Kuajiriwa ni utumwa

Hahahaha unajua kuna ugumu kweli ila.. Tu naangalia jinsi maisha yalivyo, sijasema eti kuajiriwa ni kubaya what I mean is the slavery behind it... Waajiriwa wanaishi maisha magumu....

I do believe Nitakuja siku moja humu kutoa ushuhuda, naamini kabisa I will fight mpka nitoboe.
 
Kuajiriwa ni utumwa na inakufanya mtu unakua passive sana.. Mimi ni mmoja ya watu wanaowatukana sana wale wanaotoa ushauri mwenye uzi wetu pendwa wa mwisho wa mwezi unaoulizia kama mshahara umetoka. Waajiriwa tujaribu kuchukua ushauri sio usenge wa kupinga kila kitu.
 

Fact​

 
Kujiajiri sio rahisi kama linavyoongelewa mkuu. Utahitaji determination na capital kubwa. Pambana but don't have high expectations and leave room for disappointments. Mwisho kabisa weka akiba ya maneno. Walioajiriwa sio villains
 
Tunawaza tu 🤔ila biashara ukitegemea kwenye matumizi ya kila siku bila chanzo kingine inakufa au haitakua kamwe
Sio kweli. Kama biashara inastahimili kukupatia pesa za matumizi yako yote maana yake ishakua na imekomaa/ Mwanzo ndio huwa mgumu kutegemea biashara ili uishi. Na kama uko kwenye biashara muda mrefu na haiwezi kugharamia maisha yako afadhali uache tu ufanye mambo mengine yenye tija.
 
Bwashee hapa nakuunga mkono hoja , pia nina deni lako , kesho nalifanyia utafiti 🤗
 
Unajua kitu kuhusu passive income?
There people in this world hawafanyi lolote wao ni kwenda kufunga hesabu, tu wana real estate businesses wengine wanahisani wengine hawajui kabisa kuwa mtumwa kama unavyosema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…