tutegemee

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. M

  CCM Hii ndo Hii au tutegemee Mabadiliko?

  Habari za muda huu ndugu wanajamvi. Natumai kila mmoja anaendekea na pilika za kuweza kuuelekeza mkono kinywani. Kwa wale wa makamu yangu, tutakubaliana kwamba tangu kuanza kwa siasa za vyama vingi, CCM imejipambanua katika weledi, ukomavu, uzoefu na historian katika majukumu yake. Wabobezi na...
 2. I

  Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

  Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii. Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali...
 3. Mchochezi

  Tutegemee Reshuffle ya Cabinet?

  Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri. Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
 4. nyboma

  Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

  Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena...
 5. J

  Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

  Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya Petrol na Diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini. Mbatia amesema haya mafuta tunayouziwa Tsh 2400 kwa lita yalinunuliwa mwezi Aprili wakati mafuta hayajapanda bei kwenye soko...
 6. Josh J

  Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

  Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi Huko Zambia. Nadhani Samia hapendi kuwepo kwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Maana shughuli nyingi za...
Top Bottom