Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,149
- 22,004
Mashiko nje,nje,atapewa Haki yake!
Umejuaje kama kahaba kama,humfuatilii!Mi mafa.la tuh ambao wanaweza kukaa chini na kumfuatilia huyo kahaba mange
NinachoHuna cha kuandika bdo sababu "anyway"😅
Ungeshakiandika!Ninacho
Ndio lakini ndio wamepokea maelekezo kutoka TCRA, kufutwa kabisa kwa mange itakua kwasababu yeye alikua anavujisha sana Siri za ndani.Maria account yake imezuiliwa kwa Tanzania haijafutwa , Mange account yake ilifutwa kabisa..
Halafu ilikuwa account ina followers wengi sana..
Huyo Mange alokua anauza picha za utupu za watanzania na kudhalilisha na kutukana watu matusi ya nguoni, Leo hii akawe ndo Rais una akili ww
Mahakama za Marekani sio kama za TZ. Hata Rostam anajua.Ufungie kampuni kubwa ya kimarekani kutoa huduma zake nchini kwako huko ni kugusa maslahi ya Marekani, Amerika haitakubali kampuni yao ifungiwe kwenye nchi fulani italipiza kisasi tu
Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake.
Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika.
Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost.
View: https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
Mbupu zako ilitakiwa azimiliki mange.... Afu wewe n kina Lucas tuwapige MITI.Umbea kwa Mwanamke ni kama msomali na bunduki.
Hapo amekaa ameona hana pa kupiga umbea na majungu yake.
Akaamua apambane kufa kupona.
sababu watumiaji ni wengiView attachment 3659324
Maria sarungi hakuwahi kufanya content za kutoa connection za watu lakini hichi ndio kilichotokea.
Ishu ni kwamba meta wanapokea maelekezo wapo kifaida zaidi, hawataki kufungiwa hapa bongo kama X.
Mungu ambariki ,hatoki nje ya reliSafi sana Mange!
You are a rider for real.
Hii publicity si ndogo.
![]()
LA influencer goes scorched earth on Mark Zuckerberg’s Meta after it caved to draconian African regime: suit
Activist Mange Kimambisays she became Tanzania’s target after using Instagram and WhatsApp to expose alleged killings and mobilize peaceful protests following last year’s disputed presidentia…nypost.com
Mange anahitajika sana hususan wakati huu.Mungu ambariki ,hatoki nje ya reli