Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyotarajiwa awali.

==

Uongozi wa Klabu ya Simba, unapenda kuwafahamisha kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu katika kuhakikisha mchezo wetu wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.

Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).

Tunawaomba mashabiki na wapenzi wetu kuwa watulivu katika kipindi hiki.

Aidha, tutatoa taarifa rasmi za mchezo huu na hatma ya mashabiki wetu kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za Klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

IMG_4916.jpeg
 
View attachment 3339257
Mabwegee fc

Wamexoeaaaaa. Kutikisaaa BODI na TFF

Wamekutana na mshipiiiii hahaaaaa

Nimeioenda CAF kwenye majibu yao

HATA HIVYO ZNZ n SEHEMU ya jamhuri ya muungano WA TANZANIA kama Wana kiwanja kinastahiki kuchezwa tunawaomba Wana Simba wakajazane UWANJA WA AMAN

Hahaha wakijua TKT tayari mimba
 
Sio kwamba bwege ni wewe usiejua hata kuandika vizuri ...
 
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyotarajiwa awali.

==

Uongozi wa Klabu ya Simba, unapenda kuwafahamisha kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu katika kuhakikisha mchezo wetu wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.

Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).

Tunawaomba mashabiki na wapenzi wetu kuwa watulivu katika kipindi hiki.

Aidha, tutatoa taarifa rasmi za mchezo huu na hatma ya mashabiki wetu kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za Klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

View attachment 3339257
Hilitunabeba hatatungerudiana pale Morocco
 
.......taarifa kuhusu uwanja utakaotumika, itatolewa baada ya mechi ya mkondo wa kwanza. Hivyo endeleeni kununua ticket..... HII TUNABEBA...

MAANINAA😂😂😂
Tajiri Gani anatukana hivi...kapuku toka magetoni ukatafute pesa uache kutukana ovyo.
 
Back
Top Bottom