Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,882
- 125,390
Inasikitisha sanaNdo maana nimeamua kujikita na kilimo cha MIHOGO ya kienyeji.
Nakula mihogo na kusaza venye haijawahi kutokea.
Cc: jombaa mbamizwa Monetary doctor Mbaga Jr secretarybird
Inasikitisha sanaNdo maana nimeamua kujikita na kilimo cha MIHOGO ya kienyeji.
Nakula mihogo na kusaza venye haijawahi kutokea.
Cc: jombaa mbamizwa Monetary doctor Mbaga Jr secretarybird
Swali kuntu hili...Umeajiriwa wapi na kwenye kazi gani? Na unataka ujiajiri kwenye fani gani au biashara ipi?
heri yako 🤣🤣🤣Ndo maana nimeamua kujikita na kilimo cha MIHOGO ya kienyeji.
Nakula mihogo na kusaza venye haijawahi kutokea.
Cc: jombaa mbamizwa Monetary doctor Mbaga Jr secretarybird
Inategemea umeajiliwa wapi,Na huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Kabisa , ila wengi labda ni hizi ajira ambazo wanaishia kwenye 700k bwasheeSwali kuntu hili...
Nishawahi kua na boss anakunja 20M per month nje ya malupuluou huyu ukimwambia habari za kujiajiri anakuchapa makofi.
Na sijui watu kujiajiri wanakuchukuliaje, yaani wanadhani unakua kama Vunjabei, ila binafsi naona kama unataka muda wa kupumzika upo kwenye kuajiriwa zaidi kuliko kujiajili.
Kuna watu tumeumbwa ivoo yaani mc Gregory kwenye theory x na theory y alielezea aina za watu kwenye kufanya KAZINahurumia sana manager wangu, anatumia nguvu kubwa juhudi na maarifa yake kwenye kazi za watu. Ila naamini angejiajiri yule angefik mbali sana
Njoo nikubamize na hogo la kienyejiNdo maana nimeamua kujikita na kilimo cha MIHOGO ya kienyeji.
Nakula mihogo na kusaza venye haijawahi kutokea.
Cc: jombaa mbamizwa Monetary doctor Mbaga Jr secretarybird
Ni mwalimu wa secondaryUmeajiriwa wapi na kwenye kazi gani? Na unataka ujiajiri kwenye fani gani au biashara ipi?
Muajiriwa ukitaka Kujiajiri ni mkakati,weka mpango wako vizuri.kisha chomoka ukiwa umeweka msingiNa huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Ni vema na khaki 😎Ndo maana nimeamua kujikita na kilimo cha MIHOGO ya kienyeji.
Nakula mihogo na kusaza venye haijawahi kutokea.
Cc: jombaa mbamizwa Monetary doctor Mbaga Jr secretarybird
Ni hatari sana.... Ila miaka 60 unaichukuliaje... Hapo ndani ya muda mcheche tu unaokota fimbo.Kuna kazi ukifikisha miaka 45 tu sheria zao zinakutaka ustaafu. Kumambuzi pensheni yao inakuwa ndogo wala hutaweza kuishi nayo kwani umri huo unakuwa bado kijana na una malengo mengi kwa maisha yanayoendelea. Miaka 60 yenyewe kama huna changamoto za kiafya ni miaka ya utu uzima wenye nguvu unahitaji kufanya shughuli za maendeleo makubwa. Hicho kipensheni kitasaidia nini ukute uliishia scale ndogo ya mshahara? Utakufa masikini tu huku ukidai una elimu
Unaonaje?Je wataka kunisaidia au😂 ewe mmatumbi? Ninamipango mkubwa sana ndugu
Wanasema eti ni madawa ya kulyeva wanao kupa ili usahau ndoto zako. Ila bado kuna walio na Ajira wanakula maisha, pay kubwa na wanapewa facilitationa, imagine wakuu wa mikoa, wabunge na mawaziri. Hao. Wanafreedom ndani ya Ajira zao. Ni sisi wamatumbi hohehahe tu tunaufeed mfumo kwa ajili ya wengineKuajiriwa ni sawa na kupata fedha za bure mjuba, kule huhangaiki kuumiza kichwa, ni kazi nyepesi, rahisi, hutokwi jasho jingi, una uhakika ndani ya wiki nne tu hela inaingia kiulaini