Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
View attachment 3659324

Maria sarungi hakuwahi kufanya content za kutoa connection za watu lakini hichi ndio kilichotokea.

Ishu ni kwamba meta wanapokea maelekezo wapo kifaida zaidi, hawataki kufungiwa hapa bongo kama X.
Maria account yake imezuiliwa kwa Tanzania haijafutwa , Mange account yake ilifutwa kabisa..

Halafu ilikuwa account ina followers wengi sana..
 
Back
Top Bottom