Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
37,516
2,000
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura ,uboreshaji wa daftari la kupiga kura ilikuwa ni kwa wale waliohama vituo vya kura,kama haujahama kituo basi jina lako litakuwa kwenye kituo ulichojiandikisha 2015 ,Nenda kapige kura kwenye kituo ulichopiga 2015 kama haujaboresha taarifa zako mwaka huu.

Sambaza huu ujumbe kwa wengine maana wale ambao hawajaboresha wanajua hawawezi kupiga kura!!
 
Bakema

Senior Member
Jul 13, 2011
125
225
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Humu ulimo post wewe ni mtandao wa nini? Ni wa familia yako.....?
 
ChumaJiwe

Member
Oct 28, 2020
10
20
Sasa ni dhahiri tumeingia kwenye Utawala wa kimabavu. Ukiongozwa na Magufuli na Ghost Voters wake
Usalama wa nchi ni suala la muhimu kuliko kitu chochote kile.... Watanzania tujifunze kutii mamlaka...tusijifanye wajuwaji mpaka kutaka kulala chumba cha wazazi eti kisa na sie watoto tumeshaota nywele zote kama wazazi wetu...
 
James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
970
1,000
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Bila kumuondoa Magufuli mambo ya YouTube na Twitter yatabaki kuwa ni historia tu.
 
James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
970
1,000
Usalama wa nchi ni suala la muhimu kuliko kitu chochote kile.... Watanzania tujifunze kutii mamlaka...tusijifanye wajuwaji mpaka kutaka kulala chumba cha wazazi eti kisa na sie watoto tumeshaota nywele zote kama wazazi wetu...
Huo ujinga baki nao mwenyewe
 
DaudiAiko

Member
Dec 2, 2012
90
125
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Nina amini kwamba wahusika wamefanya hivyo ili kuzuia vurugu zinazo weza kuji tokeza kwasababu ya uchaguzi vile vile nahisi kwamba kungekuwa na njia za mbadala kutatua tatizo hilo. Serikali ya Dkt John Joseph Pombe Magufuli imepata tuhuma ya kuwa gandamizi na kuminya sana haki za kuji eleza. Serikali lazima ina nia njema kwa kila mtu lakini ni muhimu kwa wao kufahamu kwamba hili ni zoezi la ki demokrasia. Huu ndio muda pekee ambao wananchi wanapata nafasi ku onana na wana siasa. Kama inge tokea kwamba baadhi ya watu wana tumia mitandao ya jamii vibaya, serikali ingeweza kuwa zuia wao tu baada ya kupata vibali mahakamani. Watu wanaoweza kuleta maafa makubwa kwenye mitandao ya jamii ni wenye wafuasi wengi. Njia nyingine ni kuwa makini na vyombo vya habari. Sidhani kama hatua iliyo chukuliwa na serikali ni sahihi.
 
Baba Masagu

Senior Member
Aug 30, 2020
127
225
Nina amini kwamba wahusika wamefanya hivyo ili kuzuia vurugu zinazo weza kuji tokeza kwasababu ya uchaguzi vile vile nahisi kwamba kungekuwa na njia za mbadala kutatua tatizo hilo. Serikali ya Dkt John Joseph Pombe Magufuli imepata tuhuma ya kuwa gandamizi na kuminya sana haki za kuji eleza. Serikali lazima ina nia njema kwa kila mtu lakini ni muhimu kwa wao kufahamu kwamba hili ni zoezi la ki demokrasia. Huu ndio muda pekee ambao wananchi wanapata nafasi ku onana na wana siasa. Kama inge tokea kwamba baadhi ya watu wana tumia mitandao ya jamii vibaya, serikali ingeweza kuwa zuia wao tu baada ya kupata kibali mahakamani. Njia nyingine ni kuwa makini na vyombo vya habari. Sidhani kama hatua iliyo chukuliwa na serikali ni sahihi.

Wamefanya vizuri Sana. Mitandao haipigi kura .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom