Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Aisee! kiongozi je ukitaka kununua shamba huko wanauzaje kwa heka
 
Kila la kher mkuu mm ni mkaz wa maeneo hayo , hesab ziko sawa sema unesahau za usafir maana mashamba si ya ukaribu kiasi cha kuyafikia kiurahis hivyo!!
Karibu kiteto!!
Kama wewe ni mwenyeji mkuu unaweza kunifahamisha zaidi ni pori gani lenye rutuba sana na lisilo karibiwa sana na mifugo ya wamasai.
 
M Msimu unaanza lin mkuu!?
 
Kama wew ni mwenyeji mkuu unaweza kunifahamisha zaidi ni pori gani lenye rutba sana na lisilo karibiwa sana na mifugo ya wamasai.
Maeneo mengi yanayolimwa ni barabara ya tanga road kaskazin na kusini kwako kuanzia eneo la pori namba moja kuendelea na maeneo ni mengi!!
 
Bei ya sasa kwa gunia Ni sh ngp
 


Ivi siku hizi mipaka imefunguliwa yan unaruhusiwa kuuza mazao(Mahindi) njee ya nchii!? Maana naskia kufugwa kwa mipaka Ni moja ya sababu iliyochangia Sana kushuka kwa Bei ya Mahindi nchini maana tusije tukawekeza vidogo tulivyonavyo halafu tukaja kukutana na Bei kama za elfu 20 kwa gunia
 
Wale ng'ombe wa wamasai unewatengea ekari ngapi mkuu maana lazima uwalishe huwezi kulima ekari zote hizo kumi wasishiriki kula matunda yako never!
 
Safi sana, kilimo ndio kila kitu....sasa nakukaribisha ununue dawa bora ya kilimo. Ambayo husaidia udongo kushika maji kwa muda mrefu na kurutubisha mmea hivyo mazao yanakuwa ni yenye ubora na mengi. Haina kemikali na inaokoa uchumi wa mkulima maana unatumia kwa kiwango kidogo ila kwa muda mrefu na kwa mazao yeyote....dawa hiyo inaitwa Supergro, pia unaweza changanya na dawa ya kuulia wadudu na ikafanya kazi ya kuwa gundi. Inafanya dawa ishike katika mmea....Supergro inapatikana kwa ujazo kuanzia 1litre hadi 5litres karibu sana...#0766317197/0693307877
 
Hakuna bei constant ya kununulia, itategemea na umbali wa shamba kutoka main road na mwenye shamba husika kama yuko tayar!!
Kiongozi! naomba unipe makadirio la shamba la karibu na main road bei yake, na ambalo lipo mbali na barabara bei yake.
 
Kiongozi! naomba unipe makadirio la shamba la karibu na main road bei yake, na ambalo lipo mbali na barabara bei yake.
Bei ya kukodi haitofautiani sana mengi ni 30k na kama una nia ya dhati , wahi sasa hivi!!
Mashamba ya kununua asee ni adimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…