Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

Kwenye msiba mkubwa wa Meli iliyoua hawakwenda ila kwenye sherehe wanaenda .Aiseeee

Anyway naona Mbowe yuko.kwenye kampeni atabeba wajumbe kibao kwa pesa ya ruzuku awalaze mahoteli mazuri wale wanywe wajione na wao Ni sehemu ya kula ruzuku.Kumbe miaka yote alikula peke yake anataka kuwalambisha kakijiko kadogo ka chai sukari kidogo tarehe 18 December wampe kura
 
..Hivi Jpm alikwenda kwenye huo msiba?
 
Kwenye msiba mkubwa wa Meli iliyoua hawakwenda ila kwenye sherehe wanaenda .Aiseeee

Anyway naona Mbowe yuko.kwenye kampeni atabeba wajumbe kibao kwa pesa ya ruzuku awalaze mahoteli mazuri wale wanywe wajione na wao Ni sehemu ya kula ruzuku.Kumbe miaka yote alikula peke yake anataka kuwalambisha kakijiko kadogo ka chai sukari kidogo tarehe 18 December wampe kura
Mkuu mbona CCM mmepanic sana kuhusu Chadema kuhudhuria hili jambo la kitaifa???
 
..natumaini Raisi na wapambe wake hawatatoa maneno ya KEJELI, MATUSI, UDHALILISHAJI, au UBAGUZI, dhidi ya ujumbe na viongozi wa Chadema.
Nawashauri wananchi watakao kuwa uwanjani, iwapo kutatokea kejeli, matusi na udhalilishaji wajibu mapigo kwa kuzomea sana kauli hizo.
Wasiogope maana kushangilia na kuzomea zote ni kelele.
Tutaheshimiana tuu.
 
Sasa kwenda Mwanza kutoka Dar wanakofanya kikao watasafiri na ndege zipi? Zile wanazozikashifu au watatumia ungo? Hiki chama kinafurahisha sana, yaani hata sherehe kubwa kama hizi bila figisu figisu za kisiasa haiwezekani. Tanzania kwanza mengine baadaye.
 
Kwenda kunangwa hilo lisisahaulike. Ngoja tuone japo sioni kama jiwe ana staha kwa wapinzani hasa cdm

..lingine Jiwe asijisahau na kuanza kuzungumza KIKABILA.

..hizi ni sherehe za kitaifa, pamoja na kwamba zinafanyika kwao Mwanza.
 
Sasa kwenda Mwanza kutoka Dar wanakofanya kikao watasafiri na ndege zipi? Zile wanazozikashifu au watatumia ungo? Hiki chama kinafurahisha sana, yaani hata sherehe kubwa kama hizi bila figisu figisu za kisiasa haiwezekani. Tanzania kwanza mengine baadaye.
Hao ni wasanio tu wasikupe tabu.Mbowe akienda Kia anapanda ATC
 
Back
Top Bottom