Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
Kwan unadhani wao wanategemea kura halali?, ndo maana unaona wanakiburi cha kufanya lolote bila khofu.
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)..
Yaani leo hata wale waliokuwa wameziba masikio kuhusu uovu wa magufuli leo wameipata.
 
Mwisho wako wa majungu umefika wacha kulialia kama kasuku. Mlikolalia ndio tumeamkia, si mlijipanga kupotosha na kujifanya mkwara wenu upo juu sasa muda umefika mbichi zinajulikana.
Ndio maana Goooner tunafungwa kumbe wewe ni Lumumba FC
 
Suala ni Mipango yenu ya kibwege ya vurugu. Mmefeli mashoga tumebaki mababa yao. Wacha tuwakeree

Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom