Wamewasha moto alafu hawajui kuwa kuna mahindi makavu pembeni hakuna wa kutetea Rowasa cha msingi taifa limeingizwa hasara wawajibishe ndugai anaongea upuuzi sana anawakumbusha nin ili wasiendelee kuwashitaki marais waliopita huu ni upuuzi kabisa ambao hakupaswa kuutamka.As long as wamliingizia TAIFA hasara washtakiwe tu.Ninavyojua Waziri mkuu hana immunity mwenye immunity ni RAIS pekee.Tunataka JK na BM washtakiwe wasilite upuuzi wa kufanya sherehe wakati wengine wanaendelea lula viinua mgongo tu