu ambao wanaishi katika dunia Yao ndani ya huo mwili ulio oza ndani ya kaburi
 
nnazid kufanya utafiti wajinsi ya kuishi milele ila bado sijafanikiwa.Ila ile siku ntagundua njia ya kuondoa kifo nitaish milele?
 
Back
Top Bottom