Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Ina maana huyu DPP mpya nae anaendelea na tabia ya kujigeuza ndie mahakama?

Kama hawa watu wanakiri wana hatia ni kitu gani kinachoishinda jamhuri kupeleka kesi mahakamani ushahidi utolewe ili adhabu kama itakuwepo wapewe iwe kifungo au kulipa faini?

Hii tabia ya kumalizana kwa DPP lilikuwa kosa la Magufuli, nashangaa na awamu hii nayo wanaendelea nalo, mahakama ziachwe ziamue kesi kisheria, DPP abaki na kazi yake ya awali asiingilie majukumu ya mahakama.
Rudi kwene katiba na prosecution Act uelewe mamlaka hasa ya DPP kabla huja changia
 
Huwezi kumsifu kuwa singh ana , kwani ile escrow si alichotewa bilioni 350 . Hiyo ni asilimia 10 tu ya hela alizochotewa huyo hata angeambiwa 100 bilioni hhiyo ni hela ya mboga kwake. Sema tu na viongozi wa enzi hizo sana mgawo mkubwa tu katika miaka 20 ya uhai wa iptl .
Waliokwapua 350 ndiyo wameamua alipe hicho kiduchu. Mungu anamuona JK
 
Yaani wamesubiri mpaka Jiwe kaondoka ndio wanahukumu really after 4 yrs duuu.Anyway na hizo hela alizoambiwa alipe utakuta ndizo walizo chukua kwenye account
 
Back
Top Bottom