Dar: Waliomteka Mwanamke kwa siku 4 waachiwa baada ya kulipa Tsh. 300,000

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Assad Abdulrasur (43) na wenzake watano kulipa faini ya Sh300,000 au kwenda jela miaka mitatu kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kumteka mwanamke na kisha kumshikilia kwa siku nne mfululizo.

Washtakiwa hao, walimteka Han Nooh Husein, tukio walilolitenda Oktoba 16, 2023 eneo la Msasani Beach, Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Pia, Mahakama hiyo imeamuru kila mshtakiwa kumlipa mlalamikaji (Han) fidia ya Sh500,000 kwa kumsababishia maumivu na mateso kutokana na kumshikilia kwa siku nne mfululizo katika nyumba ya Haidary Waziri iliyopo eneo la Msasani Beach.

Mbali na Abdulrasur, ambaye ni mkazi wa Msasani Village; washtakiwa wengine waliohukumiwa ku-tumikia adhabu hiyo ni Fahad Mussa (32) mkazi wa Dodoma Airport; Nathan Jothan (27) mkazi wa Sinza na Nicolas Nilahi (39) mkazi wa Wazo Hill.

Wengine ni Fredy Chahoza (49) mkazi wa Chamwino Dodoma; Ifan Saleh (41) mkazi wa Kisemvule.

Uamuzi huo umetolewa leo Machi 6, 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada ya washtakiwa hao kufanya majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kuimaliza kesi.

MWANANCHI
 
Yani kwa unyama waliomfanyia huyo dada ndio wamepewa hukumu hiyo na faini ya hela ya pipi?

Pengine ‘majadiliano’ waliyofanya na DPP kuna mazito yaliyopelekea hukumu ya aina hii.
Haiingii akilini katu!
Unyama UPI si kumteka Tu?
Au kuna kubaka?
Hawa walimteka ili awalipe hela Yao ...
Wasomali hawa kama sikosei..
Mmoja alitoka Canada kuja kudai hela yake ....
 
Alifanyiwa unyama gani?
Hivi hawakumuumiza sehem za siri?
Unyama UPI si kumteka Tu?
Au kuna kubaka?
Hawa walimteka ili awalipe hela Yao ...
Wasomali hawa kama sikosei..
Mmoja alitoka Canada kuja kudai hela yake ....
Alifanyiwa unyama na ukatili ambao kuusema hapa ni kumdhalilisha. Nilipoambiwa aliyofanyiwa kama mwanamke nililia machozi.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Assad Abdulrasur (43) na wenzake watano kulipa faini ya Sh300,000 au kwenda jela miaka mitatu kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kumteka mwanamke na kisha kumshikilia kwa siku nne mfululizo.

Washtakiwa hao, walimteka Han Nooh Husein, tukio walilolitenda Oktoba 16, 2023 eneo la Msasani Beach, Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Pia, Mahakama hiyo imeamuru kila mshtakiwa kumlipa mlalamikaji (Han) fidia ya Sh500,000 kwa kumsababishia maumivu na mateso kutokana na kumshikilia kwa siku nne mfululizo katika nyumba ya Haidary Waziri iliyopo eneo la Msasani Beach.

Mbali na Abdulrasur, ambaye ni mkazi wa Msasani Village; washtakiwa wengine waliohukumiwa ku-tumikia adhabu hiyo ni Fahad Mussa (32) mkazi wa Dodoma Airport; Nathan Jothan (27) mkazi wa Sinza na Nicolas Nilahi (39) mkazi wa Wazo Hill.

Wengine ni Fredy Chahoza (49) mkazi wa Chamwino Dodoma; Ifan Saleh (41) mkazi wa Kisemvule.

Uamuzi huo umetolewa leo Machi 6, 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada ya washtakiwa hao kufanya majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kuimaliza kesi.

MWANANCHI
Jela ni nyumba za masikini
 
Utekaji.png

why walimteka
 
baada ya washtakiwa hao kufanya majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kuimaliza kesi.
 
Back
Top Bottom