Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,308
- 1,423
Singa singa intown....sasa ile mitambo pale pameota nyasi....yale ma HOF engines yatahitaji mpunga ww kutosha kuyaamsha na kuyawasha au kuyauza ... Kuna hatari ya kesi inakuja kati ya GOVT na SETH + RUGE na hichi ndicho yule jamaa alikikwepa akaamua kuwahifadhi akiamini kwa mateso na kukosa uhuru natural death itasema nao...

Hivi wewe ukisafiri kwa mda mrefu,gari lako hua unalifungia uwani bila kumuacha mtu yeyote aliwashe mara kwa mara? Basi ukae ukijua hizo injini za IPTL hazikukaa domant kiasi cha kuota kutu ndani yake.Singa singa intown....sasa ile mitambo pale pameota nyasi....yale ma HOF engines yatahitaji mpunga ww kutosha kuyaamsha na kuyawasha au kuyauza ... Kuna hatari ya kesi inakuja kati ya GOVT na SETH + RUGE na hichi ndicho yule jamaa alikikwepa akaamua kuwahifadhi akiamini kwa mateso na kukosa uhuru natural death itasema nao...