de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,222
- 22,273
- Thread starter
- #221
Stori hii haina mashiko yoyote... Kwa hiyo mwenye tax anautumwa gani hapo?HIVI UTUMWA TUNAUPA TAFSIRI YA UPANA UPI HASA? HATA KWENDA BENKI KUTAFUTA MKOPO ILI UANZISHE KIWANDA CHAKO NI UTUMWA KWA NAMNA NYINGINE ( JAMAA YANGU ALIMPA MTU TAX AMLETEE PESA KWA SIKU,SIKU MOJA MWENYE TAX ALILOA MVUA WAKATI ANAENDA KANISANI NA FAMILIA YAKE,HALAFU TAX DREVA KAFIKA KANISANI FRESH NA MKEWE KWA KUTUMIA TAX YA JAMAA), UKIUANGALIA UTUMWA VIZURI, UTAONA NI KIKUNDI KIDOGO SANA DUNIANI NDO KIMEONDOKA KWENYE UTUMWA WA JUMLA WA KUONEKANA, WA KUTOONEKANA.
Anajua pesa yake iko pale pale.