Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,708
- 26,665
- Thread starter
- #241
Bado hujui biashara wewe... Alafu hiyo elfu kumi hapo umeingia mkataba labda wa miaka kadhaa na gari matengenezo ni wewe mwenyeweanayehangaika na matengenezo ya gari huwa ni nani vile? Angalia, gari ununue wewe, matengenezo ufanye wewe, tax driver akuletee 10,000/ baada ya kukata hela yake aliyopata kwa siku, hata akipata laki tatu, yako kama mmiliki wa gari ni 10,000/. Bagosha, hapo nani mtumwa??