Ifike hata laki mbili ndio wakati wetu wakulima kula jasholetu kwa halalKwakweli hali imezidi kuwa tete kwa baadhi ya maeneo hadi ninavyoongea bei ya mahidi inazidi kupaa tsh120,000/-kwa gunia lenye visado 30,wizara husika tunaomba itupie jicho hili kwa kweli tutaangamia.
Na wewe kalime. Ikiwa bei chin mnashangilia na kuwadhihak wakulimaKwakweli hali imezidi kuwa tete kwa baadhi ya maeneo hadi ninavyoongea bei ya mahidi inazidi kupaa tsh120,000/-kwa gunia lenye visado 30,wizara husika tunaomba itupie jicho hili kwa kweli tutaangamia.
Kwa mawazo yako hayo mahindi yapo kwa wakulima? Kwa! Kwa! Kwa! Mitanzania ya mjini sijui mpoje? Sisi huku shamba tulishauza kitambo tangu yakiwa shambani.Kipindi wakulima wanauzq gunia kwa tsh 28,000 mbona hamkuanzisha mada mitandaoni? Acha na wao wanufaike maana kutesa nikwazamu.
Kwakweli hali imezidi kuwa tete kwa baadhi ya maeneo hadi ninavyoongea bei ya mahidi inazidi kupaa tsh120,000/-kwa gunia lenye visado 30,wizara husika tunaomba itupie jicho hili kwa kweli tutaangamia.
Mkuu kaa tayari kumwagiwa mapovu, kuna hawa wakulima wa kukopa hela benki wanaota kuuza gunia kwa milioni moja. Hawawezi kukuelewa, wana mafrustration ya mikopo ya benki, wakulima wenyewe orijino kule vijijini hawana hizi tamaa kabisa.Kwakweli hali imezidi kuwa tete kwa baadhi ya maeneo hadi ninavyoongea bei ya mahidi inazidi kupaa tsh120,000/-kwa gunia lenye visado 30,wizara husika tunaomba itupie jicho hili kwa kweli tutaangamia.
Hakuna mkulima anayeuza mahindi kwa sasa ni wafanya biashara wanafanya biashara, mahindi yalishatoka kwa mkulima siku nyingi.Jaman, waacheni wakulima watese kwa zamu. Aiseee wakulima wameteseka sana nchi hii.
Hivi mchele lini upande bei watu tuuze.??
Kwakweli hali imezidi kuwa tete kwa baadhi ya maeneo hadi ninavyoongea bei ya mahidi inazidi kupaa tsh120,000/-kwa gunia lenye visado 30,wizara husika tunaomba itupie jicho hili kwa kweli tutaangamia.
Mbolea nzuri ya kupandia ni DAP AU Yaramila otesha, utahitaji almost 24 to 30 kg ya mbegu kwaajili ya ekari Tatu.
Bei ya mbegu kwa sasa 12,000 kwa pakti yenye 2kg